Dr Slaa kutikisa Arusha Jumamosi

Mkuu Ritz
Hivi watu wa Arusha hawana shughuli za kufanya za maendeleo? Haya maandamano na mikutano isiyokwisha taifa wanalijenga wakati gani?kweli tuliimaanisha Arusha iwe mji wa mikutano kwa kujenga AICC hatukumaanisha uwe mji wa mikutano hii ya kiwendawazimu isiyokwisha au ndio tuseme wana vichwa vigumu kuelewa?
Chama
Gongo la mboto DSM

Ni kweli aisee maana ulipofanyika mkutano wa cuf watu wa arusha waliendelea na shughuli zao kama kawaida waliohudhuria walikuwa ni wageni walioletwa na mabasi kutoka dar n.k lakini kwa mkutano wa cdm lazima nyomi la arusha litinge kunako shughuli.
 
Tafuta shughuli mkuu kwenye hiyo mikutano kuna jipya ambalo hulijui?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Jamani sisi tulio nje ya Arusha chama hakijatufanyia mpango wowote wa usafiri wa kufika huko?
Hiki si chama cha Magamba wala CUF kusafirisha watu kwenye mikutano,kama kweli unakipenda CDM basi hautosubiri kusafirishwa bali utakwenda mwenyewe kama wengine wanavyofanya.
 
huyu mzee anapenda utukufu, lema si yupo raisi wa arusha!
jk membe balozi wetu usa na balozi wa un na watu kabao wa magamba wapo new york tena kila mtu kasafiri na kivyake hilo unasemaje sio kuchezea pesa

pesa ya mzee wetu slaa kukaa ar hailingani na posho ya siku atakazo kaa membe usa kwa kwenda kuomba...ukijumlisha na za wote ni balaaaaaaaaaaaa

Ni kweli ni maendeleo kwa wachache wanaolipwa posho kuhudhuria

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu Chama unachonifurahisha unajaza sana post zangu hata usiku hulali.Good and Keep it up.Kila Thread yangu inakuwa Live kwa muda mrefu kwa sababu wewe unaziweka Live.
 
Ndoto sana mchana labda kama unaamanisha kuindoa CUF Arusha

Chama
Gongo la mboto DSM

Ni kweli chama ni ndoto kuiondoa CCM madarakani!

In life you must have dreams in order to make it!!

Kama ndoto ya kuiondoa CCM ARUMERU ilivyotimia, hii nayo itatimia. Tayari ndoto ya kuiondoa CCM Ubungo, Jijini Mwanza, Iringa mjini, Jijini Arusha na kwingineko ilishatimia; hii nayo itatimia! WE ARE DREAMING BIG!!!

I have a dream..... Martin Luther King
 
Ni kweli chama ni ndoto kuiondoa CCM madarakani!

In life you must have dreams in order to make it!!

Kama ndoto ya kuiondoa CCM ARUMERU ilivyotimia, hii nayo nayo itatimia. Tayari ndoto ya kuiondoa CCM Ubungo, Jijini Mwanza, Iringa mjini, Jijini Arusha na kwingineko ilivyotimia; hii nayo itatimia! WE ARE DREAMING BIG!!!

I have a dream..... Martin Luther King

He dreamed that his four children will one day live in a nation where they will not be charged by their color of their skin, but by the content of their character!
several years later after his death, the dreams came true!
 
Ni kweli ni maendeleo kwa wachache wanaolipwa posho kuhudhuria

Chama
Gongo la mboto DSM
Lakini posho yao haiwezi kuwa kubwa kama ya wale walioko Canada,kutafuta pesa ya akina Riz
kuongeza Petrol station,huko yuko balozi hata Membe angeenda
.
 
Vipi Josephine,Junior na House girl nao watakuwepo pia katika msafara?
 
Hizi ni salamu zangu kwako mjomba! kesho kama kawa, camera full charge!
Pamoja sana Mkuu naona kamanda Mungi kapigwa ban sijui ni hujuma baada ya kazi nzuri aliyofanya juzi kwenye kesi ya Lema...Huyo Mods alie mfungia atakuwa CCM tu...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chama unachonifurahisha unajaza sana post zangu hata usiku hulali.Good and Keep it up.Kila Thread yangu inakuwa Live kwa muda mrefu kwa sababu wewe unaziweka Live.
Sasa mkuu unamshitua mjinga...
 
Asante kwa taarifa. Kamanda Crushwiser Do the needful plz!:poa

Ni Crashwise sio Crushwise namuaminia kwa coverage yake na picha safi tunakutegemea kamanda kuturushia picha kali kama kawaida yako!!
 
Ni Crashwise sio Crushwise namuaminia kwa coverage yake na picha safi tunakutegemea kamanda kuturushia picha kali kama kawaida yako!!

Noted with Thanks kamanda wangu.......alisema atakuwasafari ila kuna makamanda watakacover tukio kwa ufasaha mkuu:poa
 
Naona mamods wameehuka sasa hivi ni ban kwa kwenda mbele hata unajiuliza wamepata wapi uoga hakuna ile a place where we dare to speak openly ha ha mimi mwenyewe hapa niko kwenye ban bila sababu aise
 
Back
Top Bottom