Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,685
Mtume gani yule Muhindi wa Agape TV.
Hana utume wowote yule...yupo kwenye biashara!ile n yake na familia yake!mana mkuu yeye.naibu mke na watoto ni wahasibu....
Mtume gani yule Muhindi wa Agape TV.
The case of a senile old making the rounds akihubiri makosa ya wengine wakati yake yako mahakamani.
Mambumbu wanakaa barabarani na mitandaoni wakimshangilia.
Thats what I call insanity
Idiot......
Kiongozi wa upinzani nchini ambaye pia ni Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa leo anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Igunga kuwashukuru wananchi kwa ushirikiano waliyokionyesha chama chake mpaka pale mahakama ilipotengua ubunge wa CCM ambao haukuwa halali.
Dr Slaa ambaye anaongoza operesheni M4C mkoani Morogoro imemlazimu kuwaacha makamanda wengine huku yeye na baadhi ya maafisa wakielekea Igunga.Kiongozi huyo amefuatana na Mkiti wa chama mkoa wa Tabora Kansa Mbarouk.
Mara baada ya kuunguruma Igunga leo ataondoka kurejea Morogoro ambapo Jumatatu atakuwa mgeni rasmi katika hitimisho la M4C mkoani Morogoro kwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Morogoro,mkutano unaotarajiwa kuutikisa mkoa mzima na kanda ya kati kwa ujumla kutokana na shauku kubwa wananchi waliyo nayo.
Source:Tanzania Daima.
Hakika Dr Slaa afya yako ni ya uhakika maana kila siku upo barabarani na huchoki angekuwa yule Baba Mwanaasha sasa Hivi Chali
Naona wamekumbuka igunga, basi Wamnunulie nguo mgombea wao, uchaguzi ukirudiwa aonekane msafi kidogo,jamaa alikua mchafu mchafu wakati wote wa uchaguzi uliopita.
JF is a reserve for original thinkers, and one should strive to argue accordingly.Idiot......
Asante mkuu kwa kuwasemea watanzania walio wengi.
Hana jipya huyo BABU KIZEE kila siku maneno yale yale,tumemchoka