Dr Slaa live on Channel10

Dr Slaa live on Channel10

wakachangiage haka kazee magwanda mengine kanatia aibu
Wewe Ndo Unahitaji Mchango wa Ada urudi Chuo kama ulimaliza au kama hujafika angalau upate Bachelor.......maana waongea Pumba tu siku hizi

eti nduka we ni mbishi kuelewa au ndo one of mse...kwa products. maana sikuelewi uko upande upi unaunga mkono mjadala au unakosoa mjadala..

wakachangiage haka kazee magwanda mengine kanatia aibu
Hapo umefikiriaaa kwa akili yako yote,ukapata point ya kuandika kwa dhana kuwa hapo umeichafua cdm na dr slaa! Unaonesha ulivyo karoti tu! Kama chama chako kilivyo,wooote pale karoti tupu!

Nadhan Makwaiya hana ufahamu wa communication na facilitation skills. Anataka tumsikilize yeye. Slaa anamzidi nguvu. Infact kwa maelezo yake ccm imeishiwa hata propaganda

Upeo wa DR wa ukweli upo juu sana,
Mwongozaji kipindi alikuwa na dalili za wazi za kuharibu mjadala,
Pengine hata kuharibu image ya cdm.

Ila Dr kwa busara zake ameweka sawa mambo.

Naamini kabisa Dokta Slaa lazima aje kuwa Rais wa Tanzania. Niwe hai au mfu naamini Slaa ataingia Ikulu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ana akili sana na ndio mtu pekee ambaye anaweza kulikomboa Taifa hili dhidi ya wale maadui watatu. siku moja tutathibitisha maneno haya. Lipumba, Kikwete, sijui nani.... wanalifahamu hili, kuwa slaa kawazidi upeo kwa mbali saaaana....

Nadhan Makwaiya hana ufahamu wa communication na facilitation skills. Anataka tumsikilize yeye. Slaa anamzidi nguvu. Infact kwa maelezo yake ccm imeishiwa hata propaganda
Yule mzee ujuaji umemzidi ana temper zisizo na msingi na anataka hoja zake zionekane zimeshinda.bora awe anaongea mwenyewe mawazo yake tumsikilize tu.

Yaani nilikua nacheka peke yangu maana naona Makwaiya wa Kuhenga kapata mbishi mwenzie, kawa mdogo kama piriton! Nimeipenda sana

Maskini Makwaia anatia aibu,pamoja na kujinasibu kuwa amemfaham
Nyerere lakini anaamini kuwa umaskini wa tz umesababishwa na vita vya kagera
Anadhani kumfaham Nyerere ni kujua sura yake.

Dr wa ukweli amejipambanua vzr kwa kueleza sababu ya umaskini
kuwa ni usimamizi wa rasrimali za nchi.

mzee mbishi lakini dr slaa ametumia diplomasia ya hali ya juu kumtuliza asiharibu hadi mzee kijasho na temper juu! dr hawamwezi labda aje larry king!

Haikuwa LIVE nadhani Mtoa mada alikuwa anatizama Mechi ya Manchester United anavyomnyanyasa Schalke 04 ndio Live.

Channel Ten zao Recorded tu.

Makwaia:
Inakuwaje cdm ipate fedha toka conservative, wakati inaamini katika demokrasia?...wakati wana uhakika kuwa chama hicho ni cha kibeberu?

Makwaiya: Nini mtazamo wako kuhusiana na sera ya ubinasfishaji? Dhana ya kujitegemea iko wapi wakati unafadhiliwa na Conservative? Una sera gani za kujitegemea?
Dr. Slaa: Sera za conservative ndizo hzo znzohudumia watu wa chini huko uk(mtu asiye na kipato anapewa posho) kitu ambacho hata sisi tunakisimamia. Kuna mambo ya msingi ambayo tunakubaliana na consvtve kama transparency, na uadilifu. Dhana ya ubwanyenye imebadilika sana.

wazungu noma sana, hapa ukishika nchi lazima uzungumze nao vizuri maana umeshakula hela zao. ni vizuri tufike mahali tuachane na hii kitu. matatizo ya nchi hii yanatokana kwa kiasi kikubwa na misaada ya nje kutoka kwa mabeberu kama hao. sio wajinga wanajua wanachofanya tena kwa rugha nzuri sana

Haikuwa LIVE nadhani Mtoa mada alikuwa anatizama Mechi ya Manchester United anavyomnyanyasa Schalke 04 ndio Live.

Channel Ten zao Recorded tu.
Whatever that it could be!...who cares?...lucky you kama uliona live!
What matters is the content on the program bila kujali imetoka live or dead!
right?

asate kwa taarifa pakajimmy and co; pia sisi tunasema hongereni mamluki wa msekwa wasio na akili kwa kiasi mnakoleza moto wa mabadilikco. Mtachoka tu maana mnashindana na haki

Naona slaa bado ana frastrulation za Uchaguzi! Anasema eti aliibiwa kura! Mpuuzi huyu ana ishushia heshima Phd yake ya ukweli! Hopeless Dr Slaa!

