Frank Francis,mwanafunzi aliyewahi kuwa wa mwisho kidato cha sita,wa kwanza mara sita mfululizo msingi,wa saba kati ya wanafunzi elfu mbili...

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Frank Francis mwanafunzi pekee aliyewahi kuwa wa mwisho darasani kidato cha sita mwaka 2006 Mpwapwa sec,wa kwanza mihula sits mfululizo shule ya msingi Mihayo Mkoani Tabora(1993-1996) na wa saba kati ya wanafunzi elfu mbili wa mkoa wa Tabora Manispaa mwaka 2009 akiongoza Zuberi Omary mwenye vyeti vingi vya taaluma kuliko mwanafunzi yeyote yule Tanzania ktk historia tangu Uhuru.

Frank Francis mwanafunzi aliyedhulumiwa nafasi yà kuhudhulia Bunge la Wanafunzi jijini Dodoma akiwa darasa la saba mwaka 1999 na mwalimu mkuu wake na badala yake akampeleka mtoto wake japokuwa kikao cha walimu kilimpitisha

Mwanafunzi aliyekuwa miongoni wa wachache walioenda kufanya mtihani wà kujiunga na shule ya vipaji maalumu Tabora Boys tokea Kazima sec Tabora akiwa kidato çha kwanza

Ndie mwanafunzi mtoro zaidi alifikisha miezi mitatu mfululizo bila kuhudhulia masomo kidato cha tatu akipinga adhabu ya viboko na tabia ya kupewa adhabu ya kulima majaruba

Mwanafunzi aliyehamia MilamboHigh School mwezi October akiwa kidato cha tatu na uhamisho mkononi na kupokelewa na Headmaster Mohammed Majubwa akiwa taabani kimasomo na kutakiwa kufanya masomo saba pekee

Aliefalu daraja LA tatu na kuchaguliwa shule ya vipaji maalumu Mpwapwa sec na kufaulu kidato Cha sita Kwa darajà la pili point kumi na kujiunga chuo kikuu cha Dar es salaam 2006

Alifeli somo moja na kushidwa kuhitimu na kulazimika kurudia hata baada ya kufaulu. Hakuwahi kuvaa Joho la Mahafali wala kuhudhulia mahafali

Ndie mtumishi pekee mwenye alama ya F Kuajiliwa bank ya National Microfinance Bank hadi kufikia hadhi yà mfunga mahesabu ya tawi Back Office na kuidhinisha mishahara ya wilaya ya Mwànhuzi-Meatu

Ni miongoni mwa wanafunzi wachache waliosoma pamoja shule ya msingi , O-level,A-level na chuo kikuu pàmoja na mwanafunzi mwenye sauti ya kipee Tanzania àitwae Zaitun Bashiri Mshana

Aliehojiwa na idhaa ya Kiswahili BBC mwaka 2007 na kutoka ktk magazeti pendwa ya Ijumaa,Risasi,Amani na Uwazi mwaka 2006 akiwa kidato cha sita katika shindano La look Alike competition akifananishwa na mwanamuziki R-Kelly wa Marekani kabla ya Wema Sepetu na Diamond hawajatoka kwenye magazeti

Historian Kwa Hisani,(Huruma)ya Mossad
 

Attachments

  • IMG-20181001-WA0010.jpg
    IMG-20181001-WA0010.jpg
    6.8 KB · Views: 75
  • Thanks
Reactions: Oii
asante mkuu nimekuelewa, wasomi wengi bongo hawawezi kukuelewa maana elimu yetu ni cheap sana lakini bado inamakandokando mengi mtu usome vitabu vya nyambari then uelewe conceptual literature? never, nasema never...hint; kama ipo ipo tu.
 
Back
Top Bottom