Dr. Slaa ni msahaulifu au ni mwongo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa ni msahaulifu au ni mwongo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kadogoo, Oct 2, 2010.

 1. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  MGOMBEA URAIS WA CHADEMA AMEANZA KUHAHA NA KUCHANGANYIKIWA BAADA YA ALIEIBIWA MKE KUFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU!!! HABARI KAMILI SOMA HAPA: Home

  LAKINI CHA KUSHANGAZA HUYU PADRI ANAEUSAKA URAIS WA TANZANIA ANATHUBUTU KUONGEA UONGO WA WAZI PALE ALIPOKANUSHA KUWA HAJAWAHI KUWA NA MAHUSIANO YA NGONO NA JOSEPHINE MUSHUMBUSI WALA ATI HAJAWAHI KUMTAMBULISHA KTK MIKUTANO YAKE YA KAMPENI!!!! ANGALIA TENA HAPA KTK ATTACHMENT:
   

  Attached Files:

 2. M

  Masauni JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana ccm wote akili yenu ni sawa kabisa hamna jipya imebaki kuchunguza mahusiano ya ngono ya watu!!. Kamuulize kikwete yale mashuga mami ya magomeni mapipa mtaa wa msichoke aliyokuwa anayafuata usiku kipindi alipokuwa waziri wa madini alifanya nayo ngono??
   
 3. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ndugu kwa sheria za nchi hii hatuwezi kuiongelea. over
   
 4. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  wacha hasira jibu hoja!!! Haitasaidia ukiwa mkali hapa tunakwenda taratibu hoja baada ya hoja!!! Matusi, hasira , weka pembeni, kama unataka kumsafisha dr. Wako basi jibu kwa hoja!! Au chadema mumeishiwa mumeshikwa pabaya hamna pa kupumulia????
   
 5. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  na wewe usiku huo mulikuwanae pamoja?
   
 6. M

  Masauni JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siwezi kujibu hoja za ngono mi si mmbea wala mswahili. Watu wasio na kazi kama wewe ndo mnakaa na kuongelea mambo ya ngono
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  CCM ndio wameshikwa pabaya wanashindwa kujibu hoja za maana wanabaki kutapatapa. In short huu mjadala hauna maana kwa sasa, labda subiri wasio na kazi ndio wakujibu hoja yako!
   
 8. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280

  Hivi kuna mzinzi kumpita JK? Au wanahitaji tuanze kuandika na kuweka picha za JK?
   
 9. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kwahiyo wewe ni miongoni mwa hao wasio na kazi maana umejibu hapa hata kama umejibu uozo!!!!!!
  haya unataka kutupa ajira lakini kima cha chini si pokei kama sio 350,000 kwa mwezi!!!!!
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  kaongee na baba yako kwanza kisha uje hapa uongee hayo matakataka yako.
  Kesi ipo mahakamani weye unasaka umaarufu hapa kwa kukiuka sheria ya mwenendo wa kesi. Kwa taarifa yako tumejifunza kwa ZOMBE. haturudii makosa hapa.
  Jifunze namna ya kuanzisha hoja na siyo vioja
   
 11. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwani na wewe mwenye ushahidi usiopingika kuwa Dkt Slaa alitenda tendo la ndoa ulikuwa na Josephine wakati wanatenda hayo...au ulimsaidia jukumu hilo?

  I am sorry to say this,lakini kuna tabia ni za kike zaidi na si ajabu ukaeleweka vibaya pindi kijana wa kiume ukizing'ang'ania.No moja ya tabia hizo ni umbeya.Kama ulikwepo wakati tendo la ndoa linatokea,na kama nawe ulihudumiwa (kwa namna moja au nyingine) kwanini sukae kimya tu?Au una wivu binafsi na Josephine,ulitaka wewe-na si yeye- awe anatambulishwa kuwa mchumba wa Dkt Slaa?

  Mmetumwa kuja kutu-derail kujadili hoja za msingi lakini MSHINDWE NA MLEGEE
   
 12. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #12
  Oct 2, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Kadogoooooo Akili zako ndogo kama jina lako, mngekuwa na akili mngeandaa fumanizi mmshike ugoni lakini kwa kuwa mlikurupuka hamna ushahidi wowote kwamba Josephine ana uhusiano wa kimapenzi na slaa, kampa hifadhi nyumba ya uwani baada ya kumkuta mitaani anahangaika bila msaada
   
 13. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #13
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145

  Kaka,

  Mimi ni mwandishi wa kujitegemea, na ninakuhakikishia kwamba kwenye sekta ya vyombo vya habari hapa nchini UADILIFU sio jambo la kutumainia. Waandishi wa habari wanaandika KUTOKANA NA MATAKWA ya yule anayewapa pesa ili waandike kile kinachotakiwa kuandikwa, hata kama ni cha uongo, ikiwa ni pamoja na kumnukuu kwa uongo mtu yeyote yule.

  Ushahidi pekee ambao unakubalika mahakamani ni ule unaothibitisha madai, kama vile picha za mkanda wa video.

  Je, Slaa AMEREKODIWA akiongea kwamba yeye hajawahi kumtambulisha Josephine Mushumbushi kwenye kadamnasi kama "mke" au "mchumba" wake?

  Tafakari. Chukua hatua!

  2010 Usidanganyike!

  -> Mwana wa Haki!
   
 14. u

  urasa JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mental poverty!!!
   
 15. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Msanii, mkuu ebu punguza ukali wa maneno mkuu. Usiuze heshima yako uliyokuwa nayo hapa kwa miaka kadhaa.
   
 16. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,935
  Likes Received: 12,203
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 17. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  kadogoo,kadogoo,kadogoo you also into this..? think we've got more serious matters to discuss
   
Loading...