Hawa ndo viongozi wa chadema saut na makabila yao.

Status
Not open for further replies.

oneblood

JF-Expert Member
Dec 27, 2011
244
0
Wakuu kutokana na propaganda zimezokuwa zinaelekezwa kwetu kama chama (CDM)propaganda za udini,ukabila na hata ukanda,propaganda ambazo zimekuwa zikiendeshwa na magamba na wafuasi wao,wakisaidiwa na baadhi ya wanasiasa wa upinzani ambao ama kwa majina yao,kabila zao na dini zao wamekuwa wakizipa kipaumbelee wakiamini ni mtaji tosha wa kupata kura na kuwa win majority,poor strategic,kumekuwa na uzushi unaolihusisha tawi la CDM SAUT Mwanza na ziara ya mwenyekiti wa chama taifa mh Freeman Mbowe jijini mwanza hasa tawini SAUT,sasa ilikuweka kumbukumbu vema nimeona nimjibu mtoa mada huyo alieipa mada yake jina "CHADEMA SAUT KUTUMIKA KUFICHA AIBU YA MBOWE MWANZA"uzushi huu ambao umekuwa ukisambazwa na magamba hasa kwa kumtumia mtu mmoja anae tumia ID ya jina la Magreth.....huko Fb na intelegensia ya chama(CDM SAUT) imegundua ni mwanaume anaetumia jina la kike(inferiority complex)kama kava yake,kama ilivyo magamba siku zote wamekuwa dhaifu katika kujenga hoja,zaidi ni hodari kwa propaganda nyepesi tu,so kutokana na sababu hizo hapo juu nikiwa kama mwanaCDM wa hapa SAUT nimejitolea kujibu propaganda hiyo ili isiaminiwe na umma,na kwa kuanza nitaanza kwa kumwambia ziara ya Mbowe ama kiongozi yoyote wa taifa iliombwa na tawi tokea mwezi wa 5 kabla ya chuo hicho hakijafungwa ambapo makamanda wengi walialikwa kama Halima Mdee,profesa Safari,Zitto Kabwe,Mnyika na Lema NA Sugu waliombwa na uongozi waje tawini hapo bt walitoa udhuru mbalimbali hasa ikizingatiwa chama kilikuwa katika uanzishwaji wa kanda za kichama,tawi halikuchoka likaamua kuwasiliana na katibu mkuu dk Slaa,ambaye nae alikuwa anajiandaa na ziara ndefu ya USA,tawi likawasiliana na ofisi ya mwenyekiti ambae nae kipindi hicho ilishindikana kutokana na kuwa walikuwa wakijiandaa na ukuswanyaji wa maoni ya katiba mpya upande wa chama,na tawi lilihitaji ujio wa viongozi hao hasa ukizingatiakuwa magamba wamekuwa wakiwaleta viongozi wao wa kiserikali chuoni hapa kwa kuzuga wanakuja kutoa mada kwenye mijadala mbalimbali ambayo mwishowe hugeuka kongamano la kisiasa,watu kama Wassira,Nyalandu,Sitta na Profesa Muhongo wamefika chuoni hapa mfululizo mwaka huu huku wakitumia madarasa ya chuo,mpaka chuo hicho kinafungwa viongozi hao wote walikubali kuja wakati mwingine hasa pindi chuo kikifunguliwa na mwenyekiti Mbowe alikuwa mtu wa kwanza kukubali mwaliko huu wa mala ya pili bahati mbaya ulishindika kufanyika kutokana na shughuri za bungre na ulikuwa ufanyike mwezi uliopita tu,hivyo kwa sasa amepata nafasi na tawi limemwomba aje na amekuja hasa ikizingatiwa yeye ndo mwasisi wa tawi hili tangu mwaka 2007 alipolizindua rasmi.
hivyo kutokana na propaganda hiyo iliyotolewa leo nitaitaja historia ndogo ya tawi na viongozi wake kwa miaka 2 nyuma na waliopo sasa kwa majina na kabila zao ili tuweke kumbukumbu sawa na kuwanyima CCM hoja,hawa hapa viongozi hao

mwaka 2010-2011 Mwekiti wa tawi alikuwa bwana Mpate(Mtwala)katibu ,Ntandu(Singida)katibu mwenezi Malisa Godlisten(mchaga)
mwaka 2011-2012 mwenyekiti,Pastrobasi Pasco (msukuma)m/mwenyekiti Nicholaus Kirunga(muha)katibu,Makoko Obadia(muha)naibu katibu ,Makala Lumuli(mnyakyusa)katibu mwenezi ,Binamungu Rweyimamu(mhaya)mwenyekiti BAVICHA ,Volaa(msukuma)
mwaka 2013-2014mwenyekiti Kitaly Wilhad(mchaga)makamu mwenyekiti ,Sanga Joseph(Mhehe)katibu ,Lang'o Jacksoni(mjaluo)naibu katibu ,Nicholaus Kirunga (Muha)katibu mwenezi Masenza Sijaona Makanika(mkurya)mwenyekiti BAVICHA ,Lugendo Sweya(msukuma) na katibu wake Eliudi Msongole(Mnyakyusa)
hivyo basi wanajukwaahili mnaweza kuona huo umekuwa ni mlolongo wa viongozi wa tawi kwa miaka ya hivi karibuni na wote wamechaguliwa na wajumbe/wanachama zaidi ya 300 na ushahidi upo na kila kiongozi alikuwa anawashindani zaidi ya 3 kwa kila nafasi na aliyoshinda katika chaguzi hizo, ni kutokana na uwezo wao wa kujenga hoja,malengo na uimara wao na si dini wala kabila zao kama mtoa mada ile alivyozamilia kupotosha umma wa TZ,tawi la CDM SAUT natambua limekuwa imara sana na linalowapa tabu magamba kanda ya ziwa kwani kutokana na tawi kuwa na utaratibu wa kila mwezi kufanya ziala za kichama kwenye majimbo karibu kama Kwimba kwa Majaliwa Ndasa,Nyamagana,Ilemela,Geita na Sengerema na huko kote wameendelea kutoa elimu ya ukombozi,tawi linatambua kuna mkakati wa makusudi umesukwa na Magamba kanda ya Ziwa(kina Dialo)kuhakikisha wanawazima wanaharakati wa SAUT ndani ya chuo na nje,kama mnakumbuka tawi la SAUT lemeweza kutoa wabunge kadhaa sasa ambao kwa namna moja walikuwa makanda wa CDM SAUT,Mfano Machali,Wenje na Mkosamali,pia hata mwenyekiti wangu wa BAVICHA Heche amepitia hapa na zaidi ya yote tawi lilisababisha majonzi kwa magamba baada ya kuhakikisha CDM wananyakua ubunge Nyamagana na Ilemela,hivyo magamba wanaratibu mkakati wa kuvuruga tawi kupitia kina Gwanjele na Chagulani ambao wanajifanya ni viongozi wa matawi 189 cheo ambacho kwa katiba ya sasa hakipo,labda awe mwenyekiti wa matamko.wajipange upya kwani CDM SAUT tupo imara na kesho tutakwenda kuzindua kanda maalumu ya CDM vyuo vikuu kanda ya Ziwa mitaa ya makao makuu ya kanda Bwiru na tutampokea mwenyekiti wetu kamanda wa anga ambaye atazindua kanda hiyo kesho pamoja na kuhutubia mkutano wa kihistoria siku ya jumapili 15/12 katika viwanja vya Nyamalango primary,people'ssssssssssss power daima

A%20S%20tongue.gif
:dance::mimba:plz mods msiondoe uzi huu wala kuunganisha na nyingine
 

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
24,134
2,000
tafadhari wewe kama ni mwanachuo hebu rekebisha hayo mane no ya kiswahili mfano Malta badala ya "Mara"
 

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,207
2,000
Hebu tuwekee na waliopo pale ufipa na makabila yao ili tuamini kama kweli hakuna ukanda wa ukabila
 

fugiken

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
484
225
Hebu tuwekee na waliopo pale ufipa na makabila yao ili tuamini kama kweli hakuna ukanda wa ukabila

Mimi ningependa Wana CDM tusijikite kwenye kutetea sana hili zimwi la UKABILA linanalo wasibu CCM kwani "kauli huumba" wanautaja ukabila sana ambao ni dhambi yao....sisi tuchague watu na uwezo bila woga wa ukabila wanatumia mbinu hii ili wadhoofishe viongozi wa CDM waanze kupatikana kwa dhana ya ukanda wao wanalo hilo tatizo tayari na wanapata shida sana kufanikiwa
 

oneblood

JF-Expert Member
Dec 27, 2011
244
0
Mimi ningependa Wana CDM tusijikite kwenye kutetea sana hili zimwi la UKABILA linanalo wasibu CCM kwani "kauli huumba" wanautaja ukabila sana ambao ni dhambi yao....sisi tuchague watu na uwezo bila woga wa ukabila wanatumia mbinu hii ili wadhoofishe viongozi wa CDM waanze kupatikana kwa dhana ya ukanda wao wanalo hilo tatizo tayari na wanapata shida sana kufanikiwa

bt sometimes lazima wajibiwe kwani ukacha uwongo kwa mda mrefu watu huamini ni ukweli,japo sometimes tunapga kimya
 

luhala

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
412
0
Kwani kwa CCM mtu akiwa mchagga au mkristo ni haramu kuchaguliwa kuongoza hata akiwa na sifa za namna gani? Kama ukabila, umahalia, udini na rangi ndiyo vigezo vya mtu kukabidhiwa uongozi ndani ya CCM basi chama hicho kimehama toka misingi ya mwasisi wao Hayati Mwl. Nyerere.
Kuna baadhi ya propaganda zinaimaliza CCM bila wenyewe kujua.
 

usungilo

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
527
500
Kwani kwa CCM mtu akiwa mchagga au mkristo ni haramu kuchaguliwa kuongoza hata akiwa na sifa za namna gani? Kama ukabila, umahalia, udini na rangi ndiyo vigezo vya mtu kukabidhiwa uongozi ndani ya CCM basi chama hicho kimehama toka misingi ya mwasisi wao Hayati Mwl. Nyerere.
Kuna baadhi ya propaganda zinaimaliza CCM bila wenyewe kujua.

Mkuu humu ndani hutakiwi kujadili kwamba ccm kina udini! Ihusishe cdm na ukristo uwezavyo ila ukiihusisha ccm na uislamu utakipata cha moto!
 

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
14,759
2,000
kikwete kaiharibu nchi,huyu ndiye muasisi wa udini nchini.Hivi jana kalala tz au nje ya nchi?
 

ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,959
1,225
Hako katawi ka saut ni sawa na dagaa mmoja ziwa victoria. Mnatumika kuhadaa watu.nenda makao makuu ndio utajua kuwa chadema ni saccos ya kaskazini. Ktk wakurugenzi 6, wanne ni wachaga
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom