Superman JF-Expert Member Mar 31, 2007 5,695 1,696 Nov 17, 2010 #82 Anatoa mfano wa kafulila na wengine katika bunge ili. Kwamba vijana wakijiamini wanaweza.
Superman JF-Expert Member Mar 31, 2007 5,695 1,696 Nov 17, 2010 #83 Swali: Vijana unawasaidiaje wafike katika level ya juu au timilivu?
Superman JF-Expert Member Mar 31, 2007 5,695 1,696 Nov 17, 2010 #84 Anasema yeye amekuwa Bungeni na amewalea vijana. Anatoa mfano wa Zitto ambaye mwenyewe amekuwa akisema yeye ni mwalimu wake . . . simu tena toka Kyela
Anasema yeye amekuwa Bungeni na amewalea vijana. Anatoa mfano wa Zitto ambaye mwenyewe amekuwa akisema yeye ni mwalimu wake . . . simu tena toka Kyela
Superman JF-Expert Member Mar 31, 2007 5,695 1,696 Nov 17, 2010 #85 Wanauliza kama vitabu vyake bado vipo? anajibu atawasiliana na printers. Duh! Kila kitu cha Dr. Slaa kitauzika sasa . . . Simu tena . . . .
Wanauliza kama vitabu vyake bado vipo? anajibu atawasiliana na printers. Duh! Kila kitu cha Dr. Slaa kitauzika sasa . . . Simu tena . . . .
Superman JF-Expert Member Mar 31, 2007 5,695 1,696 Nov 17, 2010 #86 Simu toka DSM: Pongezi na shukrani za kuingiza wabunge wengi bungeni. Je ana maoni gani viana watafanya vizuri?
Simu toka DSM: Pongezi na shukrani za kuingiza wabunge wengi bungeni. Je ana maoni gani viana watafanya vizuri?
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Nov 17, 2010 #87 Kuna swali limeulizwa kuhusu ukorofi wa spika je vijana wataweza kumkabili. Slaa anasema wale vijana wameandaliwa na moto wake utaonekana.
Kuna swali limeulizwa kuhusu ukorofi wa spika je vijana wataweza kumkabili. Slaa anasema wale vijana wameandaliwa na moto wake utaonekana.
Superman JF-Expert Member Mar 31, 2007 5,695 1,696 Nov 17, 2010 #88 Anatoa mfano wa Zitto na Halima Mdee jinsi walivyoingia vijana na jinsi walivyomudu kazi zao. Anasema kwa wabunge wa CHADEMA wameshapewa mafunzo ya jinsi ya kutumia kanuni . . . Big up sana kwa hili
Anatoa mfano wa Zitto na Halima Mdee jinsi walivyoingia vijana na jinsi walivyomudu kazi zao. Anasema kwa wabunge wa CHADEMA wameshapewa mafunzo ya jinsi ya kutumia kanuni . . . Big up sana kwa hili
Superman JF-Expert Member Mar 31, 2007 5,695 1,696 Nov 17, 2010 #89 Anaulizwa Josephine ni nini siri ya malezi mazuri. Mama kakata nywele, kapiga Helleni za kiafrika na African Dress. Yuko vizuri tu . . .
Anaulizwa Josephine ni nini siri ya malezi mazuri. Mama kakata nywele, kapiga Helleni za kiafrika na African Dress. Yuko vizuri tu . . .
Superman JF-Expert Member Mar 31, 2007 5,695 1,696 Nov 17, 2010 #90 Anasema maswala ya kiroho yana umuhimu katika malezi. Simu toka tanga
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Nov 17, 2010 #92 Nje ya topic: hivi Josephine ni chotara eeh?
Superman JF-Expert Member Mar 31, 2007 5,695 1,696 Nov 17, 2010 #93 Anasema mtoto akisomea kijijini kisha chuo akaenda kusoma mbali na kupata kazi huko. Je huyu aliyekulia vijijini na kwenda kuanza kazi town mazingira yanamuadhiri vipi kiutendaji?
Anasema mtoto akisomea kijijini kisha chuo akaenda kusoma mbali na kupata kazi huko. Je huyu aliyekulia vijijini na kwenda kuanza kazi town mazingira yanamuadhiri vipi kiutendaji?
faithful JF-Expert Member Aug 10, 2010 378 33 Nov 17, 2010 #95 huyu josephine ni mzuriiiiii!kweli anafaa kuwa first lady kivuli.................slaa endelea kuchuna usiende shaurini...huyu mama kabila gani jameni?
huyu josephine ni mzuriiiiii!kweli anafaa kuwa first lady kivuli.................slaa endelea kuchuna usiende shaurini...huyu mama kabila gani jameni?
Superman JF-Expert Member Mar 31, 2007 5,695 1,696 Nov 17, 2010 #96 Sorry wakuu, I missed some points . . . nilikuwa namfungulia shemeji yenu geti . . . katoka kusuka nywele
Sorry wakuu, I missed some points . . . nilikuwa namfungulia shemeji yenu geti . . . katoka kusuka nywele
Superman JF-Expert Member Mar 31, 2007 5,695 1,696 Nov 17, 2010 #98 Duh! lakini hii topic haina upako sana kwa Dr. Slaa . . . . Wengine tulikuwa tunategemea nondo kali za masuala ya kitaifa . . . inakuwaje watu wangu wa EATV? Kipindi kimeisha.
Duh! lakini hii topic haina upako sana kwa Dr. Slaa . . . . Wengine tulikuwa tunategemea nondo kali za masuala ya kitaifa . . . inakuwaje watu wangu wa EATV? Kipindi kimeisha.
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Nov 17, 2010 #99 Kumbe dereve wa Dr.Slaa ni mkewe? Just a joke.
kuberwa JF-Expert Member Nov 2, 2010 574 131 Nov 17, 2010 #100 Ndibalema said: Nje ya topic: hivi Josephine ni chotara eeh? Click to expand... Kanana kahiile Ndibalema
Ndibalema said: Nje ya topic: hivi Josephine ni chotara eeh? Click to expand... Kanana kahiile Ndibalema