- Thread starter
- #41
mchawi wenu mzee mtei.chama amekimaliza kwasababu ya ukanda.
Utabakia na hayohayo kama zuzu..!!
Kukaririshwa jambo ni kubaya sana.
mchawi wenu mzee mtei.chama amekimaliza kwasababu ya ukanda.
haishangazi habari hii kuwa kubwa , maana UTAFITI HURU UNAONYESHA KWAMBA DR SLAA NDIYE MTU MAARUFU ZAIDI KWENYE UKANDA WA MAZIWA MAKUU , AKIFUATIWA KWA MBALI SANA NA PAUL KAGAME .
Kesho Wassira afungwe kamba shingoni avutwe kama mbuzi hadi kwenye mdahalo wa katiba Serena Hotel. Mbona vipindi vya Dk 45 vya ITV huwa ana burst kwa kurudia?!
Sasa tunamtaka aende akatetee S2 zilizoboreshwa ili Watanzania tupembue chuya na ngano
Big up sana rais wa mioyo ya Watanzania.
Naona ukisikia jina CDM au Dr Slaa tu, chupi ianakubana, unawahi msalani..Zaidi ya kusema amedaka nyaraka za siri, kuna lingine tena?
Sita hana nia ya kugombea urais
Mzee Slaa sasa amekuwa wa kuzindua matawi?
Kweli yuko kwenye zama zake za mwisho siasani.
Mzee Slaa sasa amekuwa wa kuzindua matawi?
Kweli yuko kwenye zama zake za mwisho siasani.
Rais ambaye hakutangazwa..
Hivi Dr Slaa hadhi yake ni kuzindua matawi ya chadema? Hii ni aibu kubwa na ni fedheha kwake