Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,423
Slaa kumbe yupo, huyu mzee amepotea kabisa ktk local politics. Naona anaendelea kula pensheni kutoka upande wa pili. Billion 3Dr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.
Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.
Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.
Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.
Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"
Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.
Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.
MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.
Na wenyewe wanachofanyiwa ni halali.Mkuu nchi kwanza vyama baadaye.
UKAWA wanachofanya ni ubatili.
Dr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.
Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.
Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.
Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.
Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"
Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.
Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.
MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.
Yuko wapi huyu MTU? Nilidhani watu wenye elimu watatutoa hola, huyu msomi mwoga, alinunulika kwa kipande cha nnkate kakimbia ati, alitarajia nini?Dr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.
Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.
Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.
Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.
Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"
Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.
Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.
MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.
Du!yeye mbona alikimbia kanisa,akaona aitoshi akakimbia mke pia akaona haitoshi,,akakimbia ccm,akaona haitoshi akakimbia chadema............kilichobaki akae kimyaaa kama mihogo imemuishia aseme.
Well saidDr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.
Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.
Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.
Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.
Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"
Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.
Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.
MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.
Kesho watatoka saa ngapi baada ya sala kuliombea taifa?kwa kuheshimu utu na uelewa wako nimeona niongeze hili, kwamba mchezo wa kugonga meza kusifia wadosi ndio unaopaswa kuitwa mchezo wa kikubwa
Kama Dr Slaa niliulaza CDM baada ya mafisadi kuingia na kupiga kambi.Wewe ukikuwa mmoja wao, umejitoa lini? Aaah kumbe wewe cdm masalia! Huyo slaa ni kati ya wanafiki10 bora duniani na ni mfuasi wa Yuda Isiariot aliyemsaliti Yesu. Dua za uliowasakiti itamchafua daima. Amewafanya wasomi watengwe na kutoaminiwa tena na jamii. Aibu yake na huyo anayemzuzua. Kama kweli kidume arudi ayaseme haya anayotumwa na ccm wenzake apime upepo wa wataka demokrasia utakavyompulizia mbali.
Nafikiri dr slaa alisahau falsafa ya ccm kuwa wakishakutumia kuhujumu upinzani na lengo lao likafanikiwa basi wanaachana naye mara moja na mifano ipo wazi na wana jf wanawakumbuka kina ............... ambao leo hawajulikan walipo. Wao ccm wanaamini ukikubali kusaliti wenzio kwa fedha basi ipo siku utatumika kuwageuzia kibao hivyo dawa ni kukutupa kabisa. Namshauri asirud kwani atapata aibuNi yeye ndo alosababisha watu kuuawa Arusha kwa maandamano ya kijinga eti nchi haitotawalika! Naona laana ya JK juu yake inazidi kumtafuna, kwa sasa hana tena ule umaarufu na heshima alokuwa nayo kutoka kwa wana mageuzi na watanzania kwa ujumla. Aliamini JPM atamkumbuka kwa kujipendekeza sasa imekula kwake.
Pole yakoWewe ni mtoto kifikra umejaa chiki busara zero
ndio nani?(in jotis voice)Dr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.
Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.
Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.
Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.
Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"
Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.
Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.
MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.
Tumekusikia sikio la kuishi kwaheriUKAWA sikio la kufa halisikii cha mhubiri wala muadhi