- Thread starter
- #121
Dr Slaa ameingia ndani yaukumbi madr wamejipanga vema nitawapa kinachoendelea
Tunakufuatilia Kamanda!
Dr Slaa ameingia ndani yaukumbi madr wamejipanga vema nitawapa kinachoendelea
Hata mimi nilishangazwa sana na waziri mkuu kuja arusha manyire kuzindua transformer ya umeme.Hivi Dr Slaa hadhi yake ni kuzindua matawi ya chadema? Hii ni aibu kubwa na ni fedheha kwake
Mzee wako Kada la msituni linajinyea huko kwenye mjadala....Mzee Slaa sasa amekuwa wa kuzindua matawi?
Kweli yuko kwenye zama zake za mwisho siasani.