Dr. Slaa kumnadi Magufuli Jumatano

Bavichwa wakimtaja slaa wanatoka na povu!!haa haa nipo huku porini tunazitafuta kura bhana
 

Sasa mzee silaa anauwezo wa kumshawishi nani katika kipindi hiki?mjiandae kupiga push up jukuani sio kushawishimtu.mnajidanganya mchana kweupe.
 
Kwa hali ya sasahivi mvuto wa kisiasa wa slaa Ni mdogo kuliko wa hashim rungwe au mama Anna mgwira kwahivyo hakutakuwa na mtikisiko wowote wa kisiasa akipanda jukwaani.
 

Kwahiyo mmfyata mkia mkatoa hadi majina kwenye website ya chama na siku hizi hakuna hata anayeongelea ufisadi tena huko chadema ''kweli chama kimeuzwa''
 

Hata yule jamaa anayejiita Kubenea nae sku hizi haandiki tena habari za kumchafua lower sir nae kafyata mkia?

Kazi mnayo.
 
apande jukwaan na amtetee ila ni huyuhuyu slaa aliyesema akiwa rais atamburuza magufuli mahakamani kwa kugawa nyumba za serikali kwa mahawara
 
dr slaa ametangaza hadharani kuwa ameachanga na siasa,sasa jukwaa la siasa anashiriki la nini tena?
 
Hahaa ajiandae kuzomewa sana, nazani anashauliwa vibaya sana na Josephine,
Ukawa bwana! Juzi juzi hapa mlikuwa mnamuona Dk.Slaa ni kichwa cha trein/garimoshi, leo hii mnamugehuzia kibao kwamba Dk.huyo wa uhakika si lolote si chochote na matusi juu, sasa kwa hulka zenu hizi za kukosa msimamo mnabadirika badirika kama monsoon winds, hivi mna mategemeo ya kupigiwa kura na Watanzania ambao hawasukumwi na saikolojia ya fuata MKUMBO ambayo kisayansi ni asili mia 30% tu ya wapiga kura wote?

Wenzenu walisha fanya homework siku nyingi tu,ndio maana wametulia kama maji kwenye mtungi.
 
Na atokee tu. Anafikiri bado kuna watu watamsikiliza tena. ameshachuja na kupotea kabisa.
 
Huenda ndipo atakapoiua zaidi ccm kwa Wananchi for the Tanzanians of today are not utopians any more.
 
mtu wa ovyo kabisa aliewahi kutokea ktk siasa za nchi hii

Lisa
Umenena vyema, Dr mihogo ni mtu wa hovyo kabisa. Ni vema angeemua kubaki huku huko Marekani. Huyo ni wakuzomea sana kila atakapotokea hadharani
 
Umeongea neno .baadhi ya watu hawategemei mawazo yao mpaka washikiliwe
 
Endeleeni kuota kufumba na kufumbua Jaji Lubuva anamtangaza 1st Runner 32% EL na Winner JPM 66% mtatafutana, vijiweni Jua litakuwa kali? Itakuwa kama gemu ya Mau U.........
 
Tukiweza kubadili chama tawala kikaingia chama kingine tutagundua mengi maovu na tutasonga mbele
 
akili ya kuambiwa changanya na yako
 
Mbona huzungumzi kuhusu Star tv.Uhuru TBC !tena baadhi ya vyombo hivyo walituaminisha ni vya uma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…