Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Status
Not open for further replies.
mkuu mungu yupi hapo? Je yesu au Allah? Kiujumla umehukumu mkuu, je wajua wewe siku ya mwisho utakuwa wapi? Wewe naona utakuwa pabaya zaidi...sitaki nikutabirie!

maisha uishiyo hapa duniani ndiyo mwanga wako wa hukum yako itakavyokuwa baada ya muumba kuja slaa yeye ipo wazi.
 
mi nadhani hata kama atakwepa kodi still inajengwa hospitali sio hotel au appartment,hayo makampuni ya madini yanayosahamewa kodi ni bora zaidi kuliko anaetaka kujenga hospitali,watz tuache unafiki.KEEP IT UP DR.
 
Mkuu, kuna watu watahukumiwa kwa kupimwa kwenye mizani mema yao na mabaya yao. ila Dr Slaa atahukumiwa kwa kumwangalia tu maana matendo yake yanajidhihirisha kuwa ameamua kumtumikia shetani
kwa hiyo wewe utahukumiwa kwa namna ipi? Ya kukuangalia ama? Je wewe unamtumikia nani? Je wanaomtumikia mungu wakoje? Je unaweza kunipa mifano ya viongozi wa kisiasa wanaomtumikia mungu? Naomba niwajue mkuu tafadhali...
 
maisha uishiyo hapa duniani ndiyo mwanga wako wa hukum yako itakavyokuwa baada ya muumba kuja slaa yeye ipo wazi.
mkuu bado unapiga chenga hujajibu swali, nimekwambia mungu yupi? Je yesu ama Allah? Je uwazi wa slaa ni upi? Ambao ni tofauti na binadamu wengine?
 
Nasikia ile meli iliyokamatwa ughaibuni ilikuwa inasafirisha madawa ya kulevya ya CCM kwa ajili ya kupata fedha za kuhonga uchaguzi wa 2015!Ni kweli Riz-1?
 
mkuu bado unapiga chenga hujajibu swali, nimekwambia mungu yupi? Je yesu ama Allah? Je uwazi wa slaa ni upi? Ambao ni tofauti na binadamu wengine?

sijui kichwa chako kinanini pengine kinauji mimi namjua mungu mmoja tu naye ni mungu basi hao wengine unawajua wewe,
halafu kwenye red sijakuelewa kwa hiyo sitakujibu.
 
sijui kichwa chako kinanini pengine kinauji mimi namjua mungu mmoja tu naye ni mungu basi hao wengine unawajua wewe,
halafu kwenye red sijakuelewa kwa hiyo sitakujibu.
mkuu kwa hiyo huyo mungu wako asiye na jina ndo anaruhusu uje upige matusi ya rejareja hapa? Je unafikiri uko sahìhi kumsemea dr. Slaa pengine kwa mungu asiyemuamini? Kama umesahau juu ya hili neno la kwenye red, je wewe kichwani una mashudu ama maruweruwe? Maana hili neno umeliandika mwenyewe mimi nimekopy tu!
 
Dr.slaa ameshasaidia sana watanzania kupitia taasisi yake CCBRT,hivyo ana uzoefu wa kutoa huduma kwa wananchi!JK ana nini?msamaha wa kodi umeruhusiwa na govt ya ccm,hivyo laumu wabunge wa ccm kupitisha wakati mkulo alipojaribu kuifuta
Hivi wazushi kama nyie mtaisha lini hapa TZ?????!!!!
Yani CCBRT unasema ni ya W.SLAA???
Nikuhakikishie tu ni kwamba CCBRT haijapokea hata sent moja toka kwa slaa zaidi ya slaa kuwa kama mmoja wa viongozi wa KUTEULIWA kusimamia uanzishwaji wake huku yeye slaa akifaidika na malipo makubwa toka kwa wafadhili waliojenga hospital hiyo.
Huyu slaa ni mzushi na anajua kuwa wafuadi wake ni wajinga(kama ulivyo wewe) na hivyo basi anayachukulia mafanikio ya CCBRT kama mafanikio yake binafsi kwa kuwaongopea watu huku akiuficha ukweli wa faida za kiuchumi alizozipata kupitia hapo.

After all hana cha kujivuni
 
Hivi wazushi kama nyie mtaisha lini hapa TZ?????!!!!
Yani CCBRT unasema ni ya W.SLAA???
Nikuhakikishie tu ni kwamba CCBRT haijapokea hata sent moja toka kwa slaa zaidi ya slaa kuwa kama mmoja wa viongozi wa KUTEULIWA kusimamia uanzishwaji wake huku yeye slaa akifaidika na malipo makubwa toka kwa wafadhili waliojenga hospital hiyo.
Huyu slaa ni mzushi na anajua kuwa wafuadi wake ni wajinga(kama ulivyo wewe) na hivyo basi anayachukulia mafanikio ya CCBRT kama mafanikio yake binafsi kwa kuwaongopea watu huku akiuficha ukweli wa faida za kiuchumi alizozipata kupitia hapo.

