Dr Slaa kutikisa Arusha Jumamosi

Dr Slaa kutikisa Arusha Jumamosi

Molemo jamani kila siku arusha???? aje na huku Lukuledi tumsikie "live"
 
Last edited by a moderator:
Ninategemea nitakuwa Dar lakini wako makanda wengi sana Arusha kama Mungi , Filipo, Preta.......

Mkuu wangu Crashwise, kwa hiyo ya Jumamosi sina sababu ya kuomba ED, nitakuwakilisha vema sana, ila mambo ya mapicha tutakumiss sana. Ila usijali, kwa kuwa ni Mkutano wa Rais wetu Mpendwa, Dr wa ukweli utazipata kaka!
 
Last edited by a moderator:
yeuwomii....ni nini mae kujificha hivyo...? basi uje hata mkutanoni tuonane ndaoo....sio vizuri eti.....
sasa meku hao kafu mlishidwa kuwatoa nduki na mayowe,uwiiii uwiiii!
 
Jamani aksanteni kwa taharifa. Wana arusha msituangushe dr slaa ndo baba wa taifa mtarajiwa. Mumpe support dr uyu ni kichwa bana muadilifu sana uyu dr. Tuwaprove awa mashoga ccm na mkewe cuf kuwa arusha amdanganyiki.. Peopleeessss powerrrr
 
Huyo ni second Baba Wataifa....
 
Mkuu chama,
Tatizo kubwa la vijana wa Arusha hawana ajira ndio maana kila kukicha wao na maandamano ya Chadema.

Unadhani wangekuwa wamejikita kwenye ajira zao binafsi viwandani au kwenye kilimo kwanza wangekuwa wanaangaika na mikutano isiyoisha pamoja na maandamano ni mradi wa kina Lema na Dr Slaa kugawana posho.

Chadema kwa mwaka wananatumia zaidi ya milioni 800 kwa maandamano tu.

Pale serikali iliyoko madarakani imeua General Tyre hivi hivi na bado Raisi aliye madarakani aliahidi kutoa ajira lakini kama unavyosema kule arusha hakuna ajira. Mimi ningekuwa wewe nisingewalaumu wasio na ajira bali wale wanaoendesha nchi kwa sera mbovu za ubinafsishaji na ahadi hewa zisizotekelezeka. Kuandamana ndiyo tumaini lao pekee lililobaki. Wataishije kwa kutegemea kiwanda kimoja cha kutengeneza vyandarua vya msaada. Waache waandamane.
 
Mkuu chama,
Tatizo kubwa la vijana wa Arusha hawana ajira ndio maana kila kukicha wao na maandamano ya Chadema.

Unadhani wangekuwa wamejikita kwenye ajira zao binafsi viwandani au kwenye kilimo kwanza wangekuwa wanaangaika na mikutano isiyoisha pamoja na maandamano ni mradi wa kina Lema na Dr Slaa kugawana posho.

Chadema kwa mwaka wananatumia zaidi ya milioni 800 kwa maandamano tu.

Katika vuguvugu la mageuzi kama hili hao vijana wasiokuwa na ajira ni sehemu ama chachu kubwa ya mchakato wa mabadiliko (kumbuka every system digs its own grave - hujajiuliza kwa nini vijana wengi hawana ajira!). Hicho wanachokifanya ni haki na halali kabisa.
Kuhusu CDM kutumia zaidi ya milioni kwa maandamano tu, ninafikiri kwamba kama hayo maandamano yanaweza kuwatoa wananchi katika dimbwi la ujinga wa kutojua haki zao basi hiyo ni money well spent (tena nikidogo sana) kuliko mabilioni yanayotafunwa na kakundi kadogo ka mchwa wetu. Ndugu Ritz yaunge mkono maandamano maana saa ya ukombozi iko karibu na kila Mbongolese (awe mchwa au binadamu) atanufaika na matunda ya mageuzi.
 
Na CHADEMA wakienda mikutanoni wanachanga pesa za kuisupport M4C, vuguvugu ambalo linafanya kazi ya kuhakikisha kwamba 2015 CCM ambayo imeshindwa kulete maendeleo yanayolingana na umri wake madarakani, inaondolewa!

Ndoto sana mchana labda kama unaamanisha kuindoa CUF Arusha

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Sana tu padri slaa,mpaka kanisa lichukue nchi,mujjahedeen tuongeze kasi ya kucheza karate misikitini bila hivyo 2015 tutapigwa viboko ndani ya misikiti yetu.By sheikh ponda issa ponda(Darasa la saba kwa mbinde 1996)
 
Pipoz za kaskazini au vp?kuingia ikulu kazi anko,pale ni mahali patakatifu siyo fremu za maduka wala mabanda ya kitimoto
 
Tena uendawazimu mkubwa udiwani hata katibu wa wilaya angeiweza hiyo kazi
Chama
Gongo la mboto DSM

Mbona vasco dagama anawaingilia akina membe kazini? Rais slaa huwa Karibu na wapiga Kura wake ni jukumu lake ata ubalozi wa Nyumba kumi ni Sawa kufungua na kuhudhuria unawashwa nini APo?
 
