Dr.Slaa kuitikisa Mbeya mfulurizo kuanzia Chunya leo

Dr.Slaa kuitikisa Mbeya mfulurizo kuanzia Chunya leo

Watu wa mbeya walishamchoka slaa na umbea wake mtu mzima halafu mmbea wala asijisumbua kwenda mbea watamtia miruzi tu.
itakuwa umemchoka wewe mzee! watu bado tunamuhitaji sana mpaka pale Majizi ya EPA yatakapo kuwa yametiwa ndani basi hapo tutatulia
 
Nimefurahishwa na ujio wa Dr Slaa wilayani kyela , sasa ndiyo tunaenda kumaliza kabisa msiba wa ccm ( TUSUMWIKE PAKUJOLA IMINDU ) , wa nyumbani wamenielewa .
 
tANGU UPIGWE CHINI NA DR UNA KISILANI SANA DADA...POLE SANA TAFUTA KAMANDA MWINGINE AMBAE HAJAOA...
Haituhusu, anatafuta ugali wake na josephine, si unajua tena asipokuwa na mkwanjwa lazima josephine amruke,
 
Peoplesss... Pamoja 2tafika na kuipata Tz huru na ya haki!
 
Watu wa mbeya walishamchoka slaa na umbea wake mtu mzima halafu mmbea wala asijisumbua kwenda mbea watamtia miruzi tu.

Toa hoja kwa data,kwa taarifa yako hakuna kiongozi anayekubalika mkoa wa Mbeya na hasa Mbeya jiji kama Dr Slaa!.Uliza tume ya uchaguzi watakuambia JK na Dr Slaa nani aliongoza kwa mkoa wa Mbeya mwaka 2010! Kama Mbeya ingekuwa Nchi mwaka 2010 Dk Slaa angeshinda Urais Pale! Uliza kilichofanya kupigwa marufuku kwa matokeo ya urais kutangazwa vituoni ni nin
 
nimetoka chunya naona bendera za chadema maeneo ya mbugani,kiwanja,chalangwa lwanjilo kawetele zimepamba njia kuelekea chunya mjini.
 
nimetoka chunya naona bendera za chadema maeneo ya mbugani,kiwanja,chalangwa lwanjilo kawetele zimepamba njia kuelekea chunya mjini.

Nimepigiws simu nasikia Chunya watu wamehamasika saana kutaka kumsikiliza Dr Slaa...!!
 
Duu kweli dt slaa ni tishio kwa magamba, ona wanavyo wewe seka duu
 
Tuliwangoja sana akina Mbowe waje Kyela mwezi uliopita wakaishia Tukuyu kuna uhakika gani kuwa Silaa atafika huku nihakikishieni maana nataka nijipange kumsikliza dr wangu wa ukweli.
 
Simiyu yetu acha kuropoka. Magamba wenzio mbarali wamechanganyikiwa na ujio wa dk Slaa. Wanahangaika kuweka pingamizi wakisingizia hakuna ulinzi wa kutosha ili mkutano uahilishwe lakini imeshindikana na j4 dk ndani ya nyumba! Subiri moto wake!
 
Back
Top Bottom