Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbrod Slaa anaanza ziara mkoani Mbeya leo,kwa kuanzia wilayani Chunya leo.Na kesho Jumapili atakuwa Mbeya mjini,Jumatatu atakuwa Kiwira na Kyela na Jumanne atakuwa Mbarali.
raha tupuKatibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbrod Slaa anaanza ziara mkoani Mbeya leo,kwa kuanzia wilayani Chunya leo.Na kesho Jumapili atakuwa Mbeya mjini,Jumatatu atakuwa Kiwira na Kyela na Jumanne atakuwa Mbarali.
Inafaa arudi kwanza Zanzibar akarekebishe mambo
hivi bado ana mchumba au?
ccm wanapata shida wakisikia dr slaa mambo ya uchumba yanakuhusu nini kama una lidada lako halijaolewa kampeni wasira
jibu ni au!hivi bado ana mchumba au?
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbrod Slaa anaanza ziara mkoani Mbeya leo,kwa kuanzia wilayani Chunya leo.Na kesho Jumapili atakuwa Mbeya mjini,Jumatatu atakuwa Kiwira na Kyela na Jumanne atakuwa Mbarali.
Tena wawili halafu wazee kuliko hata yeye.hivi bado ana mchumba au?
Picha moja tu itakuumbua!Watu wa mbeya walishamchoka slaa na umbea wake mtu mzima halafu mmbea wala asijisumbua kwenda mbea watamtia miruzi tu.