Ritz. Hata mr white hair alisema vijana ni bomu kwa serikali linalosubiri kulipuka mkampuuza ndio faida za kuweka headphone kwenye mambo ya msingi.

Mkuu zeze unadhani ritz haungi mkono? Anaunga sana ila sio apa Jf waajiri wake wanakagua kazi yake daily so wakiona watamuita nuhaini, ritz anakubali moyoni sema usoni analinda maslahi aka payroll yake.

By Ritz
Mkuu chama,
Tatizo kubwa la vijana wa Arusha hawana ajira ndio maana kila kukicha wao na maandamano ya Chadema.

Unadhani wangekuwa wamejikita kwenye ajira zao binafsi viwandani au kwenye kilimo kwanza wangekuwa wanaangaika na mikutano isiyoisha pamoja na maandamano ni mradi wa kina Lema na Dr Slaa kugawana posho.

Chadema kwa mwaka wananatumia zaidi ya milioni 800 kwa maandamano tu.

Katika vuguvugu la mageuzi kama hili hao vijana wasiokuwa na ajira ni sehemu ama chachu kubwa ya mchakato wa mabadiliko (kumbuka every system digs its own grave - hujajiuliza kwa nini vijana wengi hawana ajira!). Hicho wanachokifanya ni haki na halali kabisa.
Kuhusu CDM kutumia zaidi ya milioni kwa maandamano tu, ninafikiri kwamba kama hayo maandamano yanaweza kuwatoa wananchi katika dimbwi la ujinga wa kutojua haki zao basi hiyo ni money well spent (tena nikidogo sana) kuliko mabilioni yanayotafunwa na kakundi kadogo ka mchwa wetu. Ndugu Ritz yaunge mkono maandamano maana saa ya ukombozi iko karibu na kila Mbongolese (awe mchwa au binadamu) atanufaika na matunda ya mageuzi.
 
Jamani sisi tulio nje ya Arusha chama hakijatufanyia mpango wowote wa usafiri wa kufika huko?

Hiyo ni kazi ya CCM na CUF lakini chama makini unakifuata mwenyewe kwa hiari yako! Kaza buti hata kwa miguu we nenda tu.
 
Mkuu Ritz
Hivi watu wa Arusha hawana shughuli za kufanya za maendeleo? Haya maandamano na mikutano isiyokwisha taifa wanalijenga wakati gani?kweli tuliimaanisha Arusha iwe mji wa mikutano kwa kujenga AICC hatukumaanisha uwe mji wa mikutano hii ya kiwendawazimu isiyokwisha au ndio tuseme wana vichwa vigumu kuelewa?
Chama
Gongo la mboto DSM
Chama, wahenga wanasema........ "Ni heri kukaa kimya bila kusema chochote, na kufikiriwa kuwa pengine u-mjinga kuliko kuamua kuongea katika namna ambayo itaondoa shaka yoyote iliyokuwepo, na hivyo kuthibitisha kuwa u-mjinga".
 
Mbona vasco dagama anawaingilia akina membe kazini? Rais slaa huwa Karibu na wapiga Kura wake ni jukumu lake ata ubalozi wa Nyumba kumi ni Sawa kufungua na kuhudhuria unawashwa nini APo?

ahaa haa kata kweli kazi napita tu!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Chama, wahenga wanasema........ "Ni heri kukaa kimya bila kusema chochote, na kufikiriwa kuwa pengine u-mjinga kuliko kuamua kuongea katika namna ambayo itaondoa shaka yoyote iliyokuwepo, na hivyo kuthibitisha kuwa u-mjinga".

Mkuu hii ni karne ya21st mambo mengi wahenga walisema lakini kadri zinavyokwenda the world is proven them wrong walisema kinyozi hajinyoi siku mmeletewa mashine hata kwenye kiza unajinyoa; mpanda ngazi hushuka siku hizi hawakusubiri ushuke wanakufuata huko huko juu kwa hiyo mambo yako ya wahenga kaa nayo hapa tunaongea reality cha msingi mpaka umeamua kuacha shughuli zako na kujibu ni wazi kilichoandikwa hakikuandikwa na mtu mjinga vinginevyo wewe utakuwa ni mjinga zaidi kujibizana na mtu mjinga

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama,
Tatizo kubwa la vijana wa Arusha hawana ajira ndio maana kila kukicha wao na maandamano ya Chadema.

Unadhani wangekuwa wamejikita kwenye ajira zao binafsi viwandani au kwenye kilimo kwanza wangekuwa wanaangaika na mikutano isiyoisha pamoja na maandamano ni mradi wa kina Lema na Dr Slaa kugawana posho.

Chadema kwa mwaka wananatumia zaidi ya milioni 800 kwa maandamano tu.

Mkuu Ritz nimekupata nilikuwa najiuliza jibu sipati; sasa hizi mil.800 si wangeonyesha mfano badala ya maandamano wangeanzisha vikundi vya uchumi kwa makamanda ili kuinua hali zao maisha?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom