Dr. Slaa akiwahutubia wananchi wa Igunga mkoani Tabora

Status
Not open for further replies.

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225
Monday, December 23, 2013
DKSLAA100.jpg

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Igunga mjini jana katika Uwanja wa Barafu wakati akihitimisha ziara ya kuimarisha na kukagua uhai wa chama, mkoani Tabora.
DKSLAA200.jpg


Wananchi wa Igunga mjini wakiinua mikono juu wakati Dk. Slaa akiwahutubia jana katika Uwanja wa Barafu mkoani Tabora.
(Picha zote na Chadema) 

Laurence

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
3,104
1,225
Naamu Dr Makini alieko mioyoni mwa watanzania wengi;nakukubali sana Dr Slaa na Mungu aendelee kukulinda zaidi
 

Alinda

Platinum Member
Jun 26, 2008
1,694
2,000
Mnachelewesha picha sana... Hili swala litafutiwe ufumbuzi... BI
 

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,067
2,000
Mnachelewesha picha sana... Hili swala litafutiwe ufumbuzi... BI

Mpaka wa edit kwanza ndio watume na hii ndio sababu zinachelewa,mara tutumiwe picha za 2010,kweli upepo unaelekea kusiko!
Watu masikio yote yapo kigoma kwa ZZK!
 

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225
Achukue dola aje ahalalishe gongo

Ulizaliwa 1999? Unajua KIBUKU na CHIBUKU? na Histora yake PWANI ya TANGANYIKA na WAKOLONI? kwanini sasa ni DISTILLED???? Wazee wa Kiswahili wa Pwani ndio iliyokuwa POMBE yao lakini MKOLONI alikuwa anaipinga kama GONGO --- GONGO inapingwa sababu ya UKOLONI MAMBOLEO... SIO SABABU ya kuwa kinywaji kibaya -- IKIWA DISTILLED ni kinywaji kizuri kama KIBUKU na CHIBUKU NYERERE walivyowafanyia watu wa PWANI...

ACHENI UMASIKINI WA KIELIMU na kubali na Mawazo FINYU ya KIKOLONI na KUENDEKEZA UKOLONI MAMBOLEO...
 

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225
Mpaka wa edit kwanza ndio watume na hii ndio sababu zinachelewa,mara tutumiwe picha za 2010,kweli upepo unaelekea kusiko!
Watu masikio yote yapo kigoma kwa ZZK!Ulizaliwa 1999? Unajua KIBUKU na CHIBUKU? na Histora yake PWANI ya TANGANYIKA na WAKOLONI? kwanini sasa ni DISTILLED???? Wazee wa Kiswahili wa Pwani ndio iliyokuwa POMBE yao lakini MKOLONI alikuwa anaipinga kama GONGO --- GONGO inapingwa sababu ya UKOLONI MAMBOLEO... SIO SABABU ya kuwa kinywaji kibaya -- IKIWA DISTILLED ni kinywaji kizuri kama KIBUKU na CHIBUKU NYERERE walivyowafanyia watu wa PWANI...

ACHENI UMASIKINI WA KIELIMU na kubali na Mawazo FINYU ya KIKOLONI na KUENDEKEZA UKOLONI MAMBOLEO...

Shule za kata
 

sawa

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,750
2,000
Maccm mpo?ccm mnamiaka zaidi ya 50katika siasa mnalialia kazi ndio imeanza
 

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,809
0
Mnachelewesha picha sana... Hili swala litafutiwe ufumbuzi... BI
Don't you know the problem behind? Ni kwamba picha zao lazima zihaririwe kuona sisi wananchi tutawachukuliaje, mchujo.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom