Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

Status
Not open for further replies.
msitegemee Dr Slaa kwa wema hapo kesho, Dr Slaa ameumizwa sana kwa ujio wa lowassa malengo yake kisiasa yamefilisika kwa ujio wa lowassa. Ameshafanya hesabu zake hatakuwa tena na mvuto.

Lazima atajaribu kuweka mpasuko ambao kwa mtazamo anahisi atakiathiri chama na ukawa. Siku zote viongozi wa kiafrika wanaousaka urais ili kuwatumikia wananchi hawakosi chembe chembe za malengo yao binafsi hili ndio tatizo ata Lipumba alishindwa kustaamili na Dr Slaa atafuatia pia.
 
Kuna tetesi nimezipata kuwa wanachadema watiifu kwa Dr slaa ambao ni wagombea ubunge katika majimbo mbalimbali wataachana na chadema na harakati za kugombea ubunge kutokana na mtafaruku ndani ya cdm unaoendelea. Hiyo inamaana ccm itapita bila kupingwa katika majimbo 37 au itapambana na wagombea dhaifu kutoka ACT WAZALENDO
 
Ataondoka peke yake kwa maana mibilioni ameika peke yake,,,,ndio maana kinana alikuwa bado dar kumbe walikuwa wanaongeza dau mpaka bei imefika
 
Safi sana ngoja tuangalie mawasiliani yakoje, hawa wezi koko wanafikiri Tanzania ni ya kwao peke yao au ni mali yao. EL amekuwa mwizi tangu miaka ya 1970 hadi leo bado ana kiu ya pesa za walipa kodi. It will never happen whatever the case.
Mmeshindwa kumkamata na kumfunga??
 
Chochote atakacho ongea Dr. Slaa iwe ni kuwa upande wa UKAWA au iwe ni kuwa upande wa CCM, impact yake itakuwa kubwa sana na kwa namna moja ama nyingine itaathiri sana maamuzi ya watu wengi sana kuelekea uchaguzi mkuu. Huyu sio mwanasiasa wa kupuuzwa hata kidogo.

Akisema atabakia upande wa UKAWA atakuwa amewaongezea nguvu kubwa sana, lakini akisema pia anaondoka UKAWA, atakuwa amewadhoofisha sana na hii itakuwa faraja kubwa sana kwa CCM.
 
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu kazi tuliyonayo ni kuing'oa ccm kwanza mambo mengine baadaye, hatutaki ubinafsi.
Hivi Dr Slaa ana ubavu wa kupata kura za Zanzibar na za watu wa ukanda wa pwani?

Washirika muhimu sana kwenye vita hii ni CUF baasi, kama hawa wameshakubali kushirikiana mapambano haua biashara imekwisha.

Mgombea mwenza Juma Duni Haji ameshakaa sana jela kwa mateso ya ccm halafu leo Dr aje kuthubutu kusaliti harakati hizi? Atapuuzwa tu.

Dawa ya moto ni moto, waulize kwanini na wao walisaliti hotuba ya Dr.slaa pale mwembeyanga?
 
Kwahilo nina heshima kubwa sana kwake na namuombea aweze kujipambanua kati yake na wengine kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu na anasimamia uadilifu kile alichoamini kuwa ni sahihi hata kama wengine wote katika CHADEMA wanakwenda kinyume kwa ajili ya maslahi ya matumbo yao na sio Taifa kwa jumla. Mungu amuongoze sana.

Watz tunamwamini Dr.Slaa na hawezi kuwa sehemu ya wezi na walaghai huku wakijivika mwamvuli Wa ukawa
 
Mkuu alifurumushwa Bungeni akakimbia sasa unauliza majibu au na wewe peremende zinakudumaza?
hiini moja ya shida kubwa miongoni mwa WATZ, mtu akihoji basi kahongwa, jibu maswali niliyouliza ili kuonesha werevu wako. Kama huna majibu nyamaza kimya, acha mipasho na kudhalilisha serikali zilizopita na ZILIZOPO
 
Kama sehemu ni Serena Hotel basi Dr. Slaa keishaingia mikononi mwao.. bye bye Dr. Slaa tutakukumbuka kwa ujenzi wa chama chetu ila safari yetu ya mabadiliko haipukiki "hiki kikombe ni lazima tukinywe"

Usiwe na mawazo ya kijinga, eti kaenda mikononi mwao?Dr Slaa ni mtu wa kununuliwa?jinga sana wewe.

Kwa watu makini siasa ni imani, miaka yote Dr Slaa kajipambanua kama mtu mwenye msimamo wa dhati dhidi ya ufisadi, Chadema imeuza moyo wake kwa shetani na kuuvaa ufisadi,mtu yeyote makin hawezi kukaa na kuyaramba matapishi yake,ni wanasiasa wasanii tu wanaoweza kuongea leo hili na kesho akageuka.


Kama Dr Slaa anasimamia imani yake ni mtu wa kumpongeza sana maana hatuna wanasiasa wengi Tanzania wa aina hii.

Kumdhania kwamba Dr Slaa anaweza kuhongeka ni kijidharirisha wenyewe kuwa unapelekeshwa kijingajinga bila kutumia akilli, leo hii mnamuona Dr Slaa mtu wa kuhongwa na Lowassa wa kuaminiwa?ata wanyama wa mwituni wana akili kuliko binadamu nyie, mnazidi kuthibitisha kuwa Mkapa hakukosea kuwa nyie ni wapumbavu, hamna mnachoamini bali kufuata upepo tu, sijui akili mlipewa za kazi gani kama mnafuatafuata tu bila imani kama nyumbu wa mikumi.
 
Mhh!!! Haya mkuu tukutane October.

Kama leo viongozi waandamizi wa ziara za Lowassa ni Sumaye na Masha, basi ujue kuna tatizo.

Ila tuwe na uvumilivu wa kisiasa , hatuipendi ccm ila Chadema wamejichanganya.

Inaonekana ndani ya Chadema slogan iliyopo ni kanyaga twende sio mikakati ya muda kuhusu kuchukua nchi, kifupi Chadema hawana plan b zaidi ya Lowassa.!

Kweli kuna jambo la ajabu.
Majemedari wa chadema wameyeyuka aisee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom