Dr Slaa na Mkewe katika muonekano mpya.

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,397
9,246
1454593041303.jpg
1454593066543.jpg
1454593083344.jpg
 
Duuuuuu amenenepaaa... kweli siasa mchezo mchafu.... cjui yeye ndo kaiyuza cdm au cdm imemuuza yy.... ilaa kotekote biashara imemnufaishaa
 
Atakuwa amepata taarifa ya Zitto na Mbowe, aje na yeye watasameheana tu.
 
How bold one gets when one is sure of being
loved.
Sigmund Freud father of psychoanalysis
 
Naona mkorogo na nywele za maiti kwa kwenda mbele. Kweli kuna siku wanawake weusi itakuwa hakuna duniani.
 
Back
Top Bottom