Dr. Slaa: Natishwa

Jamani eleweni chadema ni chama MASLAHI, wameangalia maslahi kwa Lowasa lkn siyo kuwatetea wananchi hata siku moja. Na chadema hakuna Demokrasia kama wanavyojinadi. Haiwezekani mtu aingie siku moja tu tena baada ya kutoswa alikokuwa kisha mnampa kipaumbele kuliko waliokitoa chama mbali! Hii haiingii akilini kwa watu makini. Ndo maana Slaa kaduwaa hajui afanyeje mzee wa watu. Lazima itakuwa anagundua sasa kwamba Zito alikuwa sahihi ila hawezi kusema kwa kuwa anaogopa kula matapishi. Hiyo inabaki moyoni mwake tu
 
.
haya tumekusikia kachukue buku zako saba Lumumba.
 
Bahati nzuri sana mimi sina chama, ni mtanzania wa kawaida tu. Nipo Neutral kabisa, ila nafuatilia mambo yanavyokwenda kwa mustakabali wa nchi yetu
 
slaa kapewa likizo yalazima

Hongera lakini angalia muda unaotumia kuchochea kuni na kuacha CCM wananunua ubunge kwa mamilioni upo tu kama kuku wa kienyeji anachakura.

Kuni unazochoche ni mbichi utaumwa mafua na macho bure bila sababu.

1:Hivi waandishi wote wanasema hawajamuona Dr.Slaa na hajatoka ndani,hivi kwa akili ya UTU uzima,Busara na Hekima haikuonyeshi kwamba Raia Mwema ni waongo?

2: Hiakufanyi ushtuke uone kwamba gazeti.husika linapiga majungu ili kukuza ugomvi wa.wanandugu?

3:Kwa kwa kawaida ukiona ndugu wanagombana chukua jembe ukalime wakipatana chukua jembe ukavune.

Sasa mko busy kuwachonganisha wanandugu jamani wakipatana hawa hmana cha kuvuna mtalala njaa mfe.

Nawashauri tuacheni wenyewe ugomvi huu ni wa wanandugu siku tukipatana mtapata aibu mtakuwa hamna cha kufanya.

4:Adui mwombee uhai ili aone unavyoendelea.

Duh ukiwa mwanaume halafu uwe mbea lazima uwe mchawi tu.Pole
 
Dr.Slaa sasa unataka tuamini kuwa sio mwana mageuzi Wa kweli wakati tunahangaika kuimarisha timu ya ushindi wewe unatudhohofisha? Hakika unashangaza sana
 
Dr.Slaa sasa unataka tuamini kuwa sio mwana mageuzi Wa kweli wakati tunahangaika kuimarisha timu ya ushindi wewe unatudhohofisha? Hakika unashangaza sana
Tusonge mbele tutashinda Mungu yupo upande wetu .uwezi jua labda Mungu ametuepushia kitu .
 
Atakaporejea kutoka wapi,kwani kasafiri? Si yupo hapahapa dar!

Ama kweli magamba kazi wanayo,nataka niwaambie dr.ni mtu makini sana,mpango wa EL haukuwa wa kubahatisha,uliandaliwa kwa ustadi na umakini wa hali ya juu sana.Nadhani mnaoshabikia jambo hili hamuijui siasa,watu makini tunazichukulia kama propaganda za kuku.Na ndio maana vyombo vya habari makini na vyenye weledi wa utafiti wa hali ya juu havijasema chochote,vinafahamu hoja hii imekolezwa chunvi.Wana CHADEMA msiwe na hofu dr. yuko pamoja na chama kikamilifu.Ma ccm waacheni waendelee kucheza mechi wasioijua,watakaposhtuka wanacheza pekeyao,sisi tunaingia magogoni.Acheni ujinga magamba,jengeni chama chenu kinaenda kufa oct.
 
Hivi mtu anasema tuachie wenyewe ugomvi huu,kwani anadhani kile ni chake yeye na baba yake au?

Cdm ni kampuni ya ukoo ile, kwani hujui! Unafikiri anavyokwambia wanandugu wakigombana chukua jembe kalime kakosea! Cdm imeanzishwa na Mtei, M/kiti ni mkwe wake Mtei (Mbowe), Kina Lema wote wana nasaba ktk hizo koo. Lisu mbunge wa cdm sgd, mdogo wake mbunge wa kuteuliwa cdm na wengine kibao mtawataja wenyewe.
 
Back
Top Bottom