Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
Si unajua siasa za Tanzania? ni malumbano kwa kwenda mbele. 2010 imekaribia tutayasikia mengi sana!!
Unamzungumzia Badra? huyu dada ndo amehama kiajabuajabu nashangaa kusikia sasa yupo Tanesco... sasa huyu dada wa kirangi ana uhusiano gani na Lowassa?
Mwiba kwa habari ya ukabila Chadema umechemka maana nawe umeingia kwenye ule mtego wa Sultani kwamba hiki ni chama Chadema ni cha kikabila na chako Kafu ni cha kidini! je tuamini hivyo?
Lakini kumbuka huu ni mhimili wa tatu baada ya Bunge na serikali. Yaani habari.
Mimi nitafurahi kama kutakuwa na press conference kila siku maana huko tutapata mengi na vita ya panzi ni furaha ya nani???????
Wanao uhuru wa kusema na wasemee wapi ili watanzania wote tusikie kama tunavyojadili hapa? kwa vyovyote ni pale watakaposema na vyombo vya habari.
Wanasema habari ni muhimili wa nne (unofficially), baada ya mitatu ya bunge, mahakama na serikali.
Nani anasema hivyo? kaulimtu ndugu yangu!
Nani anasema hivyo? kaulimtu ndugu yangu!
Kiranja:
Leo hapa kuna kitu kipya kimeanza kujitokeza hapa na kama unaweza kuangalia kwa umakini unaweza kusoma anachokiandika Mwiba ambaye ni kiongozi wa juu wa CUF
Sikusema "anasema" nimesema "wanasema".
Kauli mtu inakuangusha mwenyewe ndugu.
- Whaaat Mwiba ni kiongozi wa juu wa CUF hii ni kweli au Sasa mzee thibitisha hili au kubali umekurupuka!
Ni kiongozi na miongoni mwa masharti ya hapa ni kutokutajana majina.
- Nani wanaosema, mkuu hapa ni zero tolerance nani wanasema?
Mkuu kuzipata hizi zinakuwa kazi kwelikweli... Kwakuwa "Mpaka Kieleweke" kishajileta, basi tumsihi atupe nakala ya 'audio' ili tuweze kusikiliza kwa mapana
Umeshaipenda zero tolerance tayari eeh? Kumbuka inakata kuwili hiyo.
Intelligentsia,Opus Dei, Skulls and Bones, Medusa,The Council of Nicea, Columbia Journalism Review, The New York Times, Time Magazine, Politico, Montesquieu,Thomas Carlyle, Edmund Burke,Jeffrey Archer Thomas Macaulay, Meier Schlesinger Jr, Johnson Mbwambo, Abdul Mtemvu...