FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Ukitaka Faiza hata ugali asile siku kadhaa basi anzisha uzi wa kuongelea ushenzi wa "muislam" Kikwete.. weeee....!!! Mishipa hata ya uke inamtoka bibi huyu.
Kuna ushenzi zaidi ya padri kupora mke wa mtu na kumweka kimada na kumjengea jumba la kifahari kwa fedha zetu walipa kodi?
Kikwete yuko juu, mtabaki mnabwabwaja, leteni ushahidi wa huo ushenzi, wacheni kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
Kikwete ni Rais wa Watanzania zaidi ya Million 45, wamo Waislam, Wakristo, Mabaniani, Makadiani, Wasio na Dini, Wala nguruwe, wooooote hao yeye ndiye Rais wao, unaweza mfananisha na nani leo hii Tanzania hii?
Punguani wahed.