Dr.Slaa kuitikisa Mbeya mfulurizo kuanzia Chunya leo

Dr.Slaa kuitikisa Mbeya mfulurizo kuanzia Chunya leo

ndugu zangu wa ntokela,mwabegele,kk,ntokela na kiwila na sehemu za karibu ambazo sijazitaja ni mbio kuwai kumsikiliza rais wa mioyo ya watanzania dr wa ukwel slaa (FP)feature presdent
 
ccm wanapata shida wakisikia dr slaa mambo ya uchumba yanakuhusu nini kama una lidada lako halijaolewa kampeni wasira

Du! Wasira anavyotisha, ikitokea kamuoa dada yangu siwezi watembelea asilani maana nasikia ni jitu ngumi mkononi ndiyo maana kuna wakati walikuwa wanaliita Tyson wa Bongo lol!
 
Mkuu Dr. Slaa, utakapokuwa Mbeya tumaomba umukemee Mkoloni mweusi ccm maana kupitia TRA, sisi wenye mitaji midogo tumepewa notice ya kufunga biashara zetu ifikapo tarehe 30/09/2013. Kwa kushindwa kununua vimashine vya kutolea lisiti kwa wateja ambavyo ghalama yake haipungui shilingi milionimoja, wakati ambapo wengi wetu viduka vyetu tunavyoviendesha kwa mikopo, mitaji yetu ni laki tatu (300,000/=) tu.
 
Tunategemea POLICCM hawataendelea kutumika katika ulingo wa kisiasa! Ifike mahali hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na siyo kwa mtutu wa bunduki.

Nawatakia mafanikio mema.
Mbeya polisi tunawaweza!
 
Haituhusu, anatafuta ugali wake na josephine, si unajua tena asipokuwa na mkwanjwa lazima josephine amruke,

Sema haikuhusu,Kwa kuwa umewekwa ndani na unaletewa kila kitu na bwanako ukombozi wa nchi ni janga kwako.
 
katibu mkuu wa chadema dr.wilbrod slaa anaanza ziara mkoani mbeya leo,kwa kuanzia wilayani chunya leo.na kesho jumapili atakuwa mbeya mjini,jumatatu atakuwa kiwira na kyela na jumanne atakuwa mbarali.

mbona ileje inasahaulika?
 
Back
Top Bottom