Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
Tatizo lako wewe unaongea sana hebu tupe mchanganuo wa michango ya M4C toka muanze kuwachangisha wananchi mmekusanya kiasi gani ni matumizi yake.
HUO WOTE NI UCHOCHEZI NA KILA ASIYEKUWA NA AKILI ANAUPOKEA NA KUUFANYIA KAZI MATOKEO YAK NI KUPOTEZA MUDA, KUKARIBISHA NJAA, KUUMIA NA MENGINE MNGI YA HATARI YA KUDHURU MWILI. DR. AMA PADRI WILBROAD SLAA HANA JIPYA NA HATEMBEI KATIKA NJIA ILIYONYOOKA, YEYE HUJIFICHA NYUMA YA MATATITIZO YA WATU.
TUWENI WAKWELI KUWA WANACHOKIFANYA WANA MTWARA KWA KUSHAWISHIWA SI SAWA MAANA WANAOWASHAWISHI HAWAKUWMO KWENYE VURUGU WAO NA HAWANA MAUMIVU YOYOTE YA MISULI YA KURUSHA MAWE NK WAO MIDOMO TU NA KUWATUMA WANYONGE AKAPAMBANE NA ASKARI. MATOKEO YAKE NI KUUMIZANA WENYEWE KWA WENYEWE NA KUJENGANA UADUI
Mfano.........Unachoma duka la mtu nyuma yako kuna mtu anakuona ambaye ni ndugu ama mwenye Duka baada ya vurugu kutulia utabaki salama NI lazima atalipiza ni kwa naman gani WEWE na MIMI hatujui. Unachoma Gari la wagonjwa, nyumba ya mtu ambaye mke wake ama hawala tu ni Askari..............anahusikaje????????? Watanzania hasa kama unaamini kuwa unazo akili timamu hayan si ya kushabikia. Toa wazo mbadala ili uwasaidie.
hapa kuna suala la ujenzi wa bomba na pia suala la uchimbaji gas.kwamaana kuwa suala la ujenzi wa bomba halihusiani na la uchimbaji.Frankly speeking; Kwenye mikataba ya gesi ambayo ilishasainiwa kutakuwa kuna mambo ambayo waliosaini wanajua yakifahamika wazi kwa jamii itawagharimu na dhio maana pamoja na watu kushinikiza mkataba iwekwe wazi, serikali inakwepa na italikwepa hili mpaka tone la mwisho.Tusubirie!
Nina uhakika mpaka sasa serikali inatambua tayari mistake ambayo ilishafanyika lakini kazi ipo kwenye kurudisha mambo sawa na kuhakikisha yanakwenda vizuri bila kuvujisha kile kilichoko kwenye mikataba ili kuwanushuru waliosaini mikataba hiyo.Kwa hiyo mengine haya tu ni mbio za sakafuni ila tatizo sugu liko hapa.
hyaya ni mawazo mfu yaliyokosa uhai wa dhati,mbona hujaongelea chama kinachochea vurugu na kupanga mauaji kinauhalali gani wa kuendelea kuwa chama cha siasa.Wanadhani suluhisho ni kupeleka wanajeshi waue raia!hao wanajeshi watakaa huko mpaka lini?ukiona serikali inatumia jwtz kuwadhibiti wananchi wanao dai haki zao,ujue imekosa uhalali wa kuongoza nchi.Tatizo hawa mafisadi wameshakula hela ya mchina (mradi ujenzi wa bomba la gesi)hivyo wanashindwa la kufanya.
Mkuu nilitegemea busara kutoka kwako kuchangia post hii. Sidhani kama wana mtwara na Watanzania wote tunahitaji suala hili la Mtwara kujibiwa kwa maneno ya kashfa na kejeli kama unazotoa. Wanachotaka wananchi wa Mtwara na Watanzania wote ni kujua namna watakavyonufaika kwani katika uwekezaji wowote wanufaikaji wa kwanza wanapaswa kuwa wananchi wote,huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
Mkuu unachoongea ni kweli ila kama mikataba ingekuwa streight foward; basi hata bunge lingepewa liweze kuidurusu bila ya usumbufu.Kuhusu kurukia kwenye bomba; kuna mambo mtamuka yanayowasukuma watu kurukia kuho ikiwemo kukosa taarifa sahihi, hasira za muda mrefu zinazosababisha na mambo kadhaa, msukumo makundi, Historia, siasa, na jinsi serikali inavyoishughulikia hali ya mammbo.hapa kuna suala la ujenzi wa bomba na pia suala la uchimbaji gas.kwamaana kuwa suala la ujenzi wa bomba halihusiani na la uchimbaji.
