Dr Slaa kulakiwa Kigoma kwa Maandamano.

Dr Slaa kulakiwa Kigoma kwa Maandamano.

Status
Not open for further replies.
Mhnnnn.... mbona unamakubwa wewe. Unayedhani cdm ni lelemama. Cdm ndio jiwe kuu la pembeni. Pamoja wote wana cdm wanaokubali mavadiliko.
 
Wapika matamko ya kumtetea tapeli wa kisiasa Zitto waendelee kutoa, sasa tumeamua kwenda mwandiga kabisa

Mkuu Yericko hili chama dume CDM ni kiboko kuonesha kuwa ni chama dume ziara inaenda kijijini kwa kina zitto kabisa ....cheza na cdm ww
 
Usiwe mwoga,sababu za kufukuzwa ziko wazi kabisa nazo ni usaliti!!! CDM wote wanajua isipokuwa CCM TU Anachofanya Slaa ni kujenga chama
Naona babu atachoka kabla hata ya huo uchaguzi wenyewe 2015 kwa safari, manake badala ya M4C sasa ni safari za kuzunguka nchi nzima kujieleza kwa nini wamemfukuza Zitto na Kitila
 
Naona babu atachoka kabla hata ya huo uchaguzi wenyewe 2015 kwa safari, manake badala ya M4C sasa ni safari za kuzunguka nchi nzima kujieleza kwa nini wamemfukuza Zitto na Kitila
Mbeba maboxi, we vipi?
 
Huyo Slaa asiende kigoma wala mahali popote kwa sasa kwa kuwa ataingia kwenye mtego; picha kubwa ya harakati zote hizi tangu waraka wa siri wa zzk hadi matukio yanayoendelea sasa watu kutafuna pesa na kutoa matamko ya hovyohovyo ni ili kuonyesha chadema kuna mfarakano mkubwa na hata kesho au keshokutwa wakiuwawa viongozi wa juu wa chama itaonekana ni chadema tu wanashughulikiana. Mimi naona hili kama ndio mkakati wenyewe ingawa wenye kuupanga hawajui tu kwamba hiyo ni kuivuruga amani ya nchi na kuiingiza katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Wao ofcourse wana pesa watakimbilia nje lakini je bado watabakia kuwa watawala? hebu tujaribu kuwa na upeo jamani.
CCM ndio wanaochafua amani ya nchi hiii
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA mkoa wa Kigoma kinaandaa mapokezi makubwa siku ya Alhamisi tarehe 8.12 wakati Katibu Mkuu wake Dr Wilbroad Slaa atakapowasili kwa ziara ya siku nane.

Katika manispaa ya hapa Kigoma matawi mbalimbali yameanza maandalizi ya kumpokea kiongozi huyo baada ya kupokea taarifa rasmi za ujio wa kiongozi huyo.

Viongozi kadhaa wa matawi wakizungumza wamesema wanataka kumpokea Dr Slaa kwa maandamano makubwa kama ishara ya imani ya wanachama wa Chadema Kigoma kwa uongozi wa chama chao.

Pia wamesema lengo lingine la maandamano hayo ni kuonyesha kwamba wanaheshimu maamuzi ya Kamati Kuu na kwamba wanaKigoma wanakipenda chama na siyo watu binafsi.

Dr Slaa anaanza ziara ya siku 8 mkoani Kigoma kuanzia tarehe 5.12 hadi tarehe 13.12 ambapo anatarajiwa kutembelea majimbo yote.

