Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

Status
Not open for further replies.

Masonjo

JF-Expert Member
Aug 8, 2010
2,724
1,195
Hakuna aliyejiunga chadema kwa kumfuata Slaa...kama yupo ruksa kuondoka naye...hatutetereki hata asemeje tupo pale pale...LOWASSA My president...Tulimpuuza lipumba sembuse SLAA? Ujio wa lowasa utapunguza kura za ukawa kwa asilimia 6 tu...huku ujio wake huo huo utaongeza kura asilimia 18.


tunajua VATICAN ipo nyuma ya mpango huu...kila kitu tunajua...

Vijana wa Lowassa wanamtukana Dr Slaa na vijana wa Chadema asili wanachekelea.Yaan kweli Chadema imenunuliwa na mafisadi na wameimiliki hasa.

Leo hii Laki si Pesa, Jenerali Ambamba na Ocampo Four ndio wanaChadema sanaaa ata kuliko Dr Slaa.
 

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,495
2,000
Makamanda msiwe na wasiwasi Mbowe alishasema kafanya utafiti wa kisomi kumleta Lowassa watashinda uchaguzi.
msiyempenda kwa ukatoliki wake,kesho anajiunga rasmi CCM.aisee mfumo kristu noma sana....hahahahahah
A%20S%20shade.gif
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,275
2,000
Kwani slaa ni nani aondoke tu sisi vijana wapenda mabadiliko tuta fight kwa kizazi hiki na kijacho. Aende tu na ubinafsi wake kama aliacha kiapo na nadhiri kwa Mungu ndo sembuse kuwageuka Watanzania. Kama ilipangwa uchaguzi wa mwaka uu uwe wa tofauti utakua tu. Kamwe Watanzania haturudi nyuma. Namtakia safari njema na maisha mema

Tatizo ni yule mdada mwenzenu alishafanya mazoezi ya ufirst lady kabisa.

Wacha tuweke akiba ya maneno lakini Dr Slaa ameboa, option iliyopo mwaka huu ni kuing'oa ccm kwa gharama yoyote tuifumuwe nchi tupange mifumo upya na katiba mpya ili sasa wajr aina ya viongozi tuwatakao awamu ijayo.
Currently mtu mwenye ushawishi mkubwa ni Lowasa tu, Dr Slaa angegalagazwa na magufuri mapema asubuhi aanze kutudanganya kuna kontena la kura.
Kama Dr alidhani yeye ni bora ni kwamba ajuwe kuanzia leo watu tunataka mabadiriko na hatuna mpango na vyama vyao.
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,275
2,000
Hatimaye katibu mkuu wa Cham cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Wilbrod Slaa ameamua rasmi kuachana na siasa baada ya tafakari ya muda mrefu.

Kesho Slaa anatarajiwa kutangaza uamuzi wake huo ndani ya 'Dar es Salaam Serena hotel' ambao utakuwa ni pigo kubwa kwa vyama vinavyounda UKAWA.

Katika hatua nyingine mwanachama wa CHADEMA anayeamini katika siasa za Dr. Slaa, G Sam ameamua kumuunga mkono kutokana na mizengwe ya uteuzi wa mgombea urais ndani ya chama hicho.

"Nitapiga kura kwa Halima Mdee na mgombea udiwani wa Chadema ila siyo kwa Edward Lowassa" anasema G Sam.
G Sam anamuonea Edward Lowassa kama mgombea dhaifu sana asiyeweza kwenda sambamba na kasi ya chama hicho. Aidha G Sam anakiri kuwa hana tatizo na Edward Lowassa kuhusu mambo ya ufisadi bali ni kutokana na udhaifu unaoonekana waziwazi juu ya mgombea huyo.

Who are you by the way? Una impact gani kwenye Taifa hili?
Go to hell.
 
Last edited by a moderator:

The Intelligent

JF-Expert Member
Dec 27, 2013
2,461
1,500
Mungu mkuu yuko upande wetu. Amelaaniwa yule amtegemea mwanadamu na kumfanya kuwa kinga yake. Kama ameamua kuondoka mwache aende kwa amani, Mungu mkuu atatutea, na kutupigania mpaka mwisho. Biblia inasema waraka wa kwanza wa Yohana 1 yohana 12:19 "Walipoondoka, walidhirihisha kuwa hawakuwa upande wetu, kama wangekuwa upande wetu wasingeondoka". Kama ataamua kuondoka, itadhihirika kuwa, alikuwa hasimamii maslahi ya Tanzania, labda maslahi mengine. Mungu mkuu yupo upande wetu, Yeye ni zaidi ya binadamu yoyote.

Hapo kwenye bluu kumbuka kuwa hata lowassa, sumaye, mungai, lembeli na bulaya waliondoka ccm, kwahiyo ccm wanasema hivi "Walipoondoka, walidhirihisha kuwa hawakuwa upande wetu, kama wangekuwa upande wetu wasingeondoka"

Mwisho nakushauri maandiko ya vitabu vya dini usiyatumie kupitishia hoja za wanasiasa ambao wengi wao wamehasi nafsini mwao tofauti na wanavyoonekana machoni pa watu.
 

linner

JF-Expert Member
Jul 18, 2015
1,189
1,225
Ni Dr Slaa pekee anayeweza kupewa sifa ya kubadilisha siasa za Tanzania.

Ni Dr Slaa pekee aliyeuingiza upinzani wa kweli na wa kudumu katika jimbo la karatu.Hakuna mfano wa upinzani uliokomaa kama ule wa jimbo la karatu.

Ni Dr Slaa pekee aliyeanzisha siasa za kweli za upinzani ndani ya bunge la Tanzania.Slaa aliisumbua serikali kwa hoja nzito bungeni despite uchache wa wabunge wa upinzani bungeni.

Ni Dr Slaa pekee aliyeweza kuwaeleza wananchi kuhusu ni nani hasa mafisadi na wanaolitafuna Taifa na kulifanya lisiende mbele.

Pengine ni Dr Slaa pekee atakayeamua mustakabali wa nini watanzania wafanye baada ya hii contraversial switch katika siasa za Tanzania.

Dr Slaa ana uwezo wa kusema na kukubalika kwamba mwaka huu ni nani hasa anayeibeba ile ajenda yake ya vita dhidi ya ufisadi.

Wanasema "Be as wise as the enemy you encounter"

Dr Slaa atakuwa wise...na atatupa muelekeo.

Kama mpaka jinga lao anamsapoti Dr. Slaa basi tusitegemee kingine
 

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
31,351
2,000
Vijana wa Lowassa wanamtukana Dr Slaa na vijana wa Chadema asili wanachekelea.Yaan kweli Chadema imenunuliwa na mafisadi na wameimiliki hasa.

Leo hii Laki si Pesa, Jenerali Ambamba na Ocampo Four ndio wanaChadema sanaaa ata kuliko Dr Slaa.
Inasikitisha kuona CHADEMA asili nao wamepewa limbwata na kina LAKI si pesa, nao eti 'wanamtukana' Dr. Slaa, kweli?????
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom