Dkt Kilembwe
Senior Member
- Apr 25, 2015
- 154
- 102
Dr. Slaa na Prof. Beregu mbioni kujiunga na ActWazalendo baada ya kuona ubabaishaji unaoendelea ndani ya UKAWA alisikika akisema hatoki UKAWA sababu ya kukosa nafasi ya kugombea Urais bali anaona ni kujidhalilisha kwa kula matapishi yake na msimamo wake wa kuupinga ufisadi alisikika akigomba kuwa huku ni kuwadharau watanzania na kuwaona ni wajinga asema sio dhambi kufanya kazi na Zitto.
Beregu nae amesikika akisema kamwe haiwezi idhalilisha taauluma yake sasa ndio wakati wa kukaa pembeni na kuamua kujiunga na harakati mpya. Vikao vya kimya kimya vimekaa kujaribu kubadili misimamo ya wawili hawa.