Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

Status
Not open for further replies.

Vijana wa Lowassa wanamtukana Dr Slaa na vijana wa Chadema asili wanachekelea.Yaan kweli Chadema imenunuliwa na mafisadi na wameimiliki hasa.

Leo hii Laki si Pesa, Jenerali Ambamba na Ocampo Four ndio wanaChadema sanaaa ata kuliko Dr Slaa.
 
Makamanda msiwe na wasiwasi Mbowe alishasema kafanya utafiti wa kisomi kumleta Lowassa watashinda uchaguzi.
msiyempenda kwa ukatoliki wake,kesho anajiunga rasmi CCM.aisee mfumo kristu noma sana....hahahahahah
 

Tatizo ni yule mdada mwenzenu alishafanya mazoezi ya ufirst lady kabisa.

Wacha tuweke akiba ya maneno lakini Dr Slaa ameboa, option iliyopo mwaka huu ni kuing'oa ccm kwa gharama yoyote tuifumuwe nchi tupange mifumo upya na katiba mpya ili sasa wajr aina ya viongozi tuwatakao awamu ijayo.
Currently mtu mwenye ushawishi mkubwa ni Lowasa tu, Dr Slaa angegalagazwa na magufuri mapema asubuhi aanze kutudanganya kuna kontena la kura.
Kama Dr alidhani yeye ni bora ni kwamba ajuwe kuanzia leo watu tunataka mabadiriko na hatuna mpango na vyama vyao.
 
Huu ni utabiri wa Lizaboni wa juzi kuwa hili litatokea waki hii!! Ngoja tuone!!
 

Who are you by the way? Una impact gani kwenye Taifa hili?
Go to hell.
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwenye bluu kumbuka kuwa hata lowassa, sumaye, mungai, lembeli na bulaya waliondoka ccm, kwahiyo ccm wanasema hivi "Walipoondoka, walidhirihisha kuwa hawakuwa upande wetu, kama wangekuwa upande wetu wasingeondoka"

Mwisho nakushauri maandiko ya vitabu vya dini usiyatumie kupitishia hoja za wanasiasa ambao wengi wao wamehasi nafsini mwao tofauti na wanavyoonekana machoni pa watu.
 

Kama mpaka jinga lao anamsapoti Dr. Slaa basi tusitegemee kingine
 
Vijana wa Lowassa wanamtukana Dr Slaa na vijana wa Chadema asili wanachekelea.Yaan kweli Chadema imenunuliwa na mafisadi na wameimiliki hasa.

Leo hii Laki si Pesa, Jenerali Ambamba na Ocampo Four ndio wanaChadema sanaaa ata kuliko Dr Slaa.
Inasikitisha kuona CHADEMA asili nao wamepewa limbwata na kina LAKI si pesa, nao eti 'wanamtukana' Dr. Slaa, kweli?????
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…