WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
Man, Chadema wanakusanya maoni ya watanzania kuhusu rasmi ya katiba mpya, tuwaunge mkono kwa hilo. Baada ya hapo, tuanze kutofautiana kwenye vitu vingine kama Big Results Now (BRN) na Movements For Change (M4C). Lakini kwa hili, tuwe pamoja ili tupate katiba nzuriii yenye kukidhi yale wengi wetu tunataka kuona.Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.
Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.