Naifahamu mtoto wangu alisoma pale alifanya vizuri sana. ndio ni ya binafsi na ni English Media. Naupongeza uongozi wa shule hiyo kwa kuwa bold kuweza kumwalika kiongozi wa upinzani kwani wengi ni waoga. Hii inafungua ukurasa mpya wa Tanzania kuwa hata wapinzani pia wanaweza kualikwa kama wageni rasmi maeneo mbalimbali bila wogabila shaka ni ya watu binafsi hii ?
ndio maana wamesema shule ?itakuwa ya kanisa hio
Si ya kanisa, kwanini wazo linalokujia ni kwamba shule ni ya kanisa?itakuwa ya kanisa hio
By default kama inaperform vizuri hadi kupata barua ya pongezi ujue ina connection na kanisa, na sio msikiti.itakuwa ya kanisa hio
Mkuu ni lini hiyo,hujasema itakuwa lini
itakuwa jumapili baada ya kutoka kanisani
ndio maana wamesema shule ?
Ingekuwa sio ya kanisa c ungeona wameandika Dr slaa kuwa mgeni rasmi madrasa ?
Jiongeze kufikili ?
Dr Slaa atakuwa mgeni rasmi katika mahafali ya darasa la saba Queens' schools (Nursery and Primary) iliyopo Ukonga Dar es Salaam. Shule hiyo ipo karibia na kituo cha Polisi Sitakishari njia panda ya Segerea kama unatokea maeneo ya Uwanja wa Ndege. Kama unatokea Tabata ukifika Mbuyuni elekea njia ya Airport na ukivuka tu daraja utaona kibao cha Queens, kama unatokea upande mwingine ni kabla hujavuka daraja.
Wananchi wote mnakaribishwa na hasa wale wenye watoto wanaotarajia kujiunga mwaka 2013. Shule hii ilipewa cheti cha pongezi mwaka jana kufaulisha wanafunzi wote na inafanya vizuri sana katika taaluma. Karibu umsikilize Dr wa ukweli, njoo ujionee shule iliyopania kukijenga kizazi kipya chenye fikra mpya.
Mahafali yataanza saa 4 asubuhi kesho jumapili tarehe 28/10 na kutakuwa na burudani lukuki.
Source: Tangazo lililotolewa na uongozi wa shule hiyo makini
bila shaka ni ya watu binafsi hii ?
Anyway itakuwa lini ?
Nauliza hivi shule za Msikiti ziko wapi jamani, nataka nimpeleke mwanangu huko!
Na je ufaulu wake ukoje?