Dr. Slaa, Lowassa, Lwakatare, Tasilima wanakutana hapa

Dr. Slaa, Lowassa, Lwakatare, Tasilima wanakutana hapa

hapa tatizo utapingwa japo ur were excited kuona kijiji kdg kina historia cha kutoa wanasiasa mashuhuri lkn kwa kuwa umemtaja kagenzi na firstlady basi soon utaitwa majina yote mabaya (muongo,mmbea,msaliti) . Pole mtoa mada ndio tz hii hata kama ulikuwa na nia nzr lkn unaonekana mbaya watu wako too judgemental
Ni kweli mkuu,hapa wapo watu wengi sana wametajwa na kikubwa ambacho mimi kilinishangaza ni kuonyeshwa nyumba ya baba yake msajili wa vyama vya siasa nchini Dk.Medard Mutungi,ambaye alikuwa muasisi wa Chadema na aligombea pia ubunge na kutengua ushindi wa mhe.Kinyondo mahakamani,japo nyumba hiyo kwa sasa wamepewa masista wakikatoliki. Yapo mengi sana hapa ila kuna mheshimiwa anaitwa pasco kaanzisha mambo sijui ya kuconect dots...kaharibu kabisa japo naye ana haki ya kutoa maoni yake.
 
Mkuu Nguvu ya Hoja, asante kwa taarifa hii muhimu!,
kumbe...........!, ...
ndio maana......!,
usikute walianza ......zaman wakiwa bado kijijini?!.......
kisha akamleta Chadema?!......,
akamuombea nafasi ya ulinzi binafsi?!........
Mtoa nafasi ni kaka wa kijiji kimoja....!,
walikuwa wakiitana kaka na dada?!.......,
Dr. Alijua ni shemeji tuu?!........,
aliyesaidia kudukuliwa pia ni home boy?!....,
kuna uwezekano kuwa ni kweli jamaa alikuwa ....bado walikuwa wanaendeleza .....?!.

There are so many dots to connect, with so many unanswered questions! and unsolved mysteries!.
only ... can solve!.

Just thinking aloud!.

Pasco
Duh! na wewe Pasco unajishusha kiasi hiki!!!!
 
Nguvu ya Hoja umemsahau Bwn Kalamagi naye kwao ni jirani tu, anatafuta kumtoa Jason Rweikiza nadhani atamnunua wakati ukifika!!
 
Last edited by a moderator:
Duh! na wewe Pasco unajishusha kiasi hiki!!!!
Mimi ni mwanahabari, hayo ni maswali tuu nimejiuliza, kujiuliza sio kosa, tabia ya inquisitiveness ni moja ya sifa muhimu za uandishi!, ningejishusha kama ningeamua kufanya investigative journalism kufuatilia background ya tangu kijijini, kisha nikawatundikia watu humu!, huku ni kujiuliza tuu, tena mimi mwenyewe, jee ningeiliza kabisa?!.

Pasco
 
So many foolish dots to connect by a foolish ga.y like you!

Kabla sijafafanua mahali wanapokutana waheshimiwa wengi kwa wakati mmoja,naomba nitoe historia fupi iliyonifikisha mahali wanapokutana wanasiasa na watu maarufu kwa pamoja.

Ni hivi, bosi wangu alifiwa na shemeji yake huko kijiji cha Rubale wilaya ya Bukoba na ikabidi tusafiri kwenda msibani,baada ya shughuli ya msiba tulielelkea kijijini kwa bosi Ibwera,kwa vile alikuwa anashughulikia kuingiza umeme kwenye nyumba yake mpya,tulikaa pale mimi na wenzangu kwa takribani siku 6, na tukiwa hapo Ibwera ndipo nikajua mambo mengi sana kuhusu wanasiasa wetu na watu mashuhuri kama ifuatavyo:

Hapa ndipo nyumbani kwa mhe. Twaha Tasilima wa CUF na mbunge wa Afrika Mashariki,nyumbani kwa Wilifred Lwakatare wa Chadema,nyumbani kwa Josephine Mushumbusi mke wa Dk. Slaa,nyumbani kwa prof. Ruhangisa wa Escrow,nyumbani kwa ndg. Khalid Kangezi mlinzi wa zamani wa Dk. Slaa,kwa mzee mwenzake Lowassa, mzee Lenson ambapo watoto wao wameoana,hapa ni nyumbani kwa DK.Medard Mutungi muasisi wa Chadema na Baba yake msajili wa vyama vya siasa Tanzania.

Pia hapa ndipo ilipo familia ya kizungu ya mama Kinje mke wa mzee Kingunge,hapa ndipo alipoolea balozi Khamis Kagasheki(japo inadaiwa mkewe waliachana).Hayo ni maeneo niliyofikishwa mimi mwenyewe kwa kuonyeshwa kuwa hapa ni kwa fulani na pale ni kwa fulani.

Katika kutafutwa kuungwa mkono na watu wa eneo hili pia mbunge wao wa sasa ndg Rweikiza amenunua nyumba hapo na sasa naye anajiita mtu wa Ibwera ila nimeambiwa kuwa yeye sio wa pale.

