Dr Slaa kutikisa Dar leo

Dr Slaa kutikisa Dar leo

Status
Not open for further replies.
acha kuweweseka wewe. ni hivi majuzi tu CHADEMA imegaragazwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. au umesahau?
what is fair election? what is Tanzania , ukimaliza kujibu kaoshe hiyo kitu ina harufu sanaaaaa.
 
dar ipi jamani asije kujiaibisha hakuna anaemwitaji dar inawenyewe na wenyewe ndo kama sisi asimalize nguvu zake bure akashindwa kumhudumia carlolite wake
 
Ahsante sana kamanda Molemo kwa taarifa hii.
Mkutano wa Dkt. Slaa uwanja wa Kampala utaanza saa 10:00 alasiri. Wananchi wote wakazi wa jimbo la Ukonga cila kujali itikadi zao mnakaribishwa kutoa maoni yenu juu ya rasimu ya katiba mpya ya 2013!
Chadema Yatosha!
 
Last edited by a moderator:
what is fair election? what is Tanzania , ukimaliza kujibu kaoshe hiyo kitu ina harufu sanaaaaa.

mkuu kwa haya maneno yako uliyoandika umepata sifa zote za kutukanwa,
kwa vile binadamu haturuhusiwi kutukanana ngoja tukuache uendelee na upeo wako mdogo wa kujua maswala.
 
mkuu kwa haya maneno yako uliyoandika umepata sifa zote za kutukanwa,
kwa vile binadamu haturuhusiwi kutukanana ngoja tukuache uendelee na upeo wako mdogo wa kujua maswala.
Intellectuals solve problems; geniuses prevent them by Albert Eistein.
 
Ahsante sana kamanda Molemo kwa taarifa hii.
Mkutano wa Dkt. Slaa uwanja wa Kampala utaanza saa 10:00 alasiri. Wananchi wote wakazi wa jimbo la Ukonga cila kujali itikadi zao mnakaribishwa kutoa maoni yenu juu ya rasimu ya katiba mpya ya 2013!
Chadema Yatosha!

Asante mkuu Mwita Maranya kwa kutuwekea muda kamili wa kuanza mkutano.
 
Last edited by a moderator:
Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.

Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.

Lini ulichaguliwa kuwa msemaji wa watu wa Dar? Hicho kihere x2 kitaisha siku buku7 zikikoma. Maana biashara imedoda sembe inakamatwa balaa. Punda nao wamegoma.
 
Mwaiposa alisha semaga hakuwa Mbunge kwa kura za KICHANGANI kule kwetu! hivyo barabara hato ipeleka kule sijui walio mpigia kura walivutiwa na nini kwake!mimi sijui
 
Mbona sehemu zingine hawaji,waje hata biafra jamani kila siku pande hizo tu,wengine hamtutendei haki kabisa,njooni na kinondoni basi.

nyie biafra uwanja wenu mnapaki magari, mnauza vitanda na sasa mnajenga gorofa. atasimama wapi?. mia
 
Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.

Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.

Endelea kuota tuu ndoto za mchana..mabadiliko hayaji kama mvua...mabadiliko huja pole pole...sasa wewe endelea kuota tuu...
 
Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa kesho Jumamosi anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara Dar es Salaam katika uwanja maarufu wa Kampala ulioko Gongolamboto.

Katibu wa Jimbo la Ukonga Juma Mwaipopo akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari amesema Dr Slaa ataunguruma katika viwanja hivyo ikiwa ni maalum kwa ajili ya kukusanya maoni ya Katiba mpya.

Dr Slaa anatarajiwa kuambatana na Mjumbe wa Kamati Kuu Mabere Marando,Wabunge John Mnyika na Halima Mdee,Mkurugenzi wa sera na utafiti Mwita Waitara pamoja na viongozi mbalimbali walioko makao makuu.

Kwa siku za karibuni Chadema imekuwa ikipata ufuasi mkubwa jimboni Ukonga na hii ni kutokana na jimbo hilo kuwa kama vile halina mbunge kutokana na matatizo makubwa yaliyopo jimboni humo.

Kumekuwa na ubovu mkubwa wa miundombinu jimboni Ukonga hasa kipindi cha mvua ambapo nauli ya daladala imekuwa ikifika hadi shilingi 1000/-

Tayari kuna shamrashamra nyingi kusubiri ujio huo wa Dr Slaa ambaye ana mvuto wa kipekee nchini.

Babu hana mvuto wowote ameshachuja kisiasa bora atafute shughuli nyengine.Dar inawenyewe wakina Lyatonga na Mtikila enzi hizo wlisukumwa mpaka magari yao compare na huyu mzee uone.Hajaweza kushawishi wala kukubalika Dar es salaam mjini.
 
Ahsante sana kamanda Molemo kwa taarifa hii.
Mkutano wa Dkt. Slaa uwanja wa Kampala utaanza saa 10:00 alasiri. Wananchi wote wakazi wa jimbo la Ukonga cila kujali itikadi zao mnakaribishwa kutoa maoni yenu juu ya rasimu ya katiba mpya ya 2013!
Chadema Yatosha!
Suala la itikadi lazima liwepo usitake kuhadaa wananchi wacha Chadema wachache toka nje ya Ukonga waje.Na usisahau kuleta picha kama zile za Iramba.
 
Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.

Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.
Like avatar like brain.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom