Dr Slaa kutikisa Arusha Jumamosi

mkuu ritz
hivi watu wa arusha hawana shughuli za kufanya za maendeleo? Haya maandamano na mikutano isiyokwisha taifa wanalijenga wakati gani?kweli tuliimaanisha arusha iwe mji wa mikutano kwa kujenga aicc hatukumaanisha uwe mji wa mikutano hii ya kiwendawazimu isiyokwisha au ndio tuseme wana vichwa vigumu kuelewa?
Chama
gongo la mboto dsm
kama una hasira, kamata mop kadeki bahari! Ebo!
 
Tena uendawazimu mkubwa udiwani hata katibu wa wilaya angeiweza hiyo kazi
Chama
Gongo la mboto DSM
safari anazoenda m.k.were nje ya nchi hata naibu waziri nyingine angwakilisha acha waziri mkuu,..huyu bwana kwa ushamba wa ndege ni nouma!!!!!huko america alipo akisikia jina la slaa anapoteza appetite ya burger maana anajua rais wake anakusanya umati
 
Hayo ni mawazo yako sio ya watu wa Arusha. Haji Arusha kuendesha ibada, anakuja kwa mambo ya kisiasa. kwenye siasa kwa hayo uliyoyataja hapo hakuna msafi, hata wewe jichunguze vizuri.

Naunga mkono hoja anakuja kuwatoa tongotongo wadanganyika waone manyan'gau yanavyopora raslimali za nchi huku umaskini na ukosefu wa ajira ulivyogubika watanzania
 
hapo wamekufikisha wa kunyumba, but Molemo hajasema utafanyikia wapi exactly.

yeuwomii....ni nini mae kujificha hivyo...? basi uje hata mkutanoni tuonane ndaoo....sio vizuri eti.....
 
Makamanda wetu wote chini ya M4C juhudi zenu kwa kila kitongoji katika kila kaya hivi sasa HADI RAHA!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wakati mabeki wengi walioko ndani ya chama hicho na hata wale wengine wengi zaidi waliojificha ndani ya hivi vyama vya 'upinzani ghiliba' wanavyoendelea kumkaba bila mafanikio mfungaji bora wa CHADEMA kwa misimu yote mfululizo,Mhe Dkt Slaa tu machoni mwao, hapo ndipo makamanda wetu lukuki wasioku na majina sana masikioni mwao Wana-CCM hufanya MASHAMBULIZI YA KUFA MTU kila pembe ya nchi.

Mabadiliko mbeeeeeeeeeeeeeeeleee kama tai bila kugeuka nyuma hata kwa theluthe moja tu.
 
Kuna Ucaguzi wa Udiwani, hivyo soma vizuri anakuja kufungua Kampeni.
Usiongee kama wale waliokuja na watu kujaza ukimbi
 
Natanguliza salaamu za rambirambi kwa yule ambaye ni zamu yake. kwa yeyote ambaye siku hiyo ndiyo zamu yake, basi RIP. Tumezoea katika kila mkutano wa chama hicho, mmoja hutangulia mbele za haki. Kama huyo anayeitwa raisi kivuli ana nia njema na watu anaodai ni wapiga kura wake, basi abuni njia nyingine, na siyo kuangamiza watu wasio na hatia.
 
Natanguliza salaamu za rambirambi kwa yule ambaye ni zamu yake. kwa yeyote ambaye siku hiyo ndiyo zamu yake, basi RIP. Tumezoea katika kila mkutano wa chama hicho, mmoja hutangulia mbele za haki. Kama huyo anayeitwa raisi kivuli ana nia njema na watu anaodai ni wapiga kura wake, basi abuni njia nyingine, na siyo kuangamiza watu wasio na hatia.
sawa mzee wa vitu vyenye nja kali
 
Jamani sisi tulio nje ya Arusha chama hakijatufanyia mpango wowote wa usafiri wa kufika huko?

kwa kuwa nia unayo.....na sababu unayo.....kuliko ukose huu mkutano.....binafsi....nakutumia nauli.....sema upo wapi....
 
weraaaa weraaa....ngoja nikae mkao wa kutikisika.......
karibu sana kamanda.....tunakusubiri kwa hamu.....
wewe ndio Rais wetu tunaekutambua.......

Preta, kuna watu humu matumbo yanaanza kuwauma......!
 
Tena uendawazimu mkubwa udiwani hata katibu wa wilaya angeiweza hiyo kazi
Chama
Gongo la mboto DSM

Kila mtu ana mtindo wake wa kufanya siasa, mbona mnakosa pozi mkisikia dr atafanya hili au lile?
 
Mkuu Ritz
Hivi watu wa Arusha hawana shughuli za kufanya za maendeleo? Haya maandamano na mikutano isiyokwisha taifa wanalijenga wakati gani?kweli tuliimaanisha Arusha iwe mji wa mikutano kwa kujenga AICC hatukumaanisha uwe mji wa mikutano hii ya kiwendawazimu isiyokwisha au ndio tuseme wana vichwa vigumu kuelewa?
Chama
Gongo la mboto DSM

Umeonyesha ukomavu wa kufikiri kwa kupiga mbizi! Uchaguzi wa madiwani nao umeitishwa ili Mikutano ya AICC isifanyike?

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
  • Thanks
Reactions: Wit
Umeonyesha ukomavu wa kufikiri kwa kupiga mbizi! Uchaguzi wa madiwani nao umeitishwa ili Mikutano ya AICC isifanyike?

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

Nashangaa kitufe cha "like" kimepotea katika mazingira ya kutatanisha. Lakini chukua hiyo LIKE!
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom