Dr Slaa live on Channel10

na ndio maana hata wabunge walilazimika kutOKA NJE WAKATI rais alipoongea bungeni...katiba inaruhusu (katiba section 101A)
 
Naona slaa bado ana frastrulation za Uchaguzi! Anasema eti aliibiwa kura! Mpuuzi huyu ana ishushia heshima Phd yake ya ukweli! Hopeless Dr Slaa!
 
aNASEMA NI NHAKI KUZOMEA BUNGENI, NA KUTOKA... ili mradi tunu ya amani inadumishwa!...cdm haikumwaga damu bungeni, bali ilifanya vitendo vya amani.
 
Naona slaa bado ana frastrulation za Uchaguzi! Anasema eti aliibiwa kura! Mpuuzi huyu ana ishushia heshima Phd yake ya ukweli! Hopeless Dr Slaa!
No mpuruzi wewe...
Anajibu swali aliloulizwa na Muongoza kipindi..
Kusikiliza pia ni taaluma..naona unaikosa hiyo..
 
Huyu Dr slaa tapeli eti hapa anasema ana unga mkono muafaka,halafu anasema Maalim Seif kamchunia siku hizi!
 
Dr anasema cdm haitaki ushirikiano wa kinafiki!...na akina seif sharif, ambaye kwasasa anasindikizwa na usalama wa taifa..je unategemea nini toka kwa mtu wa aina hiyo?
 
Naona slaa bado ana frastrulation za Uchaguzi! Anasema eti aliibiwa kura! Mpuuzi huyu ana ishushia heshima Phd yake ya ukweli! Hopeless Dr Slaa!

Uki survive ban hapa nitashangaa, umesema ukweli kuhusu Mungu mtu wa JF
 
Dr. Slaa: CDM iliunga na inaunga mkono serikali ya Umoja wa kitaifa. Lakini msimamo ni kwamba CUF wako madarakani upande wa ZNZ, hawawezi kuwa sehemu ya upinzani bara maana sera wanazotekeleza ZNZ ndizo zinazotekelezwa bara
 
huyu muongoza kipindi makwaia ni mpuruzi sana!
hataki kupewa detailed maelezo, anataka kshushua watu tu!

Makwaia ni hovyo sana, yeye hufikiri ni zaidi ya wengine siku zote na amekuwa akivuruga vipindi vyake kwa kuhodhi mada badala ya kuwaachia aliowaalika
 
Dr slaa:...Tuache kutafuta visingizio kama serikali..
Rwanda wametoka vitani, na kwa sasa nyumba zote za Rwanda ni bati!
Kwetu Tz, hatuna Management ya vision!
 
Makwaiya: vita vya kagera vimetuaribia, tulikuwa na viwanda vikafa
Dr. Slaa: Anamkatiza kwa kusema hata Rwanda walikuwa vitani, lakini leo wameamua kuondoa nyumba zote za nyasi na wameweza
Makwaiya: Naona kama hajapenda kukatizwa point yake
 
Dr. Slaa: Tatizo letu ni management, hata sera tulizonazo sio mbaya.
 
Dr Slaa:
Tanzania is currently poorly managed!..ndiyo shida ya TNZANIA.
matundA yapo Tanga, lakini tunakunywa juis za Pakistan...hatuna vipaumbele!
Kuna kiwanda cha matunda Korogwe, lakini nwajanja walikibinafsisha....kwa maslahi yao!
 
Nami nafuatilia mazungumzo. Dr. Slaa amemdhibiti sana Makwaia wa Kuhenga. Ile style yake ya kuingilia mazungumzo imedhibitiwa kwelikweli. Dr. Slaa anatumia muda mwingi kufafanua issues nyingi zinazoichafua cdm mbele ya umma.
 
Back
Top Bottom