Ataruhusiwa kufanya mkutano wa aina hiyo kweli wakati suala zima limo kwenye mchakato wa kukatiwa rufaa mahakamani?...just joking!
Kwa hakika Dr Slaa ameamua maamuzi ya haraka na yenye akili kama vile kipanga anavyokamata kifaranga cha kuku, hakuna kuremba mawazo, maana angesubiri jamaa wakate rufaa tayari asingekuwa na loophole hiyo, policcm wangembeba msobemsobe.
Nimegundua kuwa M4C ni kama EBOLA inaua ndani ya sekunde!
nimeipenda hii