Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

asante sana,mnatusaidia sana kuweka wazi wafuasi wa hiki chama ni watu wa aina gani.Mlikuwa mnapinga kwamba ni propaganda za ccm.Endeleeni kutoa ushuhuda.Na mwingine aje jamani
 
Mkuu tuweke pembeni ushiriki wangu ITV, tujadili hoja hii inayohusu mustakabali wa Taifa letu. Nimetaka abadilishe kuwa iko confirmed kuwa wako central. Wamekamatwa, ama wamejipeleka si hoja. Hoja ni kuwa wako central na polisi wanawahoji.

Mkuu kama wanahojiwa mbona kawaida tuu, mie nilikuwa interested namna walivyofika hapo ok under escort or? nilitaka kwenda maani nipo jirani tu hapa but kama wanawahoji haina shida,
 
Wasee wajenge ma godown kabisa ,kwa hali ya mambo ilivo watakamata wengi wengi mno.
 
Kosa ni nini?

hakuna kosa hasa nikifuatllia mwendelezo wa matukio. ni kwenda kutoa maelezo tu basi. Unajua baadhi ya watu bado ni mwaka 1950s, ambao unajua kuitwa polisi, basi una kosa kumbe unaweza kuitwa kwa kuwa wanaamini una taarifa za mhimu kuwasaidia kufanya kazi zao za kila siku.

Viongozi wetu wameitwa baada ya kusema kuna njama wamebaini kuna watu wanataka kuwamaliza, sasa kuitwa na kutakiwa kutoa maelezo ndo wafuasi wao tuandamane? mbona hata akili hatuna? tumependa kupita kiasi sasa tumeondoa ubinadamu wetu(social being) na kuingiza unyama, ambapo pa kutumia akili, tunatumia maguvu tu.

kwani wameenda kufungwa kama mandela?
 
Bora wamewashika mchana kweupe.. manake mambo ya usiku hua yanaishia msitu wa pande..

Mungu walinde wapiganaji wetu
 
nani asiyejua kama hiki ni chama cha wachaga na siku hizi wakatoliki nao wamejiunga.Hata wewe waonekana ni mchaga pia.Pole sana ukweli unauma

mimi ni mchagga ndiyo, but it does not mean wote tunaoishi arusha ni wachagga, arusha kabila kuu ni wamasai, wameru, pamoja na wairaq ambao asilimia kubwa wao wanatokea manyara,, sasa huo ukabila unatoka wapi ndigu yangu, mbn unapandikiza udini, ukabila na chuki kwa chadema???,.
 

Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa. (Matayo 5:6)
 
nani asiyejua kama hiki ni chama cha wachaga na siku hizi wakatoliki nao wamejiunga.Hata wewe waonekana ni mchaga pia.Pole sana ukweli unauma

We kabila gani???????????? anzisha na wewe chama chako maana wivu unakutesa mi ntajiunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…