Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Jamani tuelezwe kinachoendelea.....................kwa kina mwenye simu za hao watu apige aulize
Akatoe maelezo kilaza huyo na babu yake slaa nae akamatwe watoe maelezo vizuri
hawa polisi na shida zote hizo bado wanakubali kutumika kinyume?
The Policemen are currently outside the Bunge Hall special waiting to arrest John Mnyika (MP)
How did you know their mission if you are not one of them?
Hakuna marefu yasiyo na ncha.
Wakimkamata tu Mnyika na mimi nai-fire office ya CCM hapa.