- Thread starter
- #21
Dr makini anaeitendea haki taaluma yake na kipaji chake alichopew na mwenyezi mungu bila kuwalaghai na kuwanyanyasa watz kama wafanyavyo wengine waliolaaniwa kama vile kina dr. Chimbi na nhemba
Hapa Muhimbili wanafunzi wako vikundi vikundi kujadili ujio wa Dr Slaa.Kila mtu ana shauku kujua atakachozungumza!