Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Mkuu ulichofanikiwa hapa JF, ni kudhihirisha kuwa unamchukia Dr. Slaa.hivi huko Marekani wanajua kama jamaa kapora mke wa mtu na anatafuna fedha za ruzuku?
tatizo chama chenu kinaendekeza uongo, uzushi, unafiki na uzandiki
kama anashindwa kuwa serious katika jambo la msingi kama ndoa. tumwaminije kumkabidhi nchi? by the way, sheria za kanisa la katoliki linaamini ndoa ndoa moja mke mmoja. naamini hakuna padre wala askofu atakayefungisha ndoa ya dr slaa na Josephine
Kashindwa kuongoza familia ipi? Watoto wake na Rose ni watu wazima na wamesoma!!! Hawajapata ziro au division four kama wale wa yule wa kwenu!!! Na wale waliobahatika kusoma, walikuwa wanaandikiwa madesa chuo!!! Kamwambie huyo short wake kama anajua kujibu hata petition ya mahakama!! Facts zipo, usitake tuangushe hapa watu waumbuke.
Umeshafika peponi mungu kakuambia hivo? hapo kwenye redi.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Dr. Wilbrod Slaa, katibu mkuu wa Chadema amefanya mahojiano na ya Indianapolis ambayo ndiyo moja ya radio kubwa nchini marekani akisikilizwa na watu zaidi ya millioni 9 huku wengine wakishiriki kwenye mjadala kupitia mitandao ya jamii na simu moja kwa moja.
Kwa asilimia kubwa, wengi wamemkubali na kumuona kama mkombozi, siyo tu wa Tanzania, bali wa bara la Afrika kutokana na jinsi alivyojielezea na pia kuzungumzia mada mbalimbali hasa mikakati yake na chama chake Chadema kumuokoa mtanzania kutokana na ukoloni mamboleo ya CCM. Dr. Slaa amezungumzia kuhusu elimu, kilimo, afya, uwekezaji na fursa nchi zilizopo Tanzania.
Baadae mchana, Dr. Slaa atahojiwa na radio ya jijini Washington DC. Stay tuned...
huwezi kuasi kanisa kwa tamaa za kimwili halafu Mungu akakuchekelea tu. mbaya zaidi unazidi kumuudhi kwa kuendekeza uzinifu
Wewe unatumia ma------
kufikiri....Nelson Mandela aliachana na winnie na kumuoa Graca...does it
make him a bad leader...
mkuu marekani sio watu wambeya na wazandiki kama wewe!hivi huko Marekani wanajua kama jamaa kapora mke wa mtu na anatafuna fedha za ruzuku?
Mchana huu atahojiwa hapa;..
Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM., Jumatano, Oct 9, 2013
Dr. Wilbroad Slaa amealikwa kwa mahojiano na WPFW Radio ya Washington, D.C., U.S.A. siku ya jumatano October 9, 2013. Saa saba mchana kwa saa za Amerika ya mashariki (1pm U.S Eastern time)/ Saa mbili usiku saa za Afrika mashariki (8pm East Africa time).
Kumefanyika jitihada za kuushirikisha ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kushiriki mahojiano haya bila kuwa na mafanikio. Bado jitihada za kuushirikisha ubalozi zinafanyika mpaka hivi sasa.
Baadhi ya mambo yatakayo jadiliwa ni hali ya siasa Tanzania, hali ya kijamii, hali ya kiuchumi, amani na usalama wa Tanzania na mengineo.
Bofya hapa kusikiliza WPFW radio live WPFW Radio
Source: CHADEMA DIASPORA : Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM., Jumatano, Oct 9, 2013
kweli ziara ya dr. Slaa inawafanya mtoke mapovu huko lumumba, pole sana mkuu!mkuu, kwani kuhojiwa ni tija? mbona hata machangudoa huwa wanahojiwa na VOA?
kama anashindwa kuwa serious katika jambo la msingi kama ndoa. tumwaminije kumkabidhi nchi? by the way, sheria za kanisa la katoliki linaamini ndoa ndoa moja mke mmoja. naamini hakuna padre wala askofu atakayefungisha ndoa ya dr slaa na Josephine
hivi huko Marekani wanajua kama jamaa kapora mke wa mtu na anatafuna fedha za ruzuku?
we nambie dr slaa alioa lini na lini wameachana na mke wake wa ndoa na ameoa tena lini zaidi ya kuishi na vimada tu
huwezi kuasi kanisa kwa tamaa za kimwili halafu Mungu akakuchekelea tu. mbaya zaidi unazidi kumuudhi kwa kuendekeza uzinifu
we nambie dr slaa alioa lini na lini wameachana na mke wake wa ndoa na ameoa tena lini zaidi ya kuishi na vimada tu