Dr Slaa kuunguruma Ziba Igunga kesho

Dr slaa:
Mapolisi mnatuaibisha jana kule Rwenzera kijana wetu amepigwa na watu wa
ccm tukampigia simu ocd hakwenda kwa wakati muafaka.Baadaye gari la
polisi linakwenda wanamchukua kijana wakamtupia kwenye gari.na ndani ya
gari alikuwepo m/kiti wa ccm na kreti la bia na viroba vya konyagi
askari wamelewa.nawaagiza mapolisi kama mmeshindwa kazi vueni magwanda
yetu mturudishie.

tumekuja kuwajaza ujasiri, tumekuja kuwapa matumaini, tumekuja kuwaambia ukombozi uko karibu, tumekuja kuwaambia hatukubali kubaki na kusudio la kukata rufaa ili waendelea kula kuku.Tunaipindua hii haraka iwezekanavyo.
 
Ukweli tube tunaueleza ndugu zangu hakika nimeanza kuamini kuwa Dr slaa ameanza kuchuja watu waliojitokeza .ni wachache sana nilikuwepo na hakika tukisema kufarijiana .ni sawa lakini that they is the real situation Dr ameumbuka ziba ingawa watu walihimizwa wengi wamepuuza na niliona wako size na mambo yao hakika watu wa ganga hawatabiriki
 
Kuchasoni umefanya kazi kubwa, endelea na moyo huo ndugu, si unaona huyo jamaa wa asubuhi aliyekuwa anakandia uwepo wa Dr. alivyoaibika, nilikwambia atatafuta pa kujificha ,si umeona Mkuu kama hayupo, uvccm kunaungua, Dr. anawatwanga kotekote. Usingizi wangu leo ni mwema kama Kibela!
 
Ukweli tuwe tunaueleza ndugu zangu hakika nimeanza kuamini kuwa Dr slaa ameanza kuchuja watu waliojitokeza .ni wachache sana nilikuwepo na hakika tukisema kufarijiana .ni sawa lakini that is the real situation Dr ameumbuka ziba ingawa watu walihimizwa wengi wamepuuza na niliona wako na mambo yao hakika watu wa Igunga hawatabiriki
 
@ Ambagae, haiwezekani Doctor afike mahali watu wasijitokeze kumsikiliza na kupokea mawaidha yake, hata akija kwako wewe usipokuwepo, mkeo atampokea tu na ujumbe utafika, yule ni mtu wa watu usimfananishe na nepi.

Mchungaji wa Kondoo wa Bwana kashindwa kuwaongoza kondoo atawaweza kweli wasiokuwa Kondoo!.
 
Ukweli tube tunaueleza ndugu zangu hakika nimeanza kuamini kuwa Dr slaa ameanza kuchuja watu waliojitokeza .ni wachache sana nilikuwepo na hakika tukisema kufarijiana .ni sawa lakini that they is the real situation Dr ameumbuka ziba ingawa watu walihimizwa wengi wamepuuza na niliona wako size na mambo yao hakika watu wa ganga hawatabiriki

Dalili za mvua Ni mawingu. CDM ndo inayeyuka hiyo.
 
Picha zilizoahidiwa ziko wapi. Ila asituletee Picha za ngoma asingizie za Dr. Mshale

macho yako hayaoni hizo hapo angalia tena.
 

Attachments

  • Photo0015.jpg
    Photo0015.jpg
    79.7 KB · Views: 28
  • Photo0017_001.jpg
    Photo0017_001.jpg
    78.1 KB · Views: 27
  • Photo0020_001.jpg
    Photo0020_001.jpg
    38.2 KB · Views: 28
Back
Top Bottom