Hv **** kama wewe unapata wapi Ujasiri wa kumuita Slaa mpuuzi,Wewe capacity ya Ubongo zidisha mara 100 ndiyo unapata robo tu ya Capacity ya Brain ya Slaa,Where on earth do u get the guts to insult a man as intelligent and as patriotic as Wilbroad? From the mouth of which river?

Slaa anayo haki ya kurudia hayo maneno mara nyingi kuliko hata kasuku kwa sababu anaweza kuyathibitisha!

Nilihudhuria Mkutano wake pale Mabibo karibu na Benjamini Mkapa Export Processing Zones Authority,nilimsikia bila kumung'unya maneno kwamba yeye ndiye Aliyeshinda Urais mwaka 2010 na ana ushahidi yabisi ku-establish his claim,beyond reasonable doubt!!

Badala ya Kumbeza na Kumtusi imetupasa kumshukuru na Kumheshimu kwa sbb Ulimwenguni na hasa Afrika ni VIGUMU KUMPATA MTU AMBAYE ANGETUMIA HEKIMA YA SLAA KUEPUSHA MACHAFUKO!
Had he been Selfish,he could have plunged ths country into War,na Mori ya watu wengi wakati ule ilikuwa juu sana,angebonyeza tu button pangechimbika!!!

Makwaia ni hovyo sana, yeye hufikiri ni zaidi ya wengine siku zote na amekuwa akivuruga vipindi vyake kwa kuhodhi mada badala ya kuwaachia aliowaalika

Ni kweli Kabisa,nilidhani nipo peke yangu niliyeona hiyo,halafu ana masihala kana kwamba yupo kwenye kijiwe cha kahawa!!!

Nilihudhuria Mkutano wake pale Mabibo karibu na Benjamini Mkapa Export Processing Zones Authority,nilimsikia bila kumung'unya maneno kwamba yeye ndiye Aliyeshinda Urais mwaka 2010 na ana ushahidi yabisi ku-establish his claim,beyond reasonable doubt!!

beyond reasonable doubt????????????????????????????? kivipi hapo sijakuelewa? labda angepata % zaidi ya nusu ya wabunge wake na akashindwa nafikiri angalau tungetumia hiyo beyond reasonable doubt otherwise sijui unaitumiaje?

unavyofanya research ya ki science ya ku prove kitu beyond reasonable doubt ni kuwa na uhakika na kwamba watu wengine wakikirudia watapata majibu yaleyale

mzee mbishi lakini dr slaa ametumia diplomasia ya hali ya juu kumtuliza asiharibu hadi mzee kijasho na temper juu! dr hawamwezi labda aje larry king![
/QUOTE]

Acheni ushabiki hapa,Slaa mwenyewe kachemka maake inaonyesha hamjui vizuri Makwaia wa Kuhenga.Sio siri nimefatilia issue nzima, Slaa nadhani hatorudi tena kuhojiwa na hiki kibabu cha 'hard Talk' maake jinsi kilivyompeleka harafu mwishoni kinampaka mafuta kwa mgongo wa chupa balaa.

Kiboko ya Makwaia ni Mchechu Md wa NHC maake anapokuwa naye huwa anatangulia hatua mbili mbele yake,kitu ambacho Slaa hakuwa nacho.

By the way,it was very interesting to hear and see hawa 'vikongwe' wanaojidai wanamuenzi Mwl.

H
v **** kama wewe unapata wapi Ujasiri wa kumuita Slaa mpuuzi,Wewe capacity ya Ubongo zidisha mara 100 ndiyo unapata robo tu ya Capacity ya Brain ya Slaa,Where on earth do u get the guts to insult a man as intelligent and as patriotic as Wilbroad? From the mouth of which river?

Slaa anayo haki ya kurudia hayo maneno mara nyingi kuliko hata kasuku kwa sababu anaweza kuyathibitisha!

Nilihudhuria Mkutano wake pale Mabibo karibu na Benjamini Mkapa Export Processing Zones Authority,nilimsikia bila kumung'unya maneno kwamba yeye ndiye Aliyeshinda Urais mwaka 2010 na ana ushahidi yabisi ku-establish his claim,beyond reasonable doubt!!

Badala ya Kumbeza na Kumtusi imetupasa kumshukuru na Kumheshimu kwa sbb Ulimwenguni na hasa Afrika ni VIGUMU KUMPATA MTU AMBAYE ANGETUMIA HEKIMA YA SLAA KUEPUSHA MACHAFUKO!

Had he been Selfish,he could have plunged ths country into War,na Mori ya watu wengi wakati ule ilikuwa juu sana,angebonyeza tu button pangechimbika!!!

Wewe ndio button 'ungebonyezwa'?mmmh hiki kizazi cha dot com kazi ipo.

Back
Top Bottom