GE2010 Dr slaa ni sawa na obama

GE2010 Dr slaa ni sawa na obama

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Nilikua nawaza sana na nikatafuta wa kumlinganisha Slaa na rais yeyote aliyewahi kuishi au aliyepo.Nimegundua Dr Slaa ni Sawa na Baraka Obama.Kama dunia ilivyokua inatamani sana America kuongozwa na Obama.Basi kwa Tanzania wananchi wana hamu kubwa kusikia Dr Slaa kutangazwa kua Rais wa Awamu ya Tano.Watanzania Tusimkose Dr Slaa a.k.a Obama.Tusije tukajutia baadae kwa kutomchagua Dr Slaa.Kama mna kumbukumbu vizuri baba wa Taifa alisema JK bado muda wake,wananchi walimwahisha kua rais na madhara yake ya utendaji mmeyaona.Usishangae raisi ajae akawa Rithiwani.Fanya chaguo sahihi
 
Dr. Slaa is a true Obama..

When americans voted for Obama no body belive them, but that is what happen as the republican new they will win..

Slaa will deliver all his promised what he need it time and write people around him..

He will need to change the constitution as the one existing is very old,, To check again the EAC issued and make a firm command and the stand on that,, then the rest will come on their on in guidence of good polices..

Viva Slaa

Aluta Kontinua,,,, Mapambano yameanza na yanendelea....

Mungu Mbariki Dr. Slaa Mungu ibariki Tanzania.
 
CCM anguko lao laja 31 oct na 2015 ndo kitazikwa kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Je, Slaa naye yatampata, kama yanayomsibu Obama, baada ya kuchaguliwa?
 
Basi kwa Tanzania wananchi wana hamu kubwa kusikia Dr Slaa kutangazwa kua Rais wa Awamu ya Tano.Watanzania Tusimkose Dr Slaa a.k.a Obama.Tusije tukajutia baadae kwa kutomchagua Dr Slaa.K

Hapo umeufunga huu mjadala
 
Hizi kelele za vuvuzela mwisho wake mechi ikiisha.
 
Hizi kelele za vuvuzela mwisho wake mechi ikiisha.
duh nimefatilia mwenendo wako naona wewe hujadili masuala bali matukio na watu, allah akufungue akili yako naona umeambukizwa umakamba:A S-rose::jaw:
 
duh nimefatilia mwenendo wako naona wewe hujadili masuala bali matukio na watu, allah akufungue akili yako naona umeambukizwa umakamba

watu ndio huleta hayo masuala, bila kuwajua watu vizuri hayo masuala yatakupita kando, ni heri niambukizwe umakamba, kuliko kupata umbowe, mmiliki wa danguro.
 
Tafuta shimo la kukimbilia Novemba 1. P#@^%f.

Nitakupa tu mwaliko uje pale uhuru stadium, sorry nitakupostia picha usije kutuchafulia hewa maana sina uhakika kama tundu lako limezibwa.
 
Back
Top Bottom