Ya arumeru tumeshamaliza magamba yanahaha tu wala usitie shaka..ila nafikiri atawahi wakati wa mwishoni mwishoni...kirumba pia ni kwa ajili ya kujenga chama na kuna uchaguzi wa udiwani pia pande hizo...Mkuu Molemo Dr Slaa hatakiwi kuwa Arumeru?mipango ikoje?
Mkuu hujapitia hata JKT.... hutakiwi kupeleka majesho yote msitari wa mbele...subiri dakika za mwisho utaona kazi yenyeweMkuu Molemo Dr Slaa hatakiwi kuwa Arumeru?mipango ikoje?
Molemo asante kwa taarifa..... sisi tunajenga chama wao wanajenga majungu.
Mkuu Molemo Dr Slaa hatakiwi kuwa Arumeru?mipango ikoje?
Wameshaishiwa ulimi nje watachoka wenyewe, siku hizi sijihangaishi na thread za majungu nachangia na kujifunza kwenye mada zilizo na facts.Ni kweli mkuu naona wamepangana wanapost utumbo kwenye ile thread ya kizushi na sasa posts zinakaribia 600.Watahangaika sana lakini mwisho wao uko karibu sana.
Ni kweli mkuu naona wamepangana wanapost utumbo kwenye ile thread ya kizushi na sasa posts zinakaribia 600.Watahangaika sana lakini mwisho wao uko karibu sana.
Ni kweli mkuu naona wamepangana wanapost utumbo kwenye ile thread ya kizushi na sasa posts zinakaribia 600.Watahangaika sana lakini mwisho wao uko karibu sana.
Mkuu Molemo Dr Slaa hatakiwi kuwa Arumeru?mipango ikoje?
CCM hawawezi kushinda kata ya Kirumba hata wampeleke Kikwete alale pale.Uchaguzi wa diwani Kirumba nadiriki kusema unaweza kuwa ni wa kihistoria tangu mfumo wa vyama vingi uingie hapa nchini...CCM wanapigana kufa na kupona kunyakua kata hiyo ili japo wafufue matumaini ya kurirejesha jiji la Mwanza 2015...wakati CDM wanataka kuendelea kuikali kata hiyo ili kuudhihirishia umma wa wa Tanzania kwa walishaisambaratisha kabisa CCM jijini Mwanza...Usije kushangaa kusikia Mbowe anakuja kufunga kampeni hizi.
mzee arumeru watenda wote,wawakilishi wanatosha then atenda tu huko yani mwezi mzima awepo tu huko kama yeye ni kampen manager au mgombea.Hata Mbowe tu anaweza asiwepo kuleMkuu Molemo Dr Slaa hatakiwi kuwa Arumeru?mipango ikoje?
CCM hawawezi kushinda kata ya Kirumba hata wampeleke Kikwete alale pale.
Mnajengaje chama mkuu?
Nani chama nani majungu¥Umenisoma?
Usikute ni color blind,mpe makavu live.
Ni kweli mkuu naona wamepangana wanapost utumbo kwenye ile thread ya kizushi na sasa posts zinakaribia 600.Watahangaika sana lakini mwisho wao uko karibu sana.
Na wewe ni Great Thinker?Mnajengaje chama mkuu?