GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,057
- 126,619
commred umeongea ukweli. watu wanafake kila kitu kwenye mihili yao. Bora wewe upo kwenye muonekano wa asili bibie.Naona mkorogo na nywele za maiti kwa kwenda mbele. Kweli kuna siku wanawake weusi itakuwa hakuna duniani.
Eti nao ni wakimbizi wa kisiasa canada!hapo wanatumbua pesa za ccm
maisha ya mbele lazima Dr Slaa atakuwa anapikilishwa kama nini. Kila siku atakuwa anapika yeyeWanapendeza ila wakae huko, huku hatutaki kuwaona
Twanga Foto...X....Waependeza.......Ha ha ha ha ha!!!
jua lilimkausha sana DrDuuuuuu amenenepaaa... kweli siasa mchezo mchafu.... cjui yeye ndo kaiyuza cdm au cdm imemuuza yy.... ilaa kotekote biashara imemnufaishaa