Dr. Slaa, Lowassa, Lwakatare, Tasilima wanakutana hapa

Dr. Slaa, Lowassa, Lwakatare, Tasilima wanakutana hapa

Ni kweli sisi watu wa Ibwera tunajua kuwa Kagenzi na Josephine wamcheza wote michezo ya kujificha ututotoni na wakaati ule Slaa amekuja kwa ajili ya Krismas na mwaka mpyaambapo aliweza kujulia hali watu kadhaa akiwa na mlinzi wake Kagenzi akina mama pale shamba walikuwa wanakonyezana na kusema Josephine ana bahati, wote wawili kawaweka pamoja, ni wa pekee. Kangezi funguka Junior vipi?
 
We haya waachie wana ndoa bwana make ndoa ni ya wawili jamani, tuiheshimu.
 
Ni kweli sisi watu wa Ibwera tunajua kuwa Kagenzi na Josephine wamcheza wote michezo ya kujificha ututotoni na wakaati ule Slaa amekuja kwa ajili ya Krismas na mwaka mpyaambapo aliweza kujulia hali watu kadhaa akiwa na mlinzi wake Kagenzi akina mama pale shamba walikuwa wanakonyezana na kusema Josephine ana bahati, wote wawili kawaweka pamoja, ni wa pekee. Kangezi funguka Junior vipi?
Nadhani umeongelea ushabiki tu,pale Ibwera nilionyeshwa mdogo wake na Khalid anaitwa Hashim(kama sijakosea)ni mtu mzima wa miaka kama 50 hivi,na Khalid inasemekana hakukulia pale aliondoka na mama yake baada ya mama yake kuachika,kwa kwa hiyo suala la kucheza na Josephine utotoni nadhani sio kweli,kwanza watakuwa wameachana umri sana (simfahamu kabisa Khalid) kwa kuwaona tu wadogo zake,pia kwa mazingira tofauti waliyokulia.
 
Kabla sijafafanua mahali wanapokutana waheshimiwa wengi kwa wakati mmoja,naomba nitoe historia fupi iliyonifikisha mahali wanapokutana wanasiasa na watu maarufu kwa pamoja.

Ni hivi, bosi wangu alifiwa na shemeji yake huko kijiji cha Rubale wilaya ya Bukoba na ikabidi tusafiri kwenda msibani,baada ya shughuli ya msiba tulielelkea kijijini kwa bosi Ibwera,kwa vile alikuwa anashughulikia kuingiza umeme kwenye nyumba yake mpya,tulikaa pale mimi na wenzangu kwa takribani siku 6, na tukiwa hapo Ibwera ndipo nikajua mambo mengi sana kuhusu wanasiasa wetu na watu mashuhuri kama ifuatavyo:

Hapa ndipo nyumbani kwa mhe. Twaha Tasilima wa CUF na mbunge wa Afrika Mashariki,nyumbani kwa Wilifred Lwakatare wa Chadema,nyumbani kwa Josephine Mushumbusi mke wa Dk. Slaa,nyumbani kwa prof. Ruhangisa wa Escrow,nyumbani kwa ndg. Khalid Kangezi mlinzi wa zamani wa Dk. Slaa,kwa mzee mwenzake Lowassa, mzee Lenson ambapo watoto wao wameoana,hapa ni nyumbani kwa DK.Medard Mutungi muasisi wa Chadema na Baba yake msajili wa vyama vya siasa Tanzania.

Pia hapa ndipo ilipo familia ya kizungu ya mama Kinje mke wa mzee Kingunge,hapa ndipo alipoolea balozi Khamis Kagasheki(japo inadaiwa mkewe waliachana).Hayo ni maeneo niliyofikishwa mimi mwenyewe kwa kuonyeshwa kuwa hapa ni kwa fulani na pale ni kwa fulani.

Katika kutafutwa kuungwa mkono na watu wa eneo hili pia mbunge wao wa sasa ndg Rweikiza amenunua nyumba hapo na sasa naye anajiita mtu wa Ibwera ila nimeambiwa kuwa yeye sio wa pale.

Kwa kweli nimeshangazwa sana na umaarufu wa kisiasa wa eneo hili,na Dk Slaa ni maarufu sana kwani nasikia kuna kipindi alikuja likizo huku akatembelea watu wengi majumbani mwao hata nyumbani kwa diwani wa CCM alikula pale chakula,pia Lowassa naye amefika kwa mzee mwenzake mara kadhaa.

Hapa ndipo wanapokutana wanasiasa hawa,wengine ni kwao wengine ukweni na wengine kwa wazee wenzao,ni umbali kama km 40 hivi kutoka mjini Bukoba.
Ulikuwa unajambo muhimu nadhani, ulifahamu kitu, falsafa ilikuwa ngumu kwetu, funguka kidogo mkuu unaweza saidia watanzania wanamabadiliko.
Thanks.
 
Ulikuwa unajambo muhimu nadhani, ulifahamu kitu, falsafa ilikuwa ngumu kwetu, funguka kidogo mkuu unaweza saidia watanzania wanamabadiliko.
Thanks.
Hapana Mkuu sikufahamu chochote nilifika hapo kwa safari tu ya kawaida kama nilivyoeleza,ila naona mambo yanazidi kugongana hapo,si unaona Tasilima ndiye mrithi wa Lipumba CUF? Mzee Kingunge yupo na Lowassa? Na Lowassa sasa yupo UKAWA?...
 
Mkuu Nguvu ya Hoja, asante kwa taarifa hii muhimu!,
kumbe...........!, ...
ndio maana......!,
usikute walianza ......zaman wakiwa bado kijijini?!.......
kisha akamleta Chadema?!......,
akamuombea nafasi ya ulinzi binafsi?!........
Mtoa nafasi ni kaka wa kijiji kimoja....!,
walikuwa wakiitana kaka na dada?!.......,
Dr. Alijua ni shemeji tuu?!........,
aliyesaidia kudukuliwa pia ni home boy?!....,
kuna uwezekano kuwa ni kweli jamaa alikuwa ....bado walikuwa wanaendeleza .....?!.

There are so many dots to connect, with so many unanswered questions! and unsolved mysteries!.
only ... can solve!.

Just thinking aloud!.

Pasco
Mkuu sana Pasco. Sheria ya mitandao sio katili kiivyo hadi ushindwe kusema wazi kuwa Khalid Kagenzi 'anamgonga' 'naniliu'. Tena useme ameanza kumgonga siku nyingi. Hata Dokta hajajua hadi leo. Haya, NYEGERA WAITU
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom