Mkuu Chama unachonifurahisha unajaza sana post zangu hata usiku hulali.Good and Keep it up.Kila Thread yangu inakuwa Live kwa muda mrefu kwa sababu wewe unaziweka Live.
Mkuu molemo tunapeana mawazo na makmanda wengine bado hawajaelewa dhana nzima ya m4c
Chama
Gongo la mboto DSM