Dr Slaa kuunguruma Ziba Igunga kesho

Usije ukaturushia Picha za
Kwenye ngoma, maana Huu Ni msimu wa ngoma maeneo hayo, ukatudanganya eti
Dr. Mshale kavuta umati wa watu, tutahakiki Picha zako. Nami nipo
jirani na Ziba na nimeshazunguka Vijiji Jirani Wananchi wanasema Hawana
muda mchafu wa Kwenda kusikiliza hotuba zisizo na tija za Dr.
Mkuki

Hizo ngoma waliobaki kuziangalia ni wa kuhesabu watu walishakuwa waelewa,na bahati mbaya mimi huwa sifiki hata kwenye hizo ngoma unazozisema.tukutane uwanjani umshuhudie Dr wa ukweli akivuta hisia za wana Igunga kuelekea marudio ya uchaguzi wa ubunge.
 
Wewe umepotea Kama huthamini Utamaduni wako.
 
Uwanjani nitakuwepo lakini usitegemee umati wa watu Dr. Panga Hana jipya na watu wameshamchoka. Mila za huku mtu ambaye Hana mke nani atamthamini akaoe kwanza.
 
@ Ambagae, haiwezekani Doctor afike mahali watu wasijitokeze kumsikiliza na kupokea mawaidha yake, hata akija kwako wewe usipokuwepo, mkeo atampokea tu na ujumbe utafika, yule ni mtu wa watu usimfananishe na nepi.
 
Mkuu Kuchasoni, usibishane na huyo jamaa yetu, inaelekea anapenda sana kuandikia mate wakati wino upo, sasa ni saa 2 na nusu, ikifika mida tundika picha atafute pa kujificha.
 
Kuchasoni, uwanja ni pale zilipochezewa ngoma za Mbote mdogo na Awilo au sehemu gani hasa?
 
Uwanjani nitakuwepo lakini usitegemee umati wa watu Dr. Panga Hana jipya na watu wameshamchoka. Mila za huku mtu ambaye Hana mke nani atamthamini akaoe kwanza.

Jamani akina Ritz, Tume ya Katiba, zomba, @Nnauye junior mko wapi mmsaidie mwenzenu, anajipaka maviiiiii, wahini mumsitiri kwani hajui kama keshakuwa mbolea toka kichwani hadi . . . . . . pia ni hatari kwa afya kwani tayari nzi wananyemelea na inaweza kuwa chanzo cha maambukizi ya kipindupindu.
 
Last edited by a moderator:
Jamani akina
Ritz, Tume ya Katiba,
zomba, @Nnauye junior mko wapi mmsaidie
mwenzenu, anajipaka maviiiiii, wahini mumsitiri kwani hajui kama
keshakuwa mbolea toka kichwani hadi . . . . . . pia ni hatari kwa afya
kwani tayari nzi wananyemelea na inaweza kuwa chanzo cha maambukizi ya
kipindupindu.

Ha ha ha ha uwiiiiiiiiiiiiiiiii umenifurahisha sana.
 
Last edited by a moderator:
Jamani akina Ritz, Tume ya Katiba, zomba, @Nnauye junior mko wapi mmsaidie mwenzenu, anajipaka maviiiiii, wahini mumsitiri kwani hajui kama keshakuwa mbolea toka kichwani hadi . . . . . . pia ni hatari kwa afya kwani tayari nzi wananyemelea na inaweza kuwa chanzo cha maambukizi ya kipindupindu.

Ulikuwa unataka kufikisha ujumbe gani kaka
 
Jamani akina Ritz, Tume ya Katiba, zomba, @Nnauye junior mko wapi mmsaidie mwenzenu, anajipaka maviiiiii, wahini mumsitiri kwani hajui kama keshakuwa mbolea toka kichwani hadi . . . . . . pia ni hatari kwa afya kwani tayari nzi wananyemelea na inaweza kuwa chanzo cha maambukizi ya kipindupindu.

Hujambo? habari za kulala?
 
Leo tena tumeambiwa Dr Slaa atakuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya chekechea Tabata.
 
Dr Slaa yupo mkoa wa Tabora alipokuwa akihitimisha kunadi wagombea wa udiwani wa CDM, Sikonge na Uyui. na leo atakuwa na mkutano wa hadhara kijiji cha ZIBA IGUNGA.Hajarudi Dar.
 
Mbona tumeambiwa leo yupo Tabata kwenye mahafali ya chekechekea.
 
Back
Top Bottom