hivi huko Marekani wanajua kama jamaa kapora mke wa mtu na anatafuna fedha za ruzuku?
Mkuu, hawa wasikupe shida sie tulishawazoea tu. kazi ni moja tunatoa elimu kwa raia wao wamebaki na matusi yao.. Tutakutana nao 2015 katika sanduku la kura.
hivi huko Marekani wanajua kama jamaa kapora mke wa mtu na anatafuna fedha za ruzuku?
Dr. Slaa akiongozwa
.......
..."Tanzania is a great and rich country, with rich culture and rich people at heart. Her people have sent me on a study tour. They have sent me to learn the secrets of your success as a society "....
Jamani huu ni muujiza wa Mungu.Dr Slaa kwa sasa anatamba katika siasa za Dunia.
Wanasiasa wengi wa Marekani wamesema Dr Slaa ni mwanasiasa bora zaidi Afrika mbali ya Nelson Mandela na Julius Nyerere.
Mungu azidi kumbariki huyu mzalendo mwana wa Afrika.
mkuu utendaji unapungua kama ukiibiwa mke, wewe unadhani ni jambo dogo kuhandle the situation ya kunyanganywa your loved one...ni kazi ngumu haswaKupora mke wa mtu ndo kumesababisha umaskini walionao wa Tanzania? Hizo ni personal issues ambazo hazitusaidii. Hivi kwani huyo Josephine ni under 18? La hasha ni mtu mwenye umri wa kuchambua jema na bays. Tusipoteze muda kujadili masuala binafsi maana hayatusaidii kuondoa umaskini
Babu kachanganyikiwa, ni nani alimtuma "study tour"? asisingizie Watanzania, huo ni uongo wa wazi wazi kabisa.
Watanzania tumemtuma kazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete, hatuna haja ya kupeleka kibabu hicho "study tour".
Hiyo "study tour" kajiendea mwenyewe tu, sidhani hata kama chadema watakuwa mapunguani kiasi wamtume babu na mchumba kufanya "study tour".
sipati picha kama kikwete angepewa nafasi kama hii angeongea nini hasa,jamaa kwa pumba ndiye kwake
mkuu, kwani kuhojiwa ni tija? mbona hata machangudoa huwa wanahojiwa na VOA?
kama anashindwa kuwa serious katika jambo la msingi kama ndoa. tumwaminije kumkabidhi nchi? by the way, sheria za kanisa la katoliki linaamini ndoa ndoa moja mke mmoja. naamini hakuna padre wala askofu atakayefungisha ndoa ya dr slaa na Josephine
Laana sio lazima uone nyeti za mzazi hata matusi kwa mtu mzima wa umri kukuzidi laana itakuandama. Tujadili facts sio matusi kwa watu wazima. Huu ndio msingi wa malezi ya kiafrika
Babu kachanganyikiwa, ni nani alimtuma "study tour"? asisingizie Watanzania, huo ni uongo wa wazi wazi kabisa.
Watanzania tumemtuma kazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete, hatuna haja ya kupeleka kibabu hicho "study tour".
Hiyo "study tour" kajiendea mwenyewe tu, sidhani hata kama chadema watakuwa mapunguani kiasi wamtume babu na mchumba kufanya "study tour".
mwambie apitie na VOICE OF AMERICA.