After all hana cha kujivuni
Pamoja na kuwa ulichoandika ni matope matupu lakini afadhali Slaa aliyeteuliwa kusimamia uanzishwaji wa Hospitali inayosaidia maelfu ya Watanzania kuliko Kinana aliyeteuliwa ili aendelee kuua na kuuza wanyama hai ughaibuni.
 
imagejpeg


Hii ni moja ya picha zinazoonyesha jinsi Dk. Slaa anavyokula rushwa. Huu ushahidi unamtosha kabisa Ritz Magamba kumfikisha Dk. Slaa mahakamani. Huyo anayeonekana na Mjapan hapo ni Dk. Slaa aliyejigeuza na kufanana na mwanamke, kwa mujibu wa Ritz & company. Huo ndio ushahidi wa picha kwa wale wasiojua kanuni za ushahidi. Huko ndiyo ulaji wa rushwa kama hamjui rushwa inavyoliwa. Asante sana Ritz kutufumbua macho.
 
>Napenda nimpongeze kwa dhati sana Doctor Slaa kwa majibu yako ya kisomi.... Inakufanya uwe mmoja ya viongozi ninaowapenda sana katika kutoa ufafanuzi... Bg up
 
imagejpeg


Hicho chakula wanachokula ni aina ya RUSHWA. Ndilo jina lake. Hizo picha hata hakimu wa utawala huu anaweza kuutumia kumtia Dk. Slaa hatiani. Sitashangaa ikiwa hivyo kwa jinsi Viongozi wa Chadema wanavyosakwa kubambikizwa kesi.
 
mi nadhani hata kama atakwepa kodi still inajengwa hospitali sio hotel au appartment,hayo makampuni ya madini yanayosahamewa kodi ni bora zaidi kuliko anaetaka kujenga
hospitali,watz tuache unafiki.KEEP IT UP DR.[/QU
Two wrong don't make right...
Mkwepa kodi ni mhaini kama walivyo wengine. Halafu huu uzushi wa "WANATIBU BURE BILA KUTOZA FEDH" mnautoa wapi???
Kwa slaa kuzusha sioni ajabu ila washabiki wake ndio mnaotia kichefchef...
Hivi miongoni mwenu hakuna aliyewahi kuumwa au kuuguza mtu anayehitaji huduma CCBRT??? Kwa taarifa yenu hii ni moja ya hospital ghali zaid hapa town.
Huu mtindo wa TAX EXEMPTION ni uchochoro wa watu kukweoa kodi kupitia mlango wa dini na hivyo kujitajirisha(UFISADI).kwa nini hamjiulizi viongozi wa dini walivyocharuka pale serikali ilipotaka kufuta misamaha??!!!!!!
Wengi wenu hamna akili zq kujua hili
 
[QUOTE=nkongu ndasu;

niliishasema ukiona mtu amekimbia upadri na kuludi kitaa ujue huyo ni tapeli.
 
Wana Jf angalieni post # 4 Dr Slaa amelike upuuzi.Hii tosha amekiri si muaminifu na mwizi
 
mi nadhani hata kama atakwepa kodi still inajengwa hospitali sio hotel au appartment,hayo makampuni ya madini yanayosahamewa kodi ni bora zaidi kuliko anaetaka kujenga hospitali,watz tuache unafiki.KEEP IT UP DR.[/QU Two wrong don't make right... Mkwepa kodi ni mhaini kama walivyo wengine. Halafu huu uzushi wa "WANATIBU BURE BILA KUTOZA FEDH" mnautoa wapi??? Kwa slaa kuzusha sioni ajabu ila washabiki wake ndio mnaotia kichefchef... Hivi miongoni mwenu hakuna aliyewahi kuumwa au kuuguza mtu anayehitaji huduma CCBRT??? Kwa taarifa yenu hii ni moja ya hospital ghali zaid hapa town. Huu mtindo wa TAX EXEMPTION ni uchochoro wa watu kukweoa kodi kupitia mlango wa dini na hivyo kujitajirisha(UFISADI).kwa nini hamjiulizi viongozi wa dini walivyocharuka pale serikali ilipotaka kufuta misamaha??!!!!!! Wengi wenu hamna akili zq kujua hili
hicho ni kiini macho tu. ikimalizwa kujengwa utaambiwa ni ya flani na flani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom