Dr Slaa ndani Kinampanda

Dr Slaa ndani Kinampanda

Leo saa saba kamili timu chadema itatua kinampanda hivi sasa shamramra zaendelea kuusubiri ugeni mzito bendera zapepea juu ya mzambarau tutakuwa tunawaletea habari kwani tuko ndani ya kinampanda

Pamoja sana Kamanda.Tupe Live bila chenga.
 
Singida MH,
Kumbuka Atlasi ya shule ya msingi.

Gwikulu Nchemba haifahamu Jiografia ya Iramba. Nakumbuka tulipokuwa naye pale Ruruma, Kiombo hakujua tofauti ya Wahadzabe na Wambilikimo wa Kongo. Ila nilifuruhia jinsi alivyoigiza kucheza na Wahadzabe!
 
Tusubiri matusi toka kwa Nchemba.
 
poa mkuu tupo pamoja,nafarijika kuona eneo nilikozaliwa linapitiwa na m4c japo siko home kwasasa ila tunawaombea mkutano mwema,mwanaume wa kazi ateme cheche zake.
 
kinampanda ni moja ya tarafa ya wilaya ya IRAMBA mkoa wa Singida
 
2015 nchemba ataondolewa na matusi yake.utadhani jamaa alisomea degree ya matusi bwana,mi huwa ananiboa sana.
 
Elezea vizuri sio kila mtu anapajua Kinampanda.
 
Kule Chadema watakula za uso tu,, Iramba hawataki vyama vinavyochochea vurugu na uvunjifu wa amani. wamezoea kuishi kwa upendo
 
Huku jimbo la Iramba magharibi hii ni tarafa aliyotoke Lameck Nchemba Madelu wa ccm
 
Back
Top Bottom