Tatizo siyo kusafiri tatizo ni mpango wa kukwepa kodi kupitia kwa mtumishi wa Mungu mwenye Kanisa kubwa pale Kawe.hivi kuna tatizo mtu akisafiri? unampangia lini asafiri na lini asisafiri? kama kuna kosa au kavunja sheria za nchi leteni ushahidi ili tujadili na afikishwe kwenye vyombo vya usalama.
hivi kuna tatizo mtu akisafiri? unampangia lini asafiri na lini asisafiri? kama kuna kosa au kavunja sheria za nchi leteni ushahidi ili tujadili na afikishwe kwenye vyombo vya usalama.
kuona mpaka upigwe mbata ndio ubongo ulio ganda uweze kuona.
japan wameanza kuwekeza chadema je mtawalipa nini?
kwa nini hawakanushi kwenye suala la rais 2015 ndie awe mmiliki wa hiyo hospitali?.
mbona mnaanza kujirahisi kwenye mataifa tajiri.
au mnataka kutuuza kama alivyo sema lipumba.
wanaukumbi.
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema, dr. Slaa anapenda sana kujinasibisha kwamba yeye ni mzalendo wa kupindukia, anayechukia vitendo vya ufisadi na anayeionea huruma nchi yetu.
Taarifa za uhakika kabisa zinathibitisha kwamba mwishoni wa mwezi juni, mwaka 2013 dr.slaa na mchumba wake walitembelewa na kundi la wapani wapatao 20 nyumbani kwao mbweni, kinondoni ambapo wote kwa pamoja walikula cha jioni.
Dhumuni la ugeni huo wa wajapani, ilikuwa ni kuthibitisha kama kweli chadema kina mpango wa kujenga hospitali kubwa ya kisasa katika eneo la mlalakuwa dar es salaam, wajapani hao ndiyo walipangwa au kuteuliwa kujenga hospitali hiyo, wameakikishiwa pamoja na mambo mengine ya kimaslahi yao makampuni yao mengine, kwamba msimamizi wa hospitali hiyo ndiyo atakayekuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2015, kwa maana ya dr. Slaa.
Mipango yote ya kujenga hospitali hiyo, inaratibiwa na askofu mmoja anayemiliki kanisa lake maeneo ya kawe, dar es salaam, askofu huyo amekuwa akifanya safari za japani akiwa ameandamana na mchumba wa dr. Slaa, josephine, mpango unafanyanyika vifaa vyote vitakavyoingizwa kutoka japani vipitie mikononi mwa kanisa ili tu visitozwe kodi na serikali.
Ni dr.slaa huyu huyu, ambaye miaka michache iliyopita alitangaza orodha ya aibu ya mafisadi pale mwembe yanga, leo hii anawakimbia mamlaka ya mapato nchini tra.
majibu kutoka kwa dr. Slaa
this is your true colour.
"its better to have announced enermy than hidden friend"
Wanaukumbi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema, Dr. Slaa
anapenda sana kujinasibisha kwamba yeye ni mzalendo wa kupindukia,
anayechukia vitendo vya ufisadi na anayeionea huruma nchi yetu.
Taarifa za uhakika kabisa zinathibitisha kwamba mwishoni wa mwezi Juni,
mwaka 2013 Dr.Slaa na Mchumba wake walitembelewa na kundi la Wapani
wapatao 20 nyumbani kwao Mbweni, Kinondoni ambapo wote kwa pamoja
walikula cha jioni.
Dhumuni la ugeni huo wa Wajapani, ilikuwa ni kuthibitisha kama kweli
Chadema kina mpango wa kujenga hospitali kubwa ya kisasa katika eneo la
Mlalakuwa Dar es Salaam, Wajapani hao ndiyo walipangwa au kuteuliwa
kujenga hospitali hiyo, wameakikishiwa pamoja na mambo mengine ya
kimaslahi yao makampuni yao mengine, kwamba msimamizi wa hospitali hiyo
ndiyo atakayekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015,
kwa maana ya Dr. Slaa.
Mipango yote ya kujenga hospitali hiyo, inaratibiwa na Askofu mmoja
anayemiliki Kanisa lake maeneo ya Kawe, Dar es Salaam, Askofu huyo
amekuwa akifanya safari za Japani akiwa ameandamana na mchumba wa Dr.
Slaa, Josephine, mpango unafanyanyika vifaa vyote vitakavyoingizwa
kutoka Japani vipitie mikononi mwa Kanisa ili tu visitozwe kodi na
serikali.
Ni Dr.Slaa huyu huyu, ambaye miaka michache iliyopita alitangaza orodha
ya aibu ya mafisadi pale Mwembe yanga, leo hii anawakimbia Mamlaka ya
Mapato nchini TRA.
Majibu kutoka kwa Dr. Slaa

hivi pale wewe umejua ameongelea nini? umeona akikosoa? umeona akikubali?Mkuu Ruttashobolwa jambo moja ambalo unashindwa kumfahamu THE BIG SHOW ni kuwa jamaa pamoja na kuwa mfuasi wa chadema still ni mtu mwenye fikra huru. Haogopi kuonyesha msimamo wake wala haburuzwi kama mnavyofanya nyie. Hamhoji wala kucritisize maovu ya viongozi wenu na kuna baadhi ya vipenzi wenu wakiguswa mnakimbilia eti kuna vikao vya ndani au bestway ya kuwasilisha maoni. Mbona kuna udouble standards kwenye kuhukumu viongozi wenu?.
Kamanda hebu acha kupotosha CCBRT siyo taasisi ya Dr.Slaa.
Kwenye vikao vyenu vyama Chadema ndivyo anavyowadanganya.
Muulize tena vizuri.
huyu mzee anatafuta nini humu kwenye wajinga waliopindukia,utabakizwa uchi. ingia mahali penye hadhi yako,huku size ya kina mbwa kachoka,hogo,paka shumi,kabalata rombo. Urais unakutia wazimu nini?
kuona mpaka upigwe mbata ndio ubongo ulio ganda uweze kuona.
japan wameanza kuwekeza chadema je mtawalipa nini?
kwa nini hawakanushi kwenye suala la rais 2015 ndie awe mmiliki wa hiyo hospitali?.
mbona mnaanza kujirahisi kwenye mataifa tajiri.
au mnataka kutuuza kama alivyo sema lipumba.
Nadhani hakuna anayepinga ili jambo la kujenga hospitali watu wanachapinga ukwepaji kodi.
kuona mpaka upigwe mbata ndio ubongo ulio ganda uweze kuona.
japan wameanza kuwekeza chadema je mtawalipa nini?
kwa nini hawakanushi kwenye suala la rais 2015 ndie awe mmiliki wa hiyo hospitali?.
mbona mnaanza kujirahisi kwenye mataifa tajiri.
au mnataka kutuuza kama alivyo sema lipumba.
Hahaaaaaaa haaaaaaa. Wanasiasa wa bongo ote dugu moja bana,wao danganya nyie tu. hajafika Ikulu mambo ndio hivyo,akiingia je itakuwaje? yaleyale ya Anna Mkapa,mama Salma na kina Ridhwaan, amkeni nyie ujinga umewajaa mpaka tunduni
huyu mzee anatafuta nini humu kwenye wajinga waliopindukia,utabakizwa uchi. ingia mahali penye hadhi yako,huku size ya kina mbwa kachoka,hogo,paka shumi,kabalata rombo. Urais unakutia wazimu nini?
Tatizo siyo kusafiri tatizo ni mpango wa kukwepa kodi kupitia kwa mtumishi wa Mungu mwenye Kanisa kubwa pale Kawe.
Dr. Slaa na Josephine kama marafiki wa familia yao, akakubali kwamba vifaa vyote vya vitakavyoingizwa kutoka Japani kwa ajili ya ujenzi wa hospitali hiyo. Vipitie mikononi mwa kanisa lake ili tu visitozwe kodi na serikali.
hivi pale wewe umejua ameongelea nini? umeona akikosoa? umeona akikubali?
naona CHAMVIGA umemsemea wala hakuna sehemu aliyo mkosoa hapo. kama fikra huru maana yake ni kujificha nakubali.
hakuna ushahidi katika hii mada yenu kabisa, kwa mfano wewe umeropoka na kusema kuwa dr slaa ni fisadi kama mama rwakatale na umekwenda mbali ukasema huyu mama ni muuza madawa ya kulevya sasa naomba ushahidi kwenye hayo ili nisikuone wewe ni mropokaji.
sikujua kama huyu mama mwana ccm nayeye ana jihusisha na hii biashara kwa kutumia mwamvuli wa dini lakini naomba utoe ushuhuda hili ni si doubt kila unacho kiandika.
Kamanda hebu acha kupotosha CCBRT siyo taasisi ya Dr.Slaa.
Kwenye vikao vyenu vyama Chadema ndivyo anavyowadanganya.
Muulize tena vizuri.
Nani muadilifu ndani ya CCM. Wote wezi kuanzia baba mpaka watoto hyo kodi wanalipia wapi?
Nyie uwezo wenu wa kufikiri umefika tamati kachukueni buku 7 za wapumbav.u