Mzee huyu anafuata mauti kigoma.....!
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO TAMKO LA KIKAO CHA MKOA – CHADEMA, PAMOJA NA BAADHI YA VIONGOZI WA MAJIMBO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kikao kilichofanyika ofisi ya Mkoa
Ujiji kilibeba AGENDA ya Kujadili
na Kuboresha ujio wa ziara ya
Katibu Mkuu (T) Dr. P. Slaa
Mkoani Kigoma 5/12/2013
- Ambapo atatembelea majimbo yote 8 ya mkoa Kigoma kwa
mikutano si chini ya miwili kwa
kila jimbo na baadae mkutano wa
mwisho, jioni Mkutano ufanyike
makao Makuu ya Jimbo. Lengo
likiwa kuangalia uhai wa chama.- Mambo makuu na muhimu
yalizingatiwa- Usalama kwa
Kiongozi huyo kufutia sakata la
Maamuzi ya kamati kuu dhidi ya
Mhe. Zitto na mapokeo ya
wanachama wetu. - Kutoa taarifa rasmi kwa majimbo
na kupokea hali ilivyo au
inavyoonekana katika maeneo
yao.- Baada ya Tafakuri ya kina
na ya Hekima na Busara pevu
katika ujio huo iliazimiwa ifuatavyo:-
i. Mkoa uliomba Taifa lihairishe na
kusogeza mbele tarehe ya ziara
hiyo muhimu kwa mkoa wetu, ili
Mkoa kama ngazi ya chini ya
Kanda na Taifa uwezekwenda katika majimbo hayo na
kuwaelimisha wanachama na
wapenzi wetu juu ya kuheshimu
na kuwa na nidhamu na maamuzi
yatolewayo na ngazi ya juu yetu.
Hata kama yanamaumivu ….katiba yetu ifuatwe katika
kutatua tatizo – Maoni ya Wengi
Mkoani na Viongozi wa Chama ni
kuudhiwa na maamuzi ya k/kuu
ambayo dhahiri yalilenga kumilika
Zitto – Kisiasa. ii. Mkoa ulitishika na vitisho baada
ya kupokea taarifa toka kwa
baadhi ya viongozi wa majimbo ya
mkoa kwa hali ya usalama si nzuri
kwa ujio wa kiongozi wetu Dr. Slaa
kufika Kigoma kwa kipindi hiki wakati wanachama na wapenzi
wakitafakari na kwa kauli tofauti
zisizolenga kuwepo usalama.
iii. Kwa hekima ya kikao
kilijiridhisha kwa kupata maoni
toka katika majimbo 6 kuwa hali ni mbaya kabisa wakishauri Katibu
mkuu asogeze mbele ziara yake
kupisha mtafaruku huu na kwa
usalama wa Chadema na viongozi
wake Kitaifa.
iv. Hivyo Mkoa kupitia kikao hicho kuwa ni bora kuzuia kuliko kutibu,
tayari sintofahamu zimeonekana,
viongozi na hasa wa majimbo
kutofautiana mitazamo ni HATARI
katika hali hiyo. Mkoa ulijiridhisha
usalama hautakuwepo kwa ujumla hata kama baadhi ya majimbo
yakisema wao wapo salama tu.
v. HOFU/TAHADHARI - Endapo
hali haitokuwa salama Mungu
apishe mbali.
Mkoa hautokwepa lawama na Uzembe wa makusudi kwani
wajibu wa ngazi ya chini ni kutoa
ushauri kwa ngazi ya juu. Hivyo
mkoa unatoa ushauri kwa Makao
Makuu (T) Chadema kusogeza
mbele ziara hiyo hadi hali itulie na mkoa upite majimboni kujiridhisha
na usalama kwa viongozi wake na
hasa wa Taifa. LENGO KUU: NI KUHAKIKISHA CHADEMA TUNAPITA SALAMA
KATIKA WAKATI HUU MGUMU
KWETU – CHADEMA
Asanteni ALHAJ. JAFARI KASISIKO
MSAFIRI WAMALWA
M/KITI MKOA 01/DEC.2013
KATIBU MKOA
 
poa sana.
 
Vigezo gani umetumia maana watu wa Kigoma ni ndoto kumpokea Dr. Slaa watakuwa wamejitukana maana Dr.Slaa na kundi lake la wala ruzuku za CDM ni maadui wa wananchi wa Kigoma na ndio maana hata vijana wao waliowatuma kuja kuwachunguza wana Kigoma na kujenga hoja za kuhalalisha maamuzi ya kamati kuu kumvua madaraka Mheshimiwa Zitto wanazomewa kila eneo waendalo na ndio maana hawadhubutu kwenda Ujiji.

Kibuche...wewe umetumia kigezo gani, kwamba watu wa kigoma ni ndoto kumpokea raisi wao mtarajiwa...acha ujionee mwenyewe....Dr. ana philosophy ya juu sana..haendi kigoma kama majaribio, he knows what he is doing na utaona matokeo yake.ZZK hataamini macho wala masikio yake kwa yatakayotokea huko kigoma, kwaheri yake.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA mkoa wa Kigoma kinaandaa mapokezi makubwa siku ya Alhamisi tarehe 8.12 wakati Katibu Mkuu wake Dr Wilbroad Slaa atakapowasili kwa ziara ya siku nane.

Katika manispaa ya hapa Kigoma matawi mbalimbali yameanza maandalizi ya kumpokea kiongozi huyo baada ya kupokea taarifa rasmi za ujio wa kiongozi huyo.

Viongozi kadhaa wa matawi wakizungumza wamesema wanataka kumpokea Dr Slaa kwa maandamano makubwa kama ishara ya imani ya wanachama wa Chadema Kigoma kwa uongozi wa chama chao.

Pia wamesema lengo lingine la maandamano hayo ni kuonyesha kwamba wanaheshimu maamuzi ya Kamati Kuu na kwamba wanaKigoma wanakipenda chama na siyo watu binafsi.