Kama inatakiwa mikataba ya uchimbaji gas iwekwe hadharani,ni vizuri,lakini mtu hawezi kurukia tu kwamba kuna namna kwenye hiyo mikataba bila kuwa na evidence.
hivi sheria inasemaje kuhusu hiyo mikataba.sheria inataka mikataba iwekwe wazi au inasema nini?.Tatizo lako wewe unaongea sana hebu tupe mchanganuo wa michango ya M4C toka muanze kuwachangisha wananchi mmekusanya kiasi gani ni matumizi yake.[/QUOTE]
Mimi nilikuuliza kwa nini serikali inaficha mikataba, wewe wewe ukatoa majibu haya in red abve. Kwa hiyo, kwa kauli yako, wewe umekubali kwamba kuna wizi kwenye mikataba inayofichwa na unadhani mimi nisihoji sana wizi wenu kwa kuwa unadhani na sisi tuko kama ninyi.
linalojengwa ni bomba la kupeleka gesi kwenda kutumika kwenye viwanda vilivyopo dar es salaam,na pia matumizi mengine kama kupikia wananchi na pia kuzalishia umeme utakaoingia kwenye grid ya taifa...sasa hapa mrahaba sijui mrabaha unatokea wapi?na gesi itakayopitia hilo bomba ni asilimia 6 ya gesi yote.
Pia ni wazi kuwa kama kutakua na sababu ya kuexport kupeleka nje meli zitapakia gesi hapohapo mtwara ,kwani itakua ni upuuzi gesi iende dar halafu ndo ipakiwe melini kwenda nje.
Sasa kinachonishangaza hapa ni kuwa ujenzi wa bomba unahusiana
.vipi na mrahaba
1. Je tunaendelea kupewa asilimia za mrahaba chini ya 5% na 95% kuondoka na wawekezaji? -Migod ya madin nk
2. mkuu kobello unafahamu tutapata % ngapi kutoka mapato ya gesi/- Wananchi wanaozunguunka miradi hii
watafaidikaje? hatakama wamiliki watakuwa serikali bado wahusika wakuu ni wanachi wa maeneo husika
hapa kuna suala la ujenzi wa bomba na pia suala la uchimbaji gas.kwamaana kuwa suala la ujenzi wa bomba halihusiani na la uchimbaji.
Kama inatakiwa mikataba ya uchimbaji gas iwekwe hadharani,ni vizuri,lakini mtu hawezi kurukia tu kwamba kuna namna kwenye hiyo mikataba bila kuwa na evidence.
Frankly speeking; Kwenye mikataba ya gesi ambayo ilishasainiwa kutakuwa kuna mambo ambayo waliosaini wanajua yakifahamika wazi kwa jamii itawagharimu na dhio maana pamoja na watu kushinikiza mkataba iwekwe wazi, serikali inakwepa na italikwepa hili mpaka tone la mwisho.Tusubirie!
Nina uhakika mpaka sasa serikali inatambua tayari mistake ambayo ilishafanyika lakini kazi ipo kwenye kurudisha mambo sawa na kuhakikisha yanakwenda vizuri bila kuvujisha kile kilichoko kwenye mikataba ili kuwanushuru waliosaini mikataba hiyo.Kwa hiyo mengine haya tu ni mbio za sakafuni ila tatizo sugu liko hapa.
tatizo la macdm ni kujiona mnajua kila kitu,mawazo ya kibavicha.
Huyu naye apunguze unafki kidogo,lakini ndiko kwenye siasa panamfaa, maana dini ilimshinda pinda alikwenda mtwara akaa nao na kufikia muafaka na rais ali adress issue hii kwa public through speech yake ya mwezi,sasa tunataka wafanye nini zaidi? Jk alisema kama kunakuwapuuza watu wa mtwara basi yeye atakuwa mtz wa mwisho kufanya hvyo. Huyu slaa aangalie sana kauli zake maana ikitokea bahati mbaya wakaingia ikulu watu wanataraji mabomba ya maziwa
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Dr.m Slaa siwezi kumshangaa kwa kauli yake hiyo.
Lakini NAMLAUMU SANA JK KWA "UJINGA" WAKE WA KUDHANI KILA KITU NI KAULI INAYOPITA AU NI UPEPO UNAPEPEA NA UTAPITA.
MARA BAADA YA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2010. DR. SLAA ALIKUWA ANATOA KAULI NYINGI ZA KULETA UCHOCHEZI MOJA YA KAULI HIYO ALIWAHI KUSEMA KUWA ATAHAKIKISHA NCHI HII HAITAWALIKI" NA MATOKEO YAKE TUNAYAONA.
INGEKUWA NCHI YENYE RAIS MAKINI NA MWELEWA KWA KAULI YA DR. SLAA YA KUHAKIKISHA NCHI HAITAWALIKI NI UHAINI ANGEKAMATWA NA KUWEKWA KIZUWIZINI NA HATIMAE ASEME MAANA YAKE NINI ANAPOSEMA NCHI HAITAWALIKI. NA ANGEHUSISHWA KWA KILA JAMBO LINALOLETA MATATIZO YA KIULINZI NA KIUSALAMA KATIKA NCHI. LKN MASKINI RAIS WETU PENGINE ANADHANI UHAINI NI MTU KUCHIKA BUNDUKI NA KWENDA KUPIGANA VITA ILI APINDUE NCHI, MASIKINI RAIS WETU HAJUWI KAULI INA NGUVU KULIKO HIYO BUNDUKI.
Dr.m Slaa siwezi kumshangaa kwa kauli yake hiyo.
Lakini NAMLAUMU SANA JK KWA "UJINGA" WAKE WA KUDHANI KILA KITU NI KAULI INAYOPITA AU NI UPEPO UNAPEPEA NA UTAPITA.
MARA BAADA YA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2010. DR. SLAA ALIKUWA ANATOA KAULI NYINGI ZA KULETA UCHOCHEZI MOJA YA KAULI HIYO ALIWAHI KUSEMA KUWA ATAHAKIKISHA NCHI HII HAITAWALIKI" NA MATOKEO YAKE TUNAYAONA.
INGEKUWA NCHI YENYE RAIS MAKINI NA MWELEWA KWA KAULI YA DR. SLAA YA KUHAKIKISHA NCHI HAITAWALIKI NI UHAINI ANGEKAMATWA NA KUWEKWA KIZUWIZINI NA HATIMAE ASEME MAANA YAKE NINI ANAPOSEMA NCHI HAITAWALIKI. NA ANGEHUSISHWA KWA KILA JAMBO LINALOLETA MATATIZO YA KIULINZI NA KIUSALAMA KATIKA NCHI. LKN MASKINI RAIS WETU PENGINE ANADHANI UHAINI NI MTU KUCHIKA BUNDUKI NA KWENDA KUPIGANA VITA ILI APINDUE NCHI, MASIKINI RAIS WETU HAJUWI KAULI INA NGUVU KULIKO HIYO BUNDUKI.
Binafsi sikubaliani na dhana ya wananchi kupuuzwa na kwenda kuharibu mali za wenzao ambao kuzipata kwao ni kwa kuunga unga na kuua watu wengine. DR. Slaa pia anahusika kutokana na kauli zake na za chama chake katika kutia utambi wananchi, lazima akumbuke nchi ni ya watu wote na atabeba dhamana katika kila jambo linalotokea leo. Kama watu wanabifu na JK basi wawaambie wakachome nyumba zake na si za raia wasio na hatia.
Dr. Slaa na baadhi ya wabunge wa chama chake hawahubiri amani na kuona vurugu ndio mtaji wao kisiasa, lazima wakumbuke wanaweza chukua nchi bila chokochoko wanazozileta wao na washirika wao. Tunawaona na kukiona mnachokifanya mkumbuke na nyinyi hamtokuwa salama pia kikichafuka.
Kama hausiki alipaswa kuyasema hayo hakiwa Mtwara na sio kwao huko wanapopikia mizengwe kila mara.
Huu ni mtihani mwingine wa kifikra kwa slaa, hivi anadhani ataendelea kuwahadaa wananchi kupitia matatizo yao hadi lini??? Kwa hiyo anashangilia vifo vya askari na mali za umma zilizoharibiwa???
laana kutoka kwa nani..?
Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko