- Thread starter
- #61
Kiongozi shujaa na maarufu EAfrika na duniani,Amerika wanamjua.
Mapokezi yake Marekani mwaka jana yaliitikisa Afrika..
Kiongozi shujaa na maarufu EAfrika na duniani,Amerika wanamjua.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu jamani.Tanzania tuna bahati kubwa ya kuwa na mtu wa aina hii.
Mzee Slaa sasa amekuwa wa kuzindua matawi?
Kweli yuko kwenye zama zake za mwisho siasani.
Mbona mkutano wa chadema Kimara umedoda leo? Mnyika hana mvuto tena?
Mungu yupi huyo?
tunasubl updates
Mzee Slaa naye mnamlinganisha na Rais Kikwete?Unashangaa nini wakati kikwete anazindua filamu ya lulu
Mapokezi yake Marekani mwaka jana yaliitikisa Afrika..
Mzee Slaa naye mnamlinganisha na Rais Kikwete?
Mzee Slaa naye mnamlinganisha na Rais Kikwete?
ni ujinga kufikiri ukifika mlimani ndo kujua kila kitu. we bado ni fa.la tu.Mambo ya UDSM utayajulia wapi!? mtu mwenyewe ata Veta hujafika.
Mungu yupi huyo?