Dr Slaa anaanza ziara ya siku 8 mkoani Kigoma kuanzia tarehe 5.12 hadi tarehe 13.12 ambapo anatarajiwa kutembelea majimbo yote.

Unajua ukiwa mwongo basi na kumbukumbu pia. Cheki mleta uzi alivyojikoroga mara Dr. Slaa atawasili Kigoma tarehe 8.....mara tarehe 5 hadi 13.12.2013. Tarehe ipi ni sahihi ktk uongo wako? Chagua tarehe moja basi aaagh!
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO TAMKO LA KIKAO CHA MKOA – CHADEMA, PAMOJA NA BAADHI YA VIONGOZI WA MAJIMBO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kikao kilichofanyika ofisi ya Mkoa
Ujiji kilibeba AGENDA ya Kujadili
na Kuboresha ujio wa ziara ya
Katibu Mkuu (T) Dr. P. Slaa
Mkoani Kigoma 5/12/2013
- Ambapo atatembelea majimbo yote 8 ya mkoa Kigoma kwa
mikutano si chini ya miwili kwa
kila jimbo na baadae mkutano wa
mwisho, jioni Mkutano ufanyike
makao Makuu ya Jimbo. Lengo
likiwa kuangalia uhai wa chama.- Mambo makuu na muhimu
yalizingatiwa- Usalama kwa
Kiongozi huyo kufutia sakata la
Maamuzi ya kamati kuu dhidi ya
Mhe. Zitto na mapokeo ya
wanachama wetu. - Kutoa taarifa rasmi kwa majimbo
na kupokea hali ilivyo au
inavyoonekana katika maeneo
yao.- Baada ya Tafakuri ya kina
na ya Hekima na Busara pevu
katika ujio huo iliazimiwa ifuatavyo:-
i. Mkoa uliomba Taifa lihairishe na
kusogeza mbele tarehe ya ziara
hiyo muhimu kwa mkoa wetu, ili
Mkoa kama ngazi ya chini ya
Kanda na Taifa uwezekwenda katika majimbo hayo na
kuwaelimisha wanachama na
wapenzi wetu juu ya kuheshimu
na kuwa na nidhamu na maamuzi
yatolewayo na ngazi ya juu yetu.
Hata kama yanamaumivu ….katiba yetu ifuatwe katika
kutatua tatizo – Maoni ya Wengi
Mkoani na Viongozi wa Chama ni
kuudhiwa na maamuzi ya k/kuu
ambayo dhahiri yalilenga kumilika
Zitto – Kisiasa. ii. Mkoa ulitishika na vitisho baada
ya kupokea taarifa toka kwa
baadhi ya viongozi wa majimbo ya
mkoa kwa hali ya usalama si nzuri
kwa ujio wa kiongozi wetu Dr. Slaa
kufika Kigoma kwa kipindi hiki wakati wanachama na wapenzi
wakitafakari na kwa kauli tofauti
zisizolenga kuwepo usalama.
iii. Kwa hekima ya kikao
kilijiridhisha kwa kupata maoni
toka katika majimbo 6 kuwa hali ni mbaya kabisa wakishauri Katibu
mkuu asogeze mbele ziara yake
kupisha mtafaruku huu na kwa
usalama wa Chadema na viongozi
wake Kitaifa.
iv. Hivyo Mkoa kupitia kikao hicho kuwa ni bora kuzuia kuliko kutibu,
tayari sintofahamu zimeonekana,
viongozi na hasa wa majimbo
kutofautiana mitazamo ni HATARI
katika hali hiyo. Mkoa ulijiridhisha
usalama hautakuwepo kwa ujumla hata kama baadhi ya majimbo
yakisema wao wapo salama tu.
v. HOFU/TAHADHARI - Endapo
hali haitokuwa salama Mungu
apishe mbali.
Mkoa hautokwepa lawama na Uzembe wa makusudi kwani
wajibu wa ngazi ya chini ni kutoa
ushauri kwa ngazi ya juu. Hivyo
mkoa unatoa ushauri kwa Makao
Makuu (T) Chadema kusogeza
mbele ziara hiyo hadi hali itulie na mkoa upite majimboni kujiridhisha
na usalama kwa viongozi wake na
hasa wa Taifa. LENGO KUU: NI KUHAKIKISHA CHADEMA TUNAPITA SALAMA
KATIKA WAKATI HUU MGUMU
KWETU – CHADEMA
Asanteni ALHAJ. JAFARI KASISIKO
MSAFIRI WAMALWA
M/KITI MKOA 01/DEC.2013
KATIBU MKOA

Hakuna kuwa na hofu Mungu ni mlinzi mkuu binadamu hawawezi lolote
 
nadhan unamchukia peke yako,hyo ziara ni intro tu mziki wenyewe bado,ungana na wanaomtakia kila la kher
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom