Dr.Slaa Mgonjwa?

Dr.Slaa Mgonjwa?

Siku Prof.Lipumba anarudi toka marekani,Dr.Slaa alikuwa anarudi pia toka anakojua mwenyewe.
Kuna uhusiano wowote kati ya maneno ya Nchemba na Safari ya Dr.Slaa?
Kwamba kafulia kiasi kwamba anaomba kutibiwa na serikali?
Mara nyingi safari zake za nje huwa anatoa taarifa,kwanini hii ilikuwa kimya kimya?

Dr.Slaa,toa ufafanuzi.

Kweli wewe kiazi. Kwani Dr. Slaa si raia wa Tanzania kama wengine? na kama ni hivyo ni haki yake kutibiwa na Serikali kama wanavyotibiwa raia wengine. Sasa cha ajabu hapo nini? Au uko kwenye kunywa gongo ndio maana unaropoka tu maneno yasiyo na msingi?
 
Hii nchi sasa imekwisha. kama kampeni zenyewe ndo yanazungumzwa mambo haya, kwa kweli hatuna viongozi, hatuna vyama, wala hatuna sera za kutupeleka kwenye neema

Kweli mkuu...na yeye akianza kuambiwa ilikuwaje kule Igunga atasemaje? Kwani watu wa arumeru wanataka kusikia nani anaugua nini au maendeleo? Siasa za Tanzania ni za maji taka...tumekuwa waswahili kupitiliza. Uwezo wetu ni mipasho na utunzi wa maneno ambayo tunayaongea tukichoka tunaenda kulala hoi bila kujiuliza tumefanikiwa kupata nini.
 
Siku Prof.Lipumba anarudi toka marekani,Dr.Slaa alikuwa anarudi pia toka anakojua mwenyewe.
Kuna uhusiano wowote kati ya maneno ya Nchemba na Safari ya Dr.Slaa?
Kwamba kafulia kiasi kwamba anaomba kutibiwa na serikali?
Mara nyingi safari zake za nje huwa anatoa taarifa,kwanini hii ilikuwa kimya kimya?

Dr.Slaa,toa ufafanuzi.

Yale yale.....CCM wanaendelea ku beep kama alivyofanya bosi wao Mkapa... Vicent alivyopiga simu mkabaki ooh haikubidi amjibu hivyo. na sasa hivi mmeanza tena sasa wapinzani wakianza kuhoji afya kuanzia mkuu wa chama chenu na viongozi wengine mtasingizia nini tena????
Hizi siasa za maji taka acheni, Sasa hivi CCM ingekwa ni vinara wa kuonyesha jinsi ya kuji behave kwa sababu ya ukongwe wenu, na cha ajabu CDM ndio inaowafundisha
 
taarifa za ugonjwa wake zimetoka wapi jamani, chama chake kingesema
 
Wakati mwingine ukifikiria matukio na mambo yanavyoenda katika nchi hii unaweza dhani watu wote wenye uelewa wa mambo walishatoweka katika Taifa hili na kubaki mbumbu tu.
Hiingii akilini kwa muongelewa katika mada hii kutumia muda wake na tena kwa ujasili kuwaeleza upuuzi kama huu watu ambao wanatafuta mtu wa kuwaongoza katika kupambana na changamoto zinazowakabili wakati wakitafuta fursa za Maendeleo.Watanzania tufike mahala tujiulize kama tuko salama kutokana na jinsi tunavyoendesha mambo yetu.
Dunia hii ya watu makini wanatuangalia tusidhani tumejificha na upuuzi huu wa akina Mchumba.Katika mazingira ya kawaida Mchemba bado ni mtu ambaye ungemtegemea atoe mchango wa mawazo ya kuliendeleza Taifa hili lakini hilo halipo badala yake wamebaki kuwatukana watu majukwaani bila hata kujali tofauti ya umri wao.
 
naona una hamu ya kujua mambo yake binafsi sana kama vipi ongea na josephine akuachie....

Josephine ndo nani we kichaaaa,mbona unafanya name calling kijingajinga hivi.
 
Speaker nilidhani una akili kumbe na wewe ni kaputi kabisa,hiyo Arumeru itawapa ugonjwa wa moyo mwaka huu

Kwanini ulidhani nina akili?
na kwanini unadhani sina akili?
Acha kuishi kwa kudhani utakuwa punguwani milele.
 
Back
Top Bottom