Kwa kweli nimeshangazwa sana na umaarufu wa kisiasa wa eneo hili,na Dk Slaa ni maarufu sana kwani nasikia kuna kipindi alikuja likizo huku akatembelea watu wengi majumbani mwao hata nyumbani kwa diwani wa CCM alikula pale chakula,pia Lowassa naye amefika kwa mzee mwenzake mara kadhaa.

Hapa ndipo wanapokutana wanasiasa hawa,wengine ni kwao wengine ukweni na wengine kwa wazee wenzao,ni umbali kama km 40 hivi kutoka mjini Bukoba.

Mwanamke mdaku wewe
 
Duh! na wewe Pasco unajishusha kiasi hiki!!!!

mtu akiruhusu tumbo limtawale na kufikiria baadala ya kichwa na moyo unategemea nini??!!

Pasco sio mwendawazimu,nimwendasarafu ambae yupo tayari kuvaa jopo la upuuzi tena la kike alimradi kuwafurahisha wahisani zake!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mwanahabari, hayo ni maswali tuu nimejiuliza, kujiuliza sio kosa, tabia ya inquisitiveness ni moja ya sifa muhimu za uandishi!, ningejishusha kama ningeamua kufanya investigative journalism kufuatilia background ya tangu kijijini, kisha nikawatundikia watu humu!, huku ni kujiuliza tuu, tena mimi mwenyewe, jee ningeiliza kabisa?!.

Pasco

Nahisi wanataka watu wote tuongee lugha moja haya kaka taratibu wenyewe wamekasirika na dotts zako, umegusa ikulu kwa mama paroko.
 
Nguvu ya Hoja umemsahau Bwn Kalamagi naye kwao ni jirani tu, anatafuta kumtoa Jason Rweikiza nadhani atamnunua wakati ukifika!!
Kwa Karamagi nilionyeshwa ni mbele kidogo kama km 15 kutoka Ibwera,yeye yupo Rubale kule tulipokuwa na msiba.Ila anashinda pale Ibwera,wanasiasa wa huko wanaamini kuna maeneo ukikubalika umemaliza kazi kkama hapo Ibwera.
 
Mkuu Nguvu ya Hoja, asante kwa taarifa hii muhimu!,
kumbe...........!, ...
ndio maana......!,
usikute walianza ......zaman wakiwa bado kijijini?!.......
kisha akamleta Chadema?!......,
akamuombea nafasi ya ulinzi binafsi?!........
Mtoa nafasi ni kaka wa kijiji kimoja....!,
walikuwa wakiitana kaka na dada?!.......,
Dr. Alijua ni shemeji tuu?!........,
aliyesaidia kudukuliwa pia ni home boy?!....,
kuna uwezekano kuwa ni kweli jamaa alikuwa ....bado walikuwa wanaendeleza .....?!.

There are so many dots to connect, with so many unanswered questions! and unsolved mysteries!.
only ... can solve!.

Just thinking aloud!.

Pasco

huyu mtu ataje vijiji, auona uongo wake, haya maeneo anayotaja ni tofauti, wilaya tofauti
 
Mimi ni mwanahabari, hayo ni maswali tuu nimejiuliza, kujiuliza sio kosa, tabia ya inquisitiveness ni moja ya sifa muhimu za uandishi!, ningejishusha kama ningeamua kufanya investigative journalism kufuatilia background ya tangu kijijini, kisha nikawatundikia watu humu!, huku ni kujiuliza tuu, tena mimi mwenyewe, jee ningeiliza kabisa?!.

Pasco
Kama ulikuwa unajiuliza tu wewe mwenyewe imekuwaje unatushirikisha na sisi watu wengine hapa JF?
 
huyu mtu ataje vijiji, auona uongo wake, haya maeneo anayotaja ni tofauti, wilaya tofauti

Hapana mkuu ni wilaya moja na ni jimbo moja vile vile labda kama litakuwa limegawanywa usiku wa kuamkia leo (Bkb Vijijini)
 
Kwa Karamagi nilionyeshwa ni mbele kidogo kama km 15 kutoka Ibwera,yeye yupo Rubale kule tulipokuwa na msiba.Ila anashinda pale Ibwera,wanasiasa wa huko wanaamini kuna maeneo ukikubalika umemaliza kazi kkama hapo Ibwera.

Usisahau hata Saida naye ni mzaliwa wa hapo Ibwera
 
Usisahau hata Saida naye ni mzaliwa wa hapo Ibwera
Kuhusu wasanii niliuliza sana,sidhani kama Saida Karoli ni wa pale lazima ningefikishwa kwao kwa vile nilikuwa na muda wa kutosha na rasilimali nyinginezo,labda atakuwa anatokea maeneo jirani na Ibwera au ana ndugu zake wanaishi pale au ni mzaliwa wa pale na alishahama kule labda.Nilipoonyeshwa ni kwa mke wa Justine Kalikawe ambaye shangazi yake ni mke wa mzee Kingunge,wale ni wazungu na nyumba zao zipo pale kijijini,ila kwa sasa mke wa marehemu Kalikawe ni msaidizi binafsi wa mheshimiwa Karamagi.Ni hayo niliyoelezwa ila naomba kujulishwa zaidi kama kuna jambo sikuelezwa,yote ni katika kujifunza mkuu.
 
Back
